Transparency International: Some Members of EAC Bloc are Real Disappointing

Transparency International: Some Members of EAC Bloc are Real Disappointing

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
TI has issued its 2018 report regarding the global corruption outlook. EAC comprises the members who actually need to do a sort of affirmative action. Still we have some members who score the points below the regional average. Yet one of the member drops on position compared to last year's performance. It's a time to pool up our efforts in order that we get out of the trouble.

Corruption Perceptions Index 2018
 
Hahahaha, failed state at its best, pamoja na kujitahidi kupambana na rushwa hali ndio inazidi kuwa mbaya, pamoja na kujitahidi kupambana na terrorism attacks zinazidi kuongezeka, pamoja na kuandika katiba nzuri, political divisions na hali ya maisha kwa wananchi ndio inazidi kuwa mbaya" In a failed state nothing works".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EAC bloc ni shida. Kuna ni nchi mbili tu ambazo zinaleta matumaini. lkn nyingine nidhofu bin hal.
 
Hahahaha, failed state at its best, pamoja na kujitahidi kupambana na rushwa hali ndio inazidi kuwa mbaya, pamoja na kujitahidi kupambana na terrorism attacks zinazidi kuongezeka, pamoja na kuandika katiba nzuri, political divisions na hali ya maisha kwa wananchi ndio inazidi kuwa mbaya" In a failed state nothing works".

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijawaona the people from bloc economic giant.
 
Hawatokei katika mada kama hizi, wanachungjlia na kutoka, sana sana atakayekuja atajitokeza na karata ya GDP ya kupika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wenyewe wanatoka kwenye jamii ya hivi: Soma hapo chini:

Mpiga Picha: "Mwalimu Mkuu Nitakuchaji Kila Mwanafunzi Sh. 25 Kwa Ajili Ya Pasport Size."

Mwalimu Mkuu: "Mwalimu Waambie Wanafunzi Walete Sh, 50 Kila Mmoja Kwa Ajili Ya Pasport Size."

Mwalimu: "Wanafunzi Mnatakiwa Mlete Sh 100 Kila Mmoja Kwa Ajili Ya Paspot Size.
Kila Mwanafunzi"

Nyumbani Kwao sasa: "Mama Tumeambiwa Tupeleke Sh 125 Shuleni Kwa Ajili Ya Pasport Size."

Mama: "Mme Wangu Mtoto Anataka Sh 150 Kwa Ajili Ya Zile Picha Za Pasport Size Shuleni."

For them this is known as aggressiveness. This perception gets its way up to the Govt level. The SGR project borrowed a leaf from this "cha juu model"
No wonder their score is like that in Transparency International CPI.
 
Tanzania, Rwanda zaimarisha rekodi ya kupambana na ufisadi -TI
Januari 29, 2019
7D3B856A-BF8C-4263-8ED8-15D1B65374C7_w1023_r1_s.jpg

Jinsi Transparency International (TI) ilivyoonyesha ripoti yake kuhusu ufisadi duniani ya mwaka 2018
Shirikisha
Ona maoni

Shirika la kimataifa la Transparency International (TI), Jumanne lilitoa ripoti inayoonyesha hali ya ufisadi duniani mwaka 2018. Mataifa ya Tanzania na Rwanda yaliorodheshwa kama yaliyofanya vizuri katika vita dhidi ya rushwa.
Rwanda ilitajwa kufanya vizuri zaidi kwa kuwa na pointi 56 ikiwa katika nafasi ya 48 wakati Tanzania ikiwa katika nafasi ya 99 kwa kupata pointi 36.
Ripoti hiyo pia imebaini kuwa Kenya ilishuka kwa pointi moja kutoka mwaka 2017, ambapo ilikuwa na pointi 28, huku mwaka jana ikiwa na pointi 27 na kushika nafasi ya 144 kati ya nchi 180.
Uganda ilipata pointi 26 na kuchukua nafasi ya 149. Burundi iko katika nafasi ya 170 huku Sudan ikiwa katika nafasi ya 172 ikiwa na pointi 16.
Transparency International hutumia vigezo ambapo sufuri ni alama ya nchi inayofanya vizuri zaidi huku mia moja ikiwa ndiyo nchi iliyozorota Zaidi katika Nyanja hiyo.
Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Ferreira Rubia, alisema kuwa jinsi demokrasia ilivyokita mizizi kwa baadhi ya nchi, ndivyo uwezekano wa nchi hiyo kufanya vyema katika orodha hiyo ya nchi fisadi zaidi duniani.
Hata hivyo, nchi kama Marekani, ambayo hutajwa kama iliyoimarika kidemokrasia, pia ilishuka rekodi tyake kutoka ilivyokuwa mwaka wa 2017.
Denmark na New Zealand ziliongoza kwa nchi zisizo na viwango vya juu vya ufisadi, lakini nchi fisadi zaidi ni pamoja na Somalia, Sudan Kusini na Syria.
Hizi ni nchi ambazo zimekuwa katika vita vya aina moja au nyingine, ikiwa ni ishara kwamba misukosuko ya ndani ya nchi inaathiri sana vita dhidi ya ufisadi, alisema mchambuzi wa masuala ya uchumi, Chrispus Yankeem katika mahojiano ya simu na Sauti ya Amerika siku ya Jumanne.

Tanzania, Rwanda zaimarisha rekodi ya kupambana na ufisadi -TI
 
There is nothing that beats the murder of upto 11 children in cold blood and devouring on their limbs and teeth......Let's not loose track of who and where is the real disappointment in this EA
 
There is nothing that beats the murder of upto 11 children in cold blood and devouring on their limbs and teeth......Let's not loose track of who and where is the real disappointment in this EA

brother come up with a specific thread, tutajadili tu.
 
There is nothing that beats the murder of upto 11 children in cold blood and devouring on their limbs and teeth......Let's not loose track of who and where is the real disappointment in this EA
Hahahaha, what about 1200 Kenyans who were perished during PEV in 2007 under directions of Uhuruto, and nor one has been charged to date.

What about nearly 300 Kenyans who killed by police during last election, nor even investigation about these killings. Kenyans lives are valueless.

I promise you, within one week, those who have committed this action will be apprehended and taken to court, this is Tanzania, we value life of each and every individual.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi Kenya kuzidi kuporomoka kwenye ORODHA YA mapambano dhidi ya RUSHWA ina MAANISHA NINI?
 
It's called Corruption PERCEPTION Index.
Key word perception.

How can Tanzanians perceive their government as corrupt when their dictator has the media by the balls?
If Pombe allows free press, corruption cases would be exposed daily, and the perception of the peasants will change.
 
There is nothing that beats the murder of upto 11 children in cold blood and devouring on their limbs and teeth......Let's not loose track of who and where is the real disappointment in this EA
Nje ya mada
 
It's called Corruption PERCEPTION Index.
Key word perception.

How can Tanzanians perceive their government as corrupt when their dictator has the media by the balls?
If Pombe allows free press, corruption cases would be exposed daily, and the perception of the peasants will change.

Hii ndio kitu nimeshindwa nini cha kuwaelimisha hawa, kitu hawaelewi hii ranking sio kuhusu level ya ufisadi ndani ya nchi, bali ni kuhusu mtazamo wa raia wahusika walipoulizwa kuhusu nchi yao, kwa nchi kama Tanzania ambapo raia wao wapo wapo tu, huwa hawajui mbele wala nyuma kazi yao kuimba pambio za kusifu chama tawala, wakihusishwa kwenye utafiti kama huu 'perception' yao lazima iwe ya kusifia.
Juzi zimeliwa trilioni 1.5 wakiona, mkaguzi mkuu wao akaishia kudhalilishwa na spika wao wakiangalia na kuchekea, akaishia kupigishwa magoti.
Issue ni kwamba kwa Kenya, tafiti kama hizi lazima zionyeshe piacha mbaya maana Wakenya hawapo gizani, wanakuambia kama ilivyo na hawasifii kijinga jinga.
 
Ferreira rubia alisema kuwa, jinsi demokrasia ilivyokita mizizi kwa baadhi ya nchi, ndiyo uwezekano wa nchi hiyo kufanya vyema katika orodha hiyo ya nchi fisadi zaidi duniani.
Kwa iyo demokrasia ya Tz ni bora kuliko kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's called Corruption PERCEPTION Index.
Key word perception.

How can Tanzanians perceive their government as corrupt when their dictator has the media by the balls?
If Pombe allows free press, corruption cases would be exposed daily, and the perception of the peasants will change.

Ahaaa haaa haaa
NCHI ya kitu kidogo. usipokuwa na kitu lazima ukose kitu hata kama ni haki yako.
 
Hii ndio kitu nimeshindwa nini cha kuwaelimisha hawa, kitu hawaelewi hii ranking sio kuhusu level ya ufisadi ndani ya nchi, bali ni kuhusu mtazamo wa raia wahusika walipoulizwa kuhusu nchi yao, kwa nchi kama Tanzania ambapo raia wao wapo wapo tu, huwa hawajui mbele wala nyuma kazi yao kuimba pambio za kusifu chama tawala, wakihusishwa kwenye utafiti kama huu 'perception' yao lazima iwe ya kusifia.
Juzi zimeliwa trilioni 1.5 wakiona, mkaguzi mkuu wao akaishia kudhalilishwa na spika wao wakiangalia na kuchekea, akaishia kupigishwa magoti.
Issue ni kwamba kwa Kenya, tafiti kama hizi lazima zionyeshe piacha mbaya maana Wakenya hawapo gizani, wanakuambia kama ilivyo na hawasifii kijinga jinga.

Ahaaa haaa haaa
acha povu bana.
perception is normally leading to action.
sasa unafikiri mpaka wanamuziki wakasema ni nchi ya kitu kidogo.
teh teh teh tihiii

CC: https://www.jamiiforums.com/members/jingalao.56995/
 
Ferreira rubia alisema kuwa, jinsi demokrasia ilivyokita mizizi kwa baadhi ya nchi, ndiyo uwezekano wa nchi hiyo kufanya vyema katika orodha hiyo ya nchi fisadi zaidi duniani.
Kwa iyo demokrasia ya Tz ni bora kuliko kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app

definitely. sisi demokrasia ipo kwa wote. lkn kwa wakenya demokrasia iko kulingana na class unayo belong. kuna sehemu zingine hata hawajui kama kuna uchaguzi. sehemu zenye vuguvugu la kisiasa ni 2 au 3 tu. yaani Mombasa, Nairobi na kwa kina Raila.
 
tanzania chini ya magufuli imejitoa katika mikataba mingi ya kuendesha serikali kwa uwazi.........

sasa najiuliza, hio rushwa wameichunguza vipi wkt data hazipo?......

saizi huko bungeni kuna mjadala wa hela ambazo hazieleweki zilikoenda, wizara na idara zingine zikipewa 228% ya bajeti ambayo bunge lilitenga, sasa hapo utasemaje?.........

ni kichaa tu ataamini tanzania rushwa imepungua, actually ni mwendawazimu ndio ataamini rushwa na ufisadi vimepungua!
 
Back
Top Bottom