Transport infrastructure in Kenya

Na waTz msianze kusema hao wazungu mnaowaona kwenye hizi picha ndo waliojenga hii Highway.😛
 
If you look closely at the last pic,Upperhill skyline can be seen with views of KCB,BRITAM towers..on your left.
 
Tzn kupata miundombinu ya kisasa kama hiyo huko kwenu kenya labda kizazi cha ccm kife.Dar nzima barabara pekee za kisasa ni Sam Nujoma road na interchange ya kuingia daraja la kigamboni.Kwa jinsi wabongo tunavyoongea tungekuwa na vitu vikali kama vyenu wakenya mungekoma unfortunately penye miti hakuna wajenzi.
 
Dar ni mji mkubwa sana na una watu wengi karibu 2 times ya Nairobi but worse enough totally no city planning,kila mtu amejenga anavyojiskia unlike Nai now kwa hali hii kuja kupata miundombinu ya maana kama hiyo ni ngumu na expensive sana sijui viongozi wa ccm walikuwa wanawaza nini,kama walianzisha mamlaka ya kupanga mji Dodoma walishindwa nini Dar na miji mingine mikubwa Tzn? Deeply sad!
 
Dar yafaa iwe na zoning proper ka vile Nai.Mfano Nai kuna residentials :Karen,Ridgeways,Hurlingham,Runda etc
Kuna zone za magorofa marefu Upperhill,Westlands na CBD hivyo basi miundo mbinu yaweza kujengwa bila ya uhamisho na ubomozi mkubwa ingawaje kuna waliojenga kwenye miundo mbinu na hayo majengo hubomolewa.
 
__________________


__________________
__________________


image hosted on flickr

__________________
 


The View by NYS




Near EABL




Allsops Overpass towards town


__________________
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…