Train letu aerodynamic zinakataa kufika 200 KM/HR . According to Scientific Research of why the body should be streamline to archive speed and balance

Train letu aerodynamic zinakataa kufika 200 KM/HR . According to Scientific Research of why the body should be streamline to archive speed and balance

Mavitu yote hayo ni ya nini? unataka kuwahi ili iweje, taratibu taratibu ndiyo mpango
 
Ukiwa huna interest navyo ni wewe ila ni andiko zuri saana tuu.
Andiko la kipumbavu hili, kulingana na maoni yangu. Kama unataka maarifa haya si bora ukatafute huko google.
 
Andiko la kipumbavu hili, kulingana na maoni yangu. Kama unataka maarifa haya si bora ukatafute huko google.
Google jinsi ilivyo ni search engine, maana yake unaweza kuggogle ukapata link ya uzi huu ukaja tena hapa kupitia
 
ukweli ni kwamba hakuna katika watu 100 hapa atakayesoma na kuelewa ni wawili au wasizidi watatu.
Wengi wataishia kusema kama wewe tu kusema tupo tutakayoisoma kuonyesha wapo intelligent lakini hakuna kitachochambuliwa zaidi ya kuishia kuongea maneno kama yako.
Kama nadanganya subiri uone
Huu ndiyo ukweli
 
Wabongo na ujuaji sjui utatufikisha wap
Yan ujuaji mwing wakat ata tooth pick imekushinda kutengeneza
Ebu tufanye kaz majungu sio mtaji tufanye kaz km trein ya tz sio nzr utaenda kupanda za dubai,China au korea ukiwa unafuata mzgo

Fanya kaz tafta pesa
 
mmh?? kweli haya
Yaaaap ya kwanza kwenye picha ni Elecric lokomotive ndo hii inafanya majaribio ina lokomotive motion kama chama wa simba ya pili elecric multiple unity zinakuja kwa set set ya kwanza iko kwenye majaribio kiwandani naskia zinakuja set 8 au 10 sina hakika sana hii na nadhani itakua na motion ya tuisila kisinda wa yanga so zote zitakuja mkuu
 
Sasa hayo madude unayocopy na kupaste kutoka kwenye mtandao nani atayasoma?w
Na vile wabonho hatupendi kusoma
Mkuu,

Kama wewe umekimbia umande, usikatae wengine kupewa nafasi ya kujua mambo.

Kama hutaki kusoma, usisome.Lakini, usinyanyapae watu wanaoleta mambo ya kusoma hapa.

Unaweza kuona PDF halisomeki, kumbe wenzako ndiyo wamesomea Ph.D mambo hayo.

Nchi kubwa hii, usifikiri kila mtu yupo sawa na wa kijijini kwako.
Bonda tena
Anahema huyoo
 
Attachments

  • IMG_1032.jpeg
    IMG_1032.jpeg
    66.7 KB · Views: 6
Yaaaap ya kwanza kwenye picha ni Elecric lokomotive ndo hii inafanya majaribio ina lokomotive motion kama chama wa simba ya pili elecric multiple unity zinakuja kwa set set ya kwanza iko kwenye majaribio kiwandani naskia zinakuja set 8 au 10 sina hakika sana hii na nadhani itakua na motion ya tuisila kisinda wa yanga so zote zitakuja mkuu
hili letu aliwezi fika 200 km /hr. ni laki zamani sana sana sana
 
ukweli ni kwamba hakuna katika watu 100 hapa atakayesoma na kuelewa ni wawili au wasizidi watatu.
Wengi wataishia kusema kama wewe tu kusema tupo tutakayoisoma kuonyesha wapo intelligent lakini hakuna kitachochambuliwa zaidi ya kuishia kuongea maneno kama yako.
Kama nadanganya subiri uone
Jisemee mwenyewe. Watu tunajua kitafuta fact kama hizi
 
Jisemee mwenyewe. Watu tunajua kitafuta fact kama hizi
wacha ujinga wewe.
Nimesemea majority embu tazama ni nani kachambua kilichoandikwa hapo mpaka sasahiv? Kama unajua hongera . Ukweli ni hakuna aliyeelewa kilochoandikwa na serikali ilishajua raia wake hawapendi kusoma na ukichanganya na lugha ili kuendelea kuwafanya watu wajinga.
Wangeweka katika lugha yetu watu wajue sababu ni nini.
Eti najua embu tafuta mtu aliyechambua hizo karatasi kwenye huu uzi.
Ujuaji mwingi kumbe ujinga tu
 
Umecopy na kupaste kutoka internet! Toa kichwani, summarise watu watasoma na kukuelewa! Hiyo "nnya" uliyoiandika hakuna wa kuisoma Kiranga
Punguza ujinga.

Nimesoma yote.

Pia hata wewe unqweza kusamaraizikm unavyotaka kwani umemuajiri nani humu.

Hata hivyo nani kakulazimisha kusoma.

Mijitu ikishazoea udaku bhana!
 
Escape from Sobibor train[emoji1787][emoji1787]
Hilo train la kizamani sana limeletwa la nn speed 160 kwa saa kwa hito train mwanza siku mbili tutaendelea kusafiri na mbasi traini lao watabebea mzigo ya bahresa kwenda bara

Ufaransa ipo inatembea km 350 kwa saa china ipo km 400 kwa saa japani ndio namba moja km 600 kwa saa

Unaenda kuleta train hata 200 haifiki bora usafifi na Ally star
 
100km / h at most
 
Back
Top Bottom