Trapped to a married man

Kwahiyo unataka kusemaje? Tena mie sijataka tyuuuh kumshauri huyo, wallah uzi mzima ungehamia kwangu.
Acha mtu afurahi na hitaji la maisha yake.
Unasubiria nini sasa, ongea hayo mashudu tukuwashir moto hadi ujute..... [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Duuh...kumbe malaya wapo wengi tu humu. Yaani unaacha kutafuta single mwenzio unahangaika na mume wa mtu kama si umalaya ni nini??
Sijui mimi labda nikuulize wewe unaowajua hao Malaya wenzio
 
Kama anataka kuitelekeza familia yake, hata wewe hatoona ugumu wowote kukutelekeza siku zijazo. Komaa tu na huyo kijana muoaji, huyo mume wa mtu achana nae.
 
Kwa Wakristu ndoa ni moja tu na huwa ya wazi. Upendo haufichiki, upendo hauhitaji kufanywa siri... Ukiona hivyo ujue hakuna upendo hapo, anakudanganya tu.

And mind you, ndoa siyo yale makaratasi bali ni muunganiko halali mbele ya Mungu na watu wa mwanaume mmoja na mwanamke mmoja kuishi kama mume na mke.

Mwisho wa siku akishapata anachokitafuta kwako (yeye pekee ndiyo anakijua) atarudi kwa mke wake. Usikubali kutumika. Endelea na huyo kaka ambaye siyo mume wa mtu, mfanye mume wako halali.

Achana na hizo tamaa nyingine.
 
Ushauri konkii
 
Ahahaaa...

Kwahyo unamaanisha hujawai kutamani mwanamke mwengne zaidi ya mkeo...??

Ila mwanaume kulizika na mmke mmoja ni ile tu Hali ya kuhofia (uoga) au huenda mwenamke ana power ktk familia (kamshika mumewe sehemu) au umaskini au mapungufu ya kiafya...
 

You sound like school boy , real man settle with his only wife hasa kwa mume anayetumia muda wake mwingi kuzalisha , sasa wewe mfalme wa kungonoka endelea na uswati wako uje kutupa mrejesho hapa zaidi ya wingi wa mabao , kukatiwa viuno , mitoto na wanawake kibao , chochoro za lodge na hotels , magonjwa na kufulia na kupukutishwa juu nn zaidi . Hajawahi kutokea bingwa wa kuwala wanawake hata mfalme mwenzio Suleiman kiboko ya warembo duniani alioa wanawake 1000 bado hakuridhika na kuridhika na mke mmoja ni kiset akili tu wacha udhaifu kijana ni elastic hizo hata ukipe vp zinatanuka na kusinyaa.
 
You said it all.
Natamani couple moja humu ilifunga ndoa kisirisiri ije itoe neno.
Sijui jinsi ya kutag...
 
Hatari...
 
Zipo familia za hivyo nimezishuhudia, zinaagalia maslahi zaidi.
Otherwise umemshauri vema.
Tena yeye ana unafuu ameomba ushauri na anaweza pata picha ya alilodhani yu sahihi nalo.
Wadada wapo wanakomalia waume za watu na ndoa wanazigharamia kisiri wao wenyewe kisha wanajiona wako sawa na walokole wanajiita.
Dunia ina mengi hii.
Mungu atusaidie tu kupata ufahamu.
 
Hao ndugu na mama ni balaa. Wanapromote mchepuko wa ndugu yao kuliko mke halali?
Kweli jamaa no tajiri haswa. Ka-corrupt hadi akili za wanaotakiwa kukemea ujinga wake.
Wapo wengi hao ndugu wa hivyo....
 
It seems huyo mama mkwe na familia wanataka kumkomoa huyo mke mkubwa vile ukute hawalambi makalio na wewe unajipendekeza huko uonekane vizuri, so be careful ka ana mtenda mkewe unafikiri wewe papuchi yako inatoka dunia nyingine?
Wanawake wengine hawawazi hilo...mapenzi upofu
 
....Kama Unampenda kweli basis ungemuachia nafasi naye spate mwenza wake!
Wewe una make halafu unataka binti was watu kijana aje mbanane hapo hapo?
Humtendei Haki.
Ni jukumu lako kwa vile wewe ni mkubwa kumpa Ushauri was Kiutu Uzima kuwa naye atafute Mwenza wake.
Halafu Mkuu ni Kama una tamaa Fulani hivi. Una Mke lakini unataka pia Wanaume wenzako wasipate nafasi ya Kumla hiyo Mchepuko wako?!?
Hiyo ni Tamaa. Wachie wanaume wenzako. Wewe umeishapata wako waachie wenzako na muachie hiyo Binti was watu, wapate Wenzako wao na wewe endelea na Mkeo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]huu uzi watu wameandika kwa hisia sana jamani
Watu jf ni watakatifu sana kwa hizi comment naona kabisa hakuna wachepukaji humu
Mkuu, uzi kama huu lazima uteke hisia za watu coz unagusa the inner part of our hearts so usishangae sana.

Watu wanawaza future yako na huyo jamaa, wanarudi kuwaza kuhusu huyo mke mkubwa, wapo watoto katikati hapo so it must be a complicated case. Sio kwamba watu ni watakatifu, no ilà hii mada ina uzito coz inagusa maisha ya watu.

Hapa wewe unaweza kulichukulia lightly, lakini kuna watoto wanaweza kutelekezwa in the name of love, kuna mama anaweza kuishi kwa frustration hadi kufa kwa sonona kisa maamuzi utakayofanya.

Mimi namuona huyo jamaa mkosefu sana, anamkosea mkewe lakini anaiharibu nyumba yake, you've come in the middle of everything but he deserves the blame, angetulizana ungebaki na kijana huyo maisha yakaenda, but he didn't.

He's a successful man kutokana na maelezo yako, mind you his wife has a hand in it. Hakufanikiwa tu hivi hivi, leo kapata anaona ni heri aoe kwa siri, WTF is he thinking? Sasa wewe ndio muonyeshe kuwa anachofanya sio sahihi, he should go back to his beautiful wife alee vijana wake, wewe rudi kwa huyo kijana muanze maisha yenu. In the end hata wewe utakuwa proud na mafanikio yako na mumeo, sio hiyo "readymade" uliyoikuta hapo. Watu wanaanza mbali jamani, oneni tu majumba, magari et al, watu wameanzia chini mno. Why usiwe sehemu ya historia ya familia yako?

BTW, ungejaribu kumtafuta huyo bi'mama akupe ABC za jamaa, huenda you don't know him that much. That's my two cents!!
 

Duh, you sound childish, samahani kwa mawazo yangu mkuu. Unadhani kuvua ovyo boksa ni ushababi, well huenda umri ukizidi kuongezeka utajifunza zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…