cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Sure my dearYaan jf saiv inapoteza ladha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure my dearYaan jf saiv inapoteza ladha.
Waume za watu sio wakuamini Yani hapo anafata tu papuchi mkewe Yuko busy na ulezi, ka msaliti aliyemzalia yeye Ni Nani jomoni anafikiri papuchi yake tu ndio inajua kufinyia eeeh, awe makini asije kuwa single motherMie nimeshangaa "kufunga ndoa ya siri", bas nkaona kabisa hata huyo mwanaume anajua wazi kuwa wana dangiana tyuuuh.
Hakuna future yeyote ktk mahusiano ya mapenzi yao.
Yaaani nimemqangalia apa mke wangu kalala fofofo mambo ninayoyasomaMimi mwenyewe mkiristo ila ndio hivyo nafsi yangu ndio imefikia maamuzi ya kuoa mke wa pili. Nimemwambia tutafunga ndoa hata kwa kujificha, kama ndoa haitawezekana basi tuishi bila ndoa. Cheti cha ndoa ni makaratasi tu wala hayachangii chochote kwenye kupendana.
Uisilamu ni dini ambayo ipo very updated na asilimia 100% ya watu ktk maisha yao wanagusa ibada za kiislamu...
SINA MAANA KUISIFIA DINI YANGU LAA HASHA.
Ila hilo swala dada yngu ingekuwa inafuata dini ya kiislamu lingepata jawabu jepesi sana...coz ata hyo ndoa isingekuwa ya siri tena...
Wanaume wote tumeumbwa hvyo kupenda wanawake,watoto na mali...
Hakuna duniani mwanaume anae ridhika na mwanamke mmoja never,ndo mana tukapewa options ya wanne.
Ushauri wangu:-
Tatizo sio kukuoa mke wa pili Ila tatizo linakuja Kwenye uadilifu wa kuwahudumia wake wawili hasa baada ya kufunga ndoa...kaa ukijua maisha ya uchumba yanatofautiana Sana na maisha ya ndoa pia yanatofautia zaidi Sana na maisha baada ya kupata watoto.
Mwanamke unapokubali kuongezwa au kuongezewa mke mwenza embu angalia huyo mwanaume akili zake na misimamo yake ikiwemo na Imani yake.
Ndoa ya uke wenza inahitaji mwanaume mwenye akili,Imani na misimamo thabiti sio wa kuyumbisshwa au kupelekeshwa.
Nahitimisha kwa kusema huyu mwanaume si wakumuamini mchunguze vzur kabla hamjafunga hyo ndoa ya SIRI.
Inawezekana ndio au hapana nimeshindwa kuifafanua situation hii vizuri
Lakini naomba tu nikwambie nipo wakati mgumu
Umeshawahi kupenda watu wawili kwa wakati mmoja?
Hahaaa umewaza Nini kichwaniYaaani nimemqangalia apa mke wangu kalala fofofo mambo ninayoyasoma
Ungewaacha hao watatu baki na huyo mkeo mtarajiwa..unawafungia wadada baraka zaoWwawili ? me nawapenda wanne na wao kila mmoja anajua yeye ndio ataolewa ila mim sasa najua mmoja ndio ntamwoa hawa wengine watanisamehe kwakweli. Sasa the funy part is huyu ambae ndio ntamwoa akinizingua si ntabaki na hawa watatu ? sasa basi hawa watatu hawapo kwene list ya wake zangu nitatafuta mwingine kabisaa. Dunia hii daaah
Kwa hiyo ukishafikisha wake nne ndo unaridhika na hautopenda tena?
Point of correction: unaposema wanaume wote hawaridhiki, jisemee wewe na nafsi yako. Wapo wanaume wa mke mmoja na wametulia na wake zao, na wana pesa na nguvu pia. Kuridhika ni uamuzi binafsi; wapo wenye wanawake watano+ na bado hawaridhiki.
Mimi ni mwanaume ninae ongea kwamaana tunajijua... mwanaume kamili shababi haridhiki na mwanamke mmoja....
nikweli mwanaume anaweza akawa anawake ata mia moja na bado haridhiki kutokana na matamanio yetu tuliyoumbiwa.
ndomana nikasema kuoa mwanamke zaidi ya mmoja hii jambo linapendeza kufanywa na mwanaume mwnye akili,msimamo na Imani thabiti.....na kuoa wake wengi sio kazi Ila kazi ipo kwenye kuwatendea haki sawaa..
Ukiona mwanaume kaoa mwanamke mmoja afu katulia hachepuki huyo mwanaume huenda anamatatizo either kiafya au kiuchumi.... over
Huo ndo ukweli....aje apa mwanaume yoyote apinge huu ukweli.Narudia tena; jisemee tu nafsi yako. Sio wanaume wote hawaridhiki na mtu mmoja period.
Wapo wengi tu; labda hawajaona umuhimu wa kuja kubishana. Nilikuwa nakukumbusha tu usifikiri kila mwanaume yupo kama wewe; hamuwezi kufanana dunia nzima.Huo ndo ukweli....aje apa mwanaume yoyote apinge huu ukweli.
Sasa wewe jifariji tuuh...
Basi anyooshe ata mokono tu...Wapo wengi tu; labda hawajaona umuhimu wa kuja kubishana. Nilikuwa nakukumbusha tu usifikiri kila mwanaume yupo kama wewe; hamuwezi kufanana dunia nzima
Kila binadamu hutamani vitu tofauti tofauti na binadamu haridhiki na kitu kimoja hata wewe mkeo humridhishi Ila kspiga kimya tu, kutulia huwa ni matter ya maamuzi na self control hyo ya kusema hamuridhiki Ni Mila potofu tu za zamani za wanaume kujipendelea, hata nyie wanaume huwa hamturidhishi Ila tunaacha kuhangaika. So inshort hata wanawake tunapenda vitu tofauti, pia binadamu kuridhika ngumu.Mimi ni mwanaume ninae ongea kwamaana tunajijua... mwanaume kamili shababi haridhiki na mwanamke mmoja....
nikweli mwanaume anaweza akawa anawake ata mia moja na bado haridhiki kutokana na matamanio yetu tuliyoumbiwa.
ndomana nikasema kuoa mwanamke zaidi ya mmoja hii jambo linapendeza kufanywa na mwanaume mwnye akili,msimamo na Imani thabiti.....na kuoa wake wengi sio kazi Ila kazi ipo kwenye kuwatendea haki sawaa..
Ukiona mwanaume kaoa mwanamke mmoja afu katulia hachepuki huyo mwanaume huenda anamatatizo either kiafya au kiuchumi.... over
HaswaaahSure my dear
Huyu ni single mother mtarajiwa.Waume za watu sio wakuamini Yani hapo anafata tu papuchi mkewe Yuko busy na ulezi, ka msaliti aliyemzalia yeye Ni Nani jomoni anafikiri papuchi yake tu ndio inajua kufinyia eeeh, awe makini asije kuwa single mother