Trapped to a married man

Kama alioa mke inamaanisha alimpenda na kumuahidi kutokumuacha na ndio maana wakaoana lakini Leo anataka kumtelekeza, je vipi na akikutana na mwingine tofauti na wewe??.......atakuacha Kama yule mwanamke mwenzio alivyoachwa.

Tafakari mtu anashindwa kuhurumia damu yake(watoto), anaamua kutelekeza familia kwasababu yako!!........hawezi kushindwa kukuacha na wewe kwenye mataa joka likiona pori jipya!!
 
Umeongea point and I understand
Kumtafuta huyu mama ni kutafuta shida tu mi sitaki stress za kupambana nae
Ukimtafuta huyo mama anaweza kukwambia Ukweli ambao hutakaa utamani kumuona huyo mwanaume.. Huyo mwanaume ana zaidi ya wanawake watatu ambao wamepeaa ahadi nono kama zakoo tena ukute wachache[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dada wanaume ni mbwaaa anaacha jike mtaa wake usiku anatembea mitaa kama minne kutafuta jike zingine lakini Kukikucha hakika atarudi Kwa jike lakee tu
 
[emoji23][emoji23]Mkuu hizi ahadi ni ili aendelee kumpaa tu huyu mdada maana anamwambia kitu anachopenda kusikiaa..!! Ukitaka kumpata mwanamke wa 20+ ages muahidi ndoaa..[emoji1787][emoji1787]
 
Daah Mkuu umeweka All men are Dogs [emoji240] [emoji3]

Siyo Sawa Mkuu
 
[emoji23][emoji23]Mkuu hizi ahadi ni ili aendelee kumpaa tu huyu mdada maana anamwambia kitu anachopenda kusikiaa..!! Ukitaka kumpata mwanamke wa 20+ ages muahidi ndoaa..[emoji1787][emoji1787]
Na ni kweli mkuu aisee mwanamke ukimuambia swala la kumuoa aisee ata Kama yuko mgumu Vipi atalainika tu, maana anaona ndoa ndio kipimo Cha upendo[emoji23][emoji23]

Wakati watu wanapigwa chini Kila uchwao!
 
Daah Mkuu umeweka All men are Dogs [emoji240] [emoji3]

Siyo Sawa Mkuu
Amini tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbwa kifasihiiii mkuu si unaona hii mbwa inavyonpotezea muda mtoto wa watu anaishia kuotaa ndotoo za mchanaa
 
Na ni kweli mkuu aisee mwanamke ukimuambia swala la kumuoa aisee ata Kama yuko mgumu Vipi atalainika tu, maana anaona ndoa ndio kipimo Cha upendo[emoji23][emoji23]

Wakati watu wanapigwa chini Kila uchwao!
Yani na wanawake hawajajua tu mwanaume anaekuja na Gia ya ndoaa siku ya kwanza tu jua hamnaa kitu hapoo atakukulaa mpaka uchokee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]huu uzi watu wameandika kwa hisia sana jamani
Watu jf ni watakatifu sana kwa hizi comment naona kabisa hakuna wachepukaji humu
Mimi na wewe ni wadhambi njoo tujifariji na kuomba Rehema kwa Mungu tunayemkosea
 
[emoji33]
 
Yani na wanawake hawajajua tu mwanaume anaekuja na Gia ya ndoaa siku ya kwanza tu jua hamnaa kitu hapoo atakukulaa mpaka uchokee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao ndio bad boys ambao wanakuondoa sehemu sahihi kwa maneno tu, baadae akikuchoka unapigwa chini chap kwa haraka.

Wanawake aliyewaroga sijui nani[emoji23]
 
Ila kuwa na wanaume wawili kwa wakati mmoja ni kipaji.

Cha msingi wewe endeleza kipaji chako tu.
Mume wa mtu awe mchepuko.
Olewa na huyo kijana ambae hajaoa.
@amu wee huwezi?! Teh

Wenzio siku hizo ni mwendo wa 4 na kuendelea. Hata akiomba kumi kumi kwa kila mmoja, kufumba na kufumbua muamala unasoma 40k

Halafu wenyewe hawasikii maumivu kivile coz bidada anakuwa hana mizinga mikubwa
 
Ila kuwa na wanaume wawili kwa wakati mmoja ni kipaji.

Cha msingi wewe endeleza kipaji chako tu.
Mume wa mtu awe mchepuko.
Olewa na huyo kijana ambae hajaoa.
Uko sahihi mkuu maana kwa maelezo yake tu na yeye anazingua aisee,[emoji23][emoji23]

Wamekutana wote wanachepuka, ila ajabu haoni Kama yeye aliweza kudanganya kwa jamaa, huyu boy atashindwa vipi kumdanganya!??

Waendelee na mchezo tunasubiria matokeo[emoji23]
 
Unasema atakuoa kwa siri.? Ina maana hata familia yako utaifanyia siri juu ya hilo swala?
Kwanini nimesema familia yako, kwasababu siku zote wazazi wetu wanatutakia yaliyo mema kwenye maisha yetu, sidhani kama familia yako itakubali uolewe nae endapo wakijua status ya huyu bwana.......Nachotaka kusema ni kwamba achana na hizo danganya toto za Mume wa mtu!!

Anyway wewe ndio muamuzi wa mwsho katika hili.
 
Hawa Viumbe hata uwape mifano gani hawaelewi. Hawajui wanaume kwenye Mapenzi tunaweza kuwakana hata Wazazi wetu.

Huo mfano wa dada yako ndio mwisho wake utakavyokuwa. Wahenga walishasema tayari.
 
Dah i remember i once had a boyfriend [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yule kaka hata angeua mamaake asingekaa anyanyue mdomo kumsema... yan kuna mambo alikua anafanya nabaki mdomo wazi nikimsihi aache anakua mbogo kuna day nikasema ngoja nijaribu kumshirikisha mamake hata kwa siri tu tushauriane mama akaniambia muombee tu Mungu ambadilishe nilikaa nikawaza niache kuwaombea wazazi wangu na ndugu nimuombee boyfriend sio hata mume boyfriend chaaaaaa!!!!! Ila mwishoni i figured it out jamaa alikua anamhudumia mama since mama was a stay at home mum so nahisi mama hakutaka kumuudhi mwanae hata chembe. Tukigombana na jamaa mama mkwe ananichunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maisha haya jamani
 
Hawa Viumbe hata uwape mifano gani hawaelewi. Hawajui wanaume kwenye Mapenzi tunaweza kuwakana hata Wazazi wetu.

Huo mfano wa dada yako ndio mwisho wake utakavyokuwa. Wahenga walishasema tayari.
Kabisa mkuu nae alimkataa kijana wa watu tena yule hakuwa vizuri sanaa...!!
 
n' that's reality familia nyingi ni dhaifu kwa kijana wao au binti yao ambaye ana vipesa vya kutatua shida zao hata awe na tabia chafu kiasi gani hawamkanyi na believe me or not huyo jamaa familia yake possibly kabaki mama kama mzazi pekee itakuwa mshua keshatangulia mbele za haki, so hapo huyo binti anachezea umeme ataipata habari yake ni swala la muda, yajayo yatafurahisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…