Trapped to a married man

Fanya kinachokupa furaha..full stop
 
Mie nimeshangaa "kufunga ndoa ya siri", bas nkaona kabisa hata huyo mwanaume anajua wazi kuwa wana dangiana tyuuuh.
Hakuna future yeyote ktk mahusiano ya mapenzi yao.
Waume za watu sio wakuamini Yani hapo anafata tu papuchi mkewe Yuko busy na ulezi, ka msaliti aliyemzalia yeye Ni Nani jomoni anafikiri papuchi yake tu ndio inajua kufinyia eeeh, awe makini asije kuwa single mother
 
Haupo alone madam, Wanawake wengi wanaotembea na waume za watu huona kama wapo special kuliko mke official na pengine uhusiano wao upo real sana kuliko uliompush huyo jamaa kumuoa huyo aliyenaye. Wanahisi kama wao ndio kituo cha mwisho cha safari ya jamaa na kumbe mara nyingi ni illussions tu lakini ubongo hushtuka wanapojikuta katika state ya kuwa "Official" na kupitia vitu alivyopitia aliyepita..

Lakini si unajua life halina formular, fanya unachotaka
 
Yaaani nimemqangalia apa mke wangu kalala fofofo mambo ninayoyasoma
 

Kwa hiyo ukishafikisha wake nne ndo unaridhika na hautopenda tena?

Point of correction: unaposema wanaume wote hawaridhiki, jisemee wewe na nafsi yako. Wapo wanaume wa mke mmoja na wametulia na wake zao, na wana pesa na nguvu pia. Kuridhika ni uamuzi binafsi; wapo wenye wanawake watano+ na bado hawaridhiki.
 
Mapenzi yana mambo ya ajbu sana daah Muombe Mungu tu, we angalia moyo wako upo wapi , ila pia tunarud pale pale kwanini single girls wanapenda sana married guys ? au guys waliopo kwene relationship ?
 
Inawezekana ndio au hapana nimeshindwa kuifafanua situation hii vizuri
Lakini naomba tu nikwambie nipo wakati mgumu
Umeshawahi kupenda watu wawili kwa wakati mmoja?

Wwawili ? me nawapenda wanne na wao kila mmoja anajua yeye ndio ataolewa ila mim sasa najua mmoja ndio ntamwoa hawa wengine watanisamehe kwakweli. Sasa the funy part is huyu ambae ndio ntamwoa akinizingua si ntabaki na hawa watatu ? sasa basi hawa watatu hawapo kwene list ya wake zangu nitatafuta mwingine kabisaa. Dunia hii daaah
 
Ungewaacha hao watatu baki na huyo mkeo mtarajiwa..unawafungia wadada baraka zao
 

Mimi ni mwanaume ninae ongea kwamaana tunajijua... mwanaume kamili shababi haridhiki na mwanamke mmoja.... nikweli mwanaume anaweza akawa anawake ata mia moja na bado haridhiki kutokana na matamanio yetu tuliyoumbiwa.

Ndomana nikasema kuoa mwanamke zaidi ya mmoja hii jambo linapendeza kufanywa na mwanaume mwnye akili,msimamo na Imani thabiti.....na kuoa wake wengi sio kazi Ila kazi ipo kwenye kuwatendea haki sawaa.

Ukiona mwanaume kaoa mwanamke mmoja afu katulia hachepuki huyo mwanaume huenda anamatatizo either kiafya au kiuchumi.... over.
 
Narudia tena; jisemee tu nafsi yako. Sio wanaume wote hawaridhiki na mtu mmoja period.
 
Wapo wengi tu; labda hawajaona umuhimu wa kuja kubishana. Nilikuwa nakukumbusha tu usifikiri kila mwanaume yupo kama wewe; hamuwezi kufanana dunia nzima
Basi anyooshe ata mokono tu...

Kweli wanaume hatuwezi kufanana dunia nzma na tofauti yetu apo inatokana either afya au uchumi...over
 
Kila binadamu hutamani vitu tofauti tofauti na binadamu haridhiki na kitu kimoja hata wewe mkeo humridhishi Ila kspiga kimya tu, kutulia huwa ni matter ya maamuzi na self control hyo ya kusema hamuridhiki Ni Mila potofu tu za zamani za wanaume kujipendelea, hata nyie wanaume huwa hamturidhishi Ila tunaacha kuhangaika. So inshort hata wanawake tunapenda vitu tofauti, pia binadamu kuridhika ngumu.
 
Speaking the honestly
Wew Dada unajidanganya unavo sema unawapenda wote wawili

Huyu Jamaa ambae yupo single humpendi, nakuomba muache na maisha yke akatafute wa kufanana nae

Life is too short Kama umeridhia kua na Mume wa mtu na moyo umekusuma nenda ( chochote kitakacho tokea ni your choice)

Ila single boy wa watu muache

Unaitaji ku enjoy maisha na kutafuta a truly love
 
Waume za watu sio wakuamini Yani hapo anafata tu papuchi mkewe Yuko busy na ulezi, ka msaliti aliyemzalia yeye Ni Nani jomoni anafikiri papuchi yake tu ndio inajua kufinyia eeeh, awe makini asije kuwa single mother
Huyu ni single mother mtarajiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…