Snitch = Mtu anayesemelea wengine au kutoa siri upande m'moja kupeleka upande mwingine pinzani.Once a in snitch, always a snitch. Akiiacha familia ili awe na familia na wewe unajihakikishia vipi kuwa hatokuacha siku moja kuwa na familia nyingine?
Halafu hiyo familia yenu wote mna akili za kufanana mkubaliane na ndoa ya aina hiyo?
Ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Qmamamae, halafu kuna Mpumbafu mmoja huko anataka Kumjua Mwanamke!? Tangu linitokee tukio langu tarehe 25/07/2012, taabu niliyoipitia, uchungu nilioukwaa, kejeli nilizozipata. Hakika sitotaka wala kutamani kumjua tena. Wewe dada fanya unavyojisikia tu, kwani Mbunye si yako bana
Hata mimi nimeona huyo mwanamke aliyemfanyia huo ukatili ajiandae malipo yake....mkuu hi comment umeitoa kwa jazba Sana .
Pole kwa kilichokukuta huo mwaka.
Kweli mkuu, ndio maana watu huwa wanauwa kabisa.Nilishapoa ndugu, ila huwa kuna mambo nikiyaona huwa naghafirika sana. Ujue kujitoa kwa mtu ukiwa huna au una kidogo ila unaona wacha apate yeye kwanza angalau asijeweweseka na wenye navyo na mipango kede kede kumbe mtu huku pembeni ana mipango yake tofauti juu ya hicho mnachokipanga kila siku mkiwa wawili.
Huyu mdada kwa nini asimwambie tu huyo jomba ambaye yupo single kwamba mimi sina mpango na wewe, niko na mtu ila ukitaka kukaa kaa, usipotaka kaangalie mbele ili jomba achague mwenyewe. Kawahold wote halafu anashindwa kuamua afanye lipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi hapa nimeshafika mbona haunioni.... Au hadi nikulambe kofi ndio ujue nimefika.
Nilitaka tu kuonyesha kuwa ukiwa na tabia flani mbaya basi unayo tu. Inawezekana huo mfano haukufit hapo. NilichemshaSnitch = Mtu anayesemelea wengine au kutoa siri upande m'moja kupeleka upande mwingine pinzani.
Mkuu umetumia neno snitch hapa kumaanishaje sijakuelewa?!
Au ulitaka kusema neno adulterer au cheater?!
Mmmmmmhmn u sound weird....Bas mie ndo hoi hapo, hivi wanadhan wanawake sio binadamu au, yaan huwa sielew
Why usimshauri afocus na huyo kijana mwingine asiye na ndoa?![emoji23][emoji23][emoji23]nilijua lazima uni quote kwa hili, Hilo swala halihitaji rocket science kujua mwanamke mwenzangu anadaganywa akicheza atakuwa single mother na umri uwe unaenda vile vile
Huwezi pata utata kama ndani ya nafsi yako akili yako inaongozwa na roho mtakatifu wa MUNGU.Hapana mpaka hapa nimebadili maamuzi
Rafiki usiwe mkali sana haya mambo unaweza kuona kama marahisi lakini si hivyo ukiwa wewe ni muhusika
Nime update uzi mawazo yamebadilika kidogo
Mmmmmmhmn mmmmmmhmn mmmmmmhmnIt seems unabusara sana dada..
Hahahahahha sa itakuwajeeee jmnnnMke wangu nampenda mno na sipo tayari kumpoteza ila nimeshaamua liwalo na liwe. Yule mdada siwezi kumuacha aliwe na wahuni wengine maana jinsi ninavyomfeel siwezi hata kuelezea. Tukiwa chumbani huwa napata raha isiyokifani hivyo nimeshaamua bora nimuoe tu kuliko kumwacha akaolewa na mwanaume mwingine nikaishi a miserable life for the rest of life. Wife will have to just understand. I love her (my wife) but I'm also deeply in love with another woman.
Umalaya unaanza na tamaa ya vya wenzako....Hivi kumbe kupenda Mume wa mtu ni umalaya..!! Sikulijua hili
Olewa na kijana mwenzio ili kupata na kulinda ndoa kwa couple zote mbiliHuyu mtu wangu ana kazi nzuri tu lakini hajamfikia jamaa
Am not materialistic to be honest hii sio issue kubwa
Bado shida ni kwamba nawapenda watu wawili kwa wakati mmoja
Tuwekee andiko au hakuna andiko ?Mmmmmmhmn babu sasa hapa utatuingiza chaka muda si mrefu.
Wakristo wanandoa ya mke m'moja tu.....
Ila huyu dada kusema kweli yuko njiapanda:Sana aisee
Unalo andiko linalo kataza mitala ?Ni ukristo wa wapi huo, wa buza au?!
Watu hawajui nguvu ya mapenzi, ninyi wawili ninawaelewa sanaMimi mwenyewe nina mke ila kuna mdada natoka naye nampenda kinyama. Nina mpango wa kumuoa na yeye kakubali. So haya mambo yanatokea na huwezi kuyazuia kwa akili yako labda Mungu tu ndio azuie.
Amen kama ni pepo linitoke kwakweli