Train ya TZ SGR - imeshaonja konyagi

Train ya TZ SGR - imeshaonja konyagi

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
Mambo ni mzunguko
1092409
 
Ni mpumbavu toka Kunyaland tu anaweza ku-claim limepinduka yet the ground that it has overturn is smooth!
 
Hawa Waturuki bhana! Hii treni ilikuwa inasafrishwa kwenye matoroli /'wheel barrow' kwenda Pugu, what did you expect!
Si mnajua hizi reli za SGR na ile ya zamani haziiingiliani? So wakaipakiza kwenye vitoroli naona ndio imemwagika!
 
Hawa Waturuki bhana! Hii treni ilikuwa inasafrishwa kwenye matoroli /'wheel barrow' kwenda Pugu, what did you expect!
Si mnajua hizi reli za SGR na ile ya zamani haziiingiliani? So wakaipakiza kwenye vitoroli naona ndio imemwagika!
Kiongozi we ni mtaalam kuliko waturuki. Sijui kwanini serikali haikukuona ikupe hii tenda. Ndo hivyo tena hatunaga tabia ya kujali vya nyumbani
 
300451_e227341f4c7964c020b7b87fc5ec240b.jpg
william_andason-20190509-0001.jpeg

wazee wa vyuma chakavu hoyeeee! jiwe sio poa jamani unavowafanyia waswahilii💩🤢
 
Serikali inapiga kazi sio mchezo, na hawa wote waliohusika na uzembe wa kuanguka kichwa hiki pamoja na hii habari hapa chini wote watachukuliwa hatua!!😳😳
👇👇
Tanzania government drops Kenyan firm in Sh418bn cashew nut deal

 
Yaani, the quality. Cheap is always expensive. That is exactly, how things will be when, if at all it starts operations. Rail being washed away, derailing, etc. The Ethiopian are doing theirs at 100 km/h with frequent derailings. Terrible.
1092572
 
Back
Top Bottom