Najua Sana hayo Mambo nayasoma though I don't participate it, mengine uliyoandika yote nakubaliana na weweUsijali cariha nitakufurahisha zaidi tu na wewe wajua [emoji1635][emoji304] na pia naungana na wewe kulaani wanaume wenzangu wote wanaotelekeza watoto wao , kuna haja kwa wazazi wa sasa kuandaa watoto watakao weza kuja kuwa na
elimu bora , maisha bora , ndoa bora na malezi bora kwa watoto wao na katika kutekelekeza hili lazima pamoja na yote kumtanguliza Mungu maana kizazi cha sasa kinapitia changamoto za mmomonyoko mkubwa sana wa maadili.
Najua Sana hayo Mambo nayasoma though I don't participate it, mengine uliyoandika yote nakubaliana na wewe
AmenPamoja
sana ,barikiwa[emoji1666][emoji1474]
Mkuu, umeongea ukweli kabisa. Pamoja na tamaa zetu wanaume lakini wadada wamekuwa ni warahisi sana, sana kupita maelezo. Kuishinda tamaa ya uzinzi kunahitaji kujitoa, sio kitu rahisi lakini ukijiwekea nadhiri, ukiangalia familia yako unaona ya nini nitese wanangu kwa tamaa za kupita.
Siku hizi tunatongozwa, hatujisifu ilà wanakuja wenyewe, wanajilengesha wenyewe, hadi unaulizwa hivi wewe ni mwanaume kweli, huoni kama nakupenda, naelewa una familia lakini nitaiheshimu familia yako, nakuhitaji wewe tu! Unabaki 'hihihiiiii', unampotezea hadi aelewe. Sitaki kusema sana maana watu hawachelewi kusema tunajisifu ilà tunatongozwa sana kipindi hiki, it's sad!!!
Sasa bibie mbona kama una majibu tayari,tena siyo majibu tu bali majibu mazuri. Kubali kuolewa tu mke wa pili, hata kwa siri siyo mbaya. Hiyo siri huwa kwa muda mfupi tu kuweka mazingira sawa, kisha maisha yanaendelea vizuri kabisa.Hatelekezi familia anaendelea kuhudumia familia kama kawaida
Na nimejiwekea boundaries siwezi kumuingilia bi mkubwa
As much as I want to feel guilty about this lakini pia moyo wangu una haki pia
Mbuzi anapigiwa gitaa,"wasichoke kukushauri",inamaana mpaka page 34 hujaona ushauri?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sijui kwanini nimetokea kukupenda bure
Huwezi amini nipo tofauti na unachokisema na kukifikiria
Although I sound naive and lost,ila nina akili zangu timamu tu na nikivuka hiki kistage nitakuja na update
Msichoke kunishauri
Hivi zile storee ni za kweli?
Weee basi huwa nafikiri ni fixni za kweli, kuna moja aliomba ushauri rafiki yangu ikawekwa mule.
naomba nikuulize maswali machache kuhusu huyo mume wa mtu,Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi, mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine.
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali, well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Update
Japo nashambuliwa lakini nawashukuru mnaniongezea nguvu ya kufanya maamuzi although yanauma.Nyie nipeni ukweli tu ukweli ni dawa itakayo niponya
So far naona kuna dalili ya kumtumia huyu mume wa mtu since anataka mwenyewe why not,hii sio final ila kutokana na ushauri ninaona nipite namna hio
kula raha dada. maisha ndo haya haya.wacha vyuma vijipange vyenyewe wewe vipake grisi tu visiumane.
sisi wasukuma tuna hela saivi na baba yetu anatupambania tuingie awamu nyingine.
NGOSHA
Hakunaga mwanaume mwenye mwanamke mmoja ,labda awe ana matatizo ya kiafya au maskini kupindukiaMke wangu nampenda mno na sipo tayari kumpoteza ila nimeshaamua liwalo na liwe. Yule mdada siwezi kumuacha aliwe na wahuni wengine maana jinsi ninavyomfeel siwezi hata kuelezea. Tukiwa chumbani huwa napata raha isiyokifani hivyo nimeshaamua bora nimuoe tu kuliko kumwacha akaolewa na mwanaume mwingine nikaishi a miserable life for the rest of life. Wife will have to just understand. I love her (my wife) but I'm also deeply in love with another woman.
Hatelekezi familia anaendelea kuhudumia familia kama kawaida
Na nimejiwekea boundaries siwezi kumuingilia bi mkubwa
As much as I want to feel guilty about this lakini pia moyo wangu una haki pia
Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi, mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine.
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali, well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Update
Japo nashambuliwa lakini nawashukuru mnaniongezea nguvu ya kufanya maamuzi although yanauma.Nyie nipeni ukweli tu ukweli ni dawa itakayo niponya
So far naona kuna dalili ya kumtumia huyu mume wa mtu since anataka mwenyewe why not,hii sio final ila kutokana na ushauri ninaona nipite namna hio
Sawa dear..nakuombea upate kilichobora mpendwa wangu

Waoh!! dear..ikawe kheri mamiiHatimaye nimepata dear
nambebisha mke wetuLucas Mobutu nakuona nakuonaaaaaaaa
😅hajui we mali yangu ?Eti Lucas Mobutu Embu nishauri, hawa Vijana wa siku hizi wametoka sayari gani mkuu?