Dolla_Mbili
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,207
- 2,981
Kama alioa mke inamaanisha alimpenda na kumuahidi kutokumuacha na ndio maana wakaoana lakini Leo anataka kumtelekeza, je vipi na akikutana na mwingine tofauti na wewe??.......atakuacha Kama yule mwanamke mwenzio alivyoachwa.
Tafakari mtu anashindwa kuhurumia damu yake(watoto), anaamua kutelekeza familia kwasababu yako!!........hawezi kushindwa kukuacha na wewe kwenye mataa joka likiona pori jipya!!
Tafakari mtu anashindwa kuhurumia damu yake(watoto), anaamua kutelekeza familia kwasababu yako!!........hawezi kushindwa kukuacha na wewe kwenye mataa joka likiona pori jipya!!