Yaani humkinai hvhv tu,Labda kama hakunyegeshi vizur na kukupandsha panapo kilele ndo utamkinai....Hata nyie mbona mnapitia mengi na mapungufu yanakuwepo hata kwenye mechi, inshort nikimjua mwanaume mechi kadhaa namkinai tu, so ukisema Ni nyie si kweli
Nikitaka kuoa, naomba nikuweke katika list kama utakua bado single, mama mchungaji. Heaven Sent
Hao ndugu na mama ni balaa. Wanapromote mchepuko wa ndugu yao kuliko mke halali?Nia ya usiri ni kuto muathiri bi mkubwa
Ila ndugu wa mume mpaka mama mkwe mawifi marafiki wananijua
Nisingependa huyu mke mkubwa aumie kwasababu ya mume wake ndio maana nalitafakari hili
Hivi dear huwaga upo serious kweli kuhusu Hilo?Mwanaume hata wa kusingiziwa sina.da maisha haya
It seems unabusara sana dada..It seems huyo mama mkwe na familia wanataka kumkomoa huyo mke mkubwa vile ukute hawalambi makalio na wewe unajipendekeza huko uonekane vizuri, so be careful ka ana mtenda mkewe unafikiri wewe papuchi yako inatoka dunia nyingine?
Umewekwa pilipili na ndimu na kaukwaju kwa mbaaaliii..umechanga sana [emoji3]Huu Uzi bwana[emoji23][emoji23]
Hahaaa duuh, wee mkuu ni nomaMke wangu nampenda mno na sipo tayari kumpoteza ila nimeshaamua liwalo na liwe. Yule mdada siwezi kumuacha aliwe na wahuni wengine maana jinsi ninavyomfeel siwezi hata kuelezea. Tukiwa chumbani huwa napata raha isiyokifani hivyo nimeshaamua bora nimuoe tu kuliko kumwacha akaolewa na mwanaume mwingine nikaishi a miserable life for the rest of life. Wife will have to just understand. I love her (my wife) but I'm also deeply in love with another woman.
Me mwenyewe nimeshindwa, hapa nasoma tu comments za wadau.Mambo haya ni magumu hata kutoa ushauri
Hivi kumbe kupenda Mume wa mtu ni umalaya..!! Sikulijua hiliHao waume wa wenzenu mnawatakia nini, kwani wanaume wameisha au umal aya tu unawasumbua.
Hivi kumbe kupenda Mume wa mtu ni umalaya..!! Sikulijua hili
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan Dunia ina hatareeeh San lolHahaaa wao ndio binadamu zaidi, Ila wanawake hatuna hisia hata tufanyweje
Una roho mbaya tu na watoto wa wanawake wenzako. Utadhani wewe ukija kupata mtoto wa kiume atakuoa mwenyewe nyau wewe.....True mwanaume si kiumbe wa kumwamini labda baba yangu na kaka yangu tu basi
Huyu bi dada hayupogi fair na wanaume naanza kuhisi ametokea kwenye familia yenye msingi mbaya sio bure....Umeongea kwa hisia mpaka nimejitafakari na mimi juu ya unavyotutazama wanaume.
Mimi ni mwanaume lakini nimezaliwa na Mwanamke, nina Siblings wakike sasa vipi kama mama yangu angetelekezwa na baba kisa mwanamke aliyeshindwa kucontrol tamaa kama huyu. Ama dada yangu atelekezwe leo hii kisa selfish mmoja wa namna hii. It's not fair.
Mmmmmmhmn babu sasa hapa utatuingiza chaka muda si mrefu.Andiko gani katika Biblia linakataza mitala ?
Usiri huwa tunafanya kwa ajili ya kuusoma upepo kwa mke mkubwa, sababu tulio wengi wake zetu wakubwa huwa wakorofi sana.
Pili, ngoja nikuulize swali usiri unao ongelewa hapa unauelewa au kwako wewe usiri wa ndoa ni upi ?
Ni ukristo wa wapi huo, wa buza au?!Ina maana Ukristo hauruhusu kabisa Mitala ?
Kama ni hivyo basi akaolewe na mdau mwingine.
Cariha is a toxicated feminist. In her court of judgment, men are guilty before and after being proven innocent.Mbona tuna aminika tu vizuri cariha , lakini hii si ishu ya wanaume tu sababu huyu binti tayari alikuwa na kijana mwenzie mwingine ambaye hajaoa
Tufikiri kwamba yule kijana kule ni mwaminifu na kweli anataka kumuoa, Je si yeye ndiyo muhanga
Trust issues nafikiri ipo kote tu si kwetu wanaume peke yake
Utakuta baadaye muanzisha mada anatuita wanaume wote mbwa kumbe ni yeye alikosea kufanya maamuzi
Kwahiyo hiyo ndoa itavunjika kwasababu ya mwanaume na si mwanamke. Hivi hadi hapo tu hauoni unaonyesha kuwa onesl sided?!Uliloandika Ni kweli Ila binti huko alifata kuhongwa vizuri yeye hajazaa ujue Bora wale huchepuka kwa starehe Ila huyu ana ndoa na watoto imagine hyo familia ikivunjika na ujue huwezi penda vitu viwili kwa usawa imagine hyo energy ya kuhonga mchepuko Ange invest kwa mkewe na familia.
Hivi dear huwaga upo serious kweli kuhusu Hilo?