Trapped to a married man

Trapped to a married man

Unajitumbukiza kwenye shimo mwenyewe. Olewa na yule ambaye hajaoa. Utakuja elewa baadae.
 
Pale watakatifu wanapokomenti kwa kumponda Dada wa watu!

Hivi vitu vipo na hutakiwa wa kwanza. Angalau maisha yako ,sikiliza moyo wako ,sikiliza sauti ya ndani kwako.

All the best
 
Kuna vitu ni vigumu kuvielewa. Itakuchukua muda pia kumuelewa mtoa mada. Mchango mzuri acha niufanyie kazi kwasababu niko kwa situation km hii hii.
Mkuu, uzi kama huu lazima uteke hisia za watu coz unagusa the inner part of our hearts so usishangae sana.

Watu wanawaza future yako na huyo jamaa, wanarudi kuwaza kuhusu huyo mke mkubwa, wapo watoto katikati hapo so it must be a complicated case. Sio kwamba watu ni watakatifu, no ilà hii mada ina uzito coz inagusa maisha ya watu.

Hapa wewe unaweza kulichukulia lightly, lakini kuna watoto wanaweza kutelekezwa in the name of love, kuna mama anaweza kuishi kwa frustration hadi kufa kwa sonona kisa maamuzi utakayofanya.

Mimi namuona huyo jamaa mkosefu sana, anamkosea mkewe lakini anaiharibu nyumba yake, you've come in the middle of everything but he deserves the blame, angetulizana ungebaki na kijana huyo maisha yakaenda, but he didn't.

He's a successful man kutokana na maelezo yako, mind you his wife has a hand in it. Hakufanikiwa tu hivi hivi, leo kapata anaona ni heri aoe kwa siri, WTF is he thinking? Sasa wewe ndio muonyeshe kuwa anachofanya sio sahihi, he should go back to his beautiful wife alee vijana wake, wewe rudi kwa huyo kijana muanze maisha yenu. In the end hata wewe utakuwa proud na mafanikio yako na mumeo, sio hiyo "readymade" uliyoikuta hapo. Watu wanaanza mbali jamani, oneni tu majumba, magari et al, watu wameanzia chini mno. Why usiwe sehemu ya historia ya familia yako?

BTW, ungejaribu kumtafuta huyo bi'mama akupe ABC za jamaa, huenda you don't know him that much. That's my two cents!!
 
Ila huyu dada kusema kweli yuko njiapanda:

1. Kuacha fursa ya uchumi kunahitaji uwe na roho wa Mungu kweli kweli. Ni wanawake wachache sana hawanasi kwenye mtego wa uchumi. Hata wake za watu wengi tu wanashindwa kutunza uaminifu wa ndoa zao wakikutana na mtego wa pesa.

2. Kuna shida somewhere kwenye ndoa ya huyo mwanaume. Huyo jamaa hajamtafuta huyu binti kwa bahati mbaya. Ndo maana anathubutu kumtambulisha kwa ndugu zake. Ktk situation hii, siyo rahisi kwa huyu dada kuchomoka, isitoshe kwake ni fursa.

3. Wadada wengi wanapenda wanaume wenye navyo tayari (kitu ready made). Yule dogo bado ana husle kimaisha, bright future is still uncertain. Bado hajafika level ya mshua, na huenda asifike kabisa. Au afike after so many years.Sasa mdada ule msemo 'we live now' ndo unampa nguvu.

4. Prediction is difficult in either case. Anaweza olewa na dogo, naye baada ya uchumi kunoga akaanza kuzingua tena. Wanaume wengi tabia zao halisi hujulikana baada ya pesa kukubali.

5.Mwenyezi Mungu amuongoze kwenye maamuzi yake
Hapo kwenye point number 4 nadhani labda uelewi familia zetu waswahili vizuri, hivi unajua kwamba kwenye familia zetu mtu akiwa na pesa hata akiwa na vimada nje au tabia chafu yoyote nduguze uuchuna na hakuna wa kumkanya kwa tabia hiyo kisa tu anapesa na ndio kila kwenye shida umlilia yeye ili atatuliwe shida zake,hivyo hapo familia yake kumsapoti sio ajabu japokuwa wanajua jamaa anachofanya sio fair .
 
Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi

Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.

Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi,mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.

Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.

Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.

Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.

The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.

Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba,na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine

Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.

To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.

Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.

Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea

PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Update
Japo nashambuliwa lakini nawashukuru mnaniongezea nguvu ya kufanya maamuzi although yanauma.Nyie nipeni ukweli tu ukweli ni dawa itakayo niponya
So far naona kuna dalili ya kumtumia huyu mume wa mtu since anataka mwenyewe why not,hii sio final ila kutokana na ushauri ninaona nipite namna hio
Naomba namba ya huyo kijana mwenzangu ambaye hajaoa nimpigie simu aachane na ww,utaanza kumsumbua mapema sana kwenye ndoa akithubutu kukuoa,maana tabia ya malaya huonekana mapema sana.
 
You sound like school boy , real man settle with his only wife hasa kwa mume anayetumia muda wake mwingi kuzalisha , sasa wewe mfalme wa kungonoka endelea na uswati wako uje kutupa mrejesho hapa zaidi ya wingi wa mabao , kukatiwa viuno , mitoto na wanawake kibao , chochoro za lodge na hotels , magonjwa na kufulia na kupukutishwa juu nn zaidi . Hajawahi kutokea bingwa wa kuwala wanawake hata mfalme mwenzio Suleiman kiboko ya warembo duniani alioa wanawake 1000 bado hakuridhika na kuridhika na mke mmoja ni kiset akili tu wacha udhaifu kijana ni elastic hizo hata ukipe vp zinatanuka na kusinyaa.
Ahahaaa...

Mbna unaongea kwa hisia sanaa mkuu.

Wanawake ni starehe kama starehe zengne,kwani kulishawai kutokea bingwa wa kunywa pombee au kuvuta bangi...?

Na sizungumzii wanawake wa kungonoka/kuzini nao tuelewane apo hyo ni haramu......ata uwe busy kiasi gani ktk dunia hii kama kweli kiafya uko vzur swala la hisia kwa wanawake litakujia tuu.

Bado nasimamia msimamo wangu hakuna mwanaume anaesema mimi mke Wang mmoja ananitosha huo ni uongo sema tu tatzo labda kipato au afya...

Hili swala adi mapadri na makasisi limewashindwa achana na wachungaji hao ndo usiseme wanayoyafanya Mungu awasamehe.
Wanaume wa sampuli yako nyuma ya pazia wanafanya mambo ya ajabu sana...
 
Tena kwa kingine huyo mke wa mtu akuroge mpaka uokote makopo barabarani mkome kabisa wanaume wa watu
 
Duh, you sound childish, samahani kwa mawazo yangu mkuu. Unadhani kuvua ovyo boksa ni ushababi, well huenda umri ukizidi kuongezeka utajifunza zaidi.
Ahahaaa...
You have got me wrong...

Tatzo hujajibu swali apo...na huenda hukunielewa nini nazungumzia.

Nazungumzia ndoa ya mke zaidi ya mmoja na sio ngono ya mwanake zaidi ya mmoja.
 
Ahahaaa...
You have got me wrong...

Tatzo hujajibu swali apo...na huenda hukunielewa nini nazungumzia.

Nazungumzia ndoa ya mke zaidi ya mmoja na sio ngono ya mwanake zaidi ya mmoja.
Hapo sawa mkuu.
 
Sijui mimi labda nikuulize wewe unaowajua hao Malaya wenzio
Wewe kwa umri wako huo mpk leo hujui kama kutembea na mume wa mtu ni umalaya tu? mpaka ujifanye kushangaa eti hukujua ndiyo maana nimekwambia malaya mpo wengi humu.
Yaani mtu upo single unaacha kutafuta single mwenzio unang'ang'ania wame wa watu.
 
Wewe kwa umri wako huo mpk leo hujui kama kutembea na mume wa mtu ni umalaya tu? mpaka ujifanye kushangaa eti hukujua ndiyo maana nimekwambia malaya mpo wengi humu.
Yaani mtu upo single unaacha kutafuta single mwenzio unang'ang'ania wame wa watu.
Sasa wewe kutokujua kwangu inakuuma Nini? Alafu kwani Hilo swali uliulizwa wewe? Na ndiyo sikujua ndiyo maana nikauliza ni vyema nimejua Malaya mpo wengi kumbe..una lingine?dada
 
Naomba namba ya huyo kijana mwenzangu ambaye hajaoa nimpigie simu aachane na ww,utaanza kumsumbua mapema sana kwenye ndoa akithubutu kukuoa,maana tabia ya malaya huonekana mapema sana.
[emoji3]
 
Kumsingi, wewe ndie una matatizo. Wanaosema mume au mke wa tu ni sumu huwa mnawaza swala la kukamatwa tu na kubananishwa ila mnasahau kuwa kitendo cha kuingia kimahusiano na mume au mke wa mtu sio tu ni hatari kwa afya na usalama wako lakini pia unakaribisha unnecessary complications kama kupata mtoto nae, au kupeka ujauzito na kuzaliwa watoto wa nje ya ndoa katika ndoa ya mtu, kujenga hisia na mume au mke wa mtu kiasi kwamba unaanza kumuona mwenye mke au mume kuwa anakunyima haki yako ya kuwa na mtu unae mtaka.


Wewe una matatizo sababu ulikubali from the beginning ukijua huyo ni mume wa mtu, ulitakiwa mapema sana ulipojua kuwa ni mume wa mtu, muda ule ule ungesitisha mazoea na kuachana nae.

Sasa kwanza unadanganya kuwa unapenda wanaume wawili kwa wakati m'moja, how is that even love kwanza?! How is it possible kupenda watu wawili kwa usawa ule ule....?!

So we kubali tu kuwa wewe ndie tatizo. Na kuhusu kukushauri, kwa sasa ni ngumu maana nitakushauri maamuzi magumu ya kumuacha mume wa mtu na kuwa na huyo ambae hana mtu maishani mwake. Swala ambalo najua litakuwa ni gumu sana kwako kufanya kwa wakati huu.

Mmmmmmhmn ila aisee watoto wa kike muda mwingine, mna akili za kipuuzi..... Yote hiyo ni tamaa. Sasa unaanzaje kujenga na mume wa mtu?! Na unajua mtu ana familia yake?!

Kuna sehemu nimemuuliza, what is love hajanijibu

Yaani anawapenda watu wawili kimapenzi kwa usawa ule ule
 
Kama ni muislamu akuoe mke wapili


Km mkristo na anasema anakupenda kweli basi amuache mke wake akuoe wewe na hicho ndo kipimo sahihi kwamba kweli anakupenda otherwise unalishwa matango pori tu..


Ngoja nikupe siri mwanaume akipewa stress na mkewe au akinyimwa unyumba na mkewe kwa kipindi kirefu uwaga inafika kipindi anakuwa kavurugwa kabisa hajui hata kwanini kaoa huyo mwanamke sasa ukitokea unampa game za kutosha,mko nae mbali mbali hivyo haumpi stress basi anaweza kuhamia kwako lakini SI kwasababu anakupenda sana ila ni kwasababu kuna vitu unampa ambavyo mkewe hampi...

Sio love hiyo ni hiyo sex na stress free ndo vimemroga kua makini Mwanaume huyo anaweza kuacha mke kwa mchepuko, huyo ni limbukeni atakuacha wewe kwa mwanamke mwingine kipindi ambacho huwezi kumpa sex..

Mwanaume ambaye si limbukeni hawezi kumushusha mke thamani eti unamtelekeza mke sababu ya mchepuko labda km alikulupuka kuoa ila Mimi na akili zangu timamu kabisa nimchunguze mwanamke weeeeeee,nimtolee mali,nimuoe halafu atokee mwanamke mwingine eti nimpe thamani kubwa mchepuko kuliko mke.Neveeeeer haipo hiyo.

Na wewe ur self esteem is low ndo mana unategemea thamani za wanaume wanaokutongoza kujiona una thamani.Mwenyewe hapo unajiona una thamani kisa mwanaume kaacha mkewe kukufuata wewe, kisa mkaka mwenye kazi yake nzuri anakutongoza hahaahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].B.

Indeed low self awareness and self esteem ndiyo inawatesa sana mabinti wengi, wameshindwa kujithamini wenyewe na hawana standards zao wenyewe

Yaani unaona namna anavyosimulia na alivyokuwa proudly mpaka unajiuliza inawezekanaje unagundua tuna safari ndefu
 
Wakati wengine wanatafuta waume wanaandika na matangazo wengine mko njia panda na ndoa 2
Ama kweli mwenye nacho ataongezewa[emoji23][emoji23][emoji23]

Life isn’t fair we have to get used to it [emoji3]
 
Wanawake wengine hawawazi hilo...mapenzi upofu
Sijawahi ona wakwe Wana support uvunjifu wa ndoa ya mwanao wenye watoto, Hawa watu Ni wachawi na Wana roho ya ushetani seems huyo mke hawalambi makalio na kujipendeza au kuwanyenyekea and it's seems huyo mwanamke ndio mwenye kipato so wanamtumia huyu mchepuko kumuumiza mke mkubwa, dah inabidi kuwa makini na familia tunazoenda kuolewa nazo, Yani familia Ina support huo ujinga ptuuu
 
Back
Top Bottom