elbarik
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 576
- 395
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja wapishi hodari wa takwimu waje kwa povu.
Hahahahaha, hii habari Mbona inasema mapato ya utalii mwaka Jana ni $7.9M, wakati Balala alisema mlipata $1B, tumuamini nani?, mlivyo mazuzu mnaishabikia hii taarifa. Sasa kama mnafurahia $7.9M, je anayepata $2B afanye nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe ni kama magufuli kizungu ngumu Sana kwako 790bn za pesa ya Kenya no USD 7.9bn....pesa ya Kenya si ya madafu kama ldc[emoji41][emoji41]Hahahahaha, hii habari Mbona inasema mapato ya utalii mwaka Jana ni $7.9M, wakati Balala alisema mlipata $1B, tumuamini nani?, mlivyo mazuzu mnaishabikia hii taarifa. Sasa kama mnafurahia $7.9M, je anayepata $2B afanye nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi niulize nyi wabongo mnajua kusoma kizungu,?yaani unamsjabikia mwenzako na awezi kuconvert ksh790bn to ksh.....zzzzeee mmmeme smh...Ahaaa haaa haaa
7.9 vs 20
Hadi raha.
Jinga Wewe, hakuna nchi yoyote ile Africa inayopata hiyo pesa katika utalii, hata South Africa hawapati $7B, tumia akili hiyo.Yaani wewe ni kama magufuli kizungu ngumu Sana kwako 790bn za pesa ya Kenya no USD 7.9bn....pesa ya Kenya si ya madafu kama ldc[emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi niulize nyi wabongo mnajua kusoma kizungu,?yaani unamsjabikia mwenzako na awezi kuconvert ksh790bn to ksh.....zzzzeee mmmeme smh...
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wewe, huoni kwamba hiyo ni typing error, Balala alisema Kenya ilipata $1B mwaka 2018. Kutoka $700M iliyopata mwaka 2017. Katika Ubungo wako unahisi wameruka Kutoka $$700M mwaka 2017 hadi $7.9B ndani ya mwaka mmoja?, Kwahiyo Balala aliposema mapato ya Kenya ni $1B, hana akili Wewe Ndio mwenye akili?Hivi niulize nyi wabongo mnajua kusoma kizungu,?yaani unamsjabikia mwenzako na awezi kuconvert ksh790bn to ksh.....zzzzeee mmmeme smh...
Sent using Jamii Forums mobile app
sababu kazi yako hapa jf ni kufungua huo mdomo wako na kukurupuka kama wazimu, haukusoma taarifa yenyewe hivyo haukuona maelezo ya hiyo figure ya $7.9b. Kojoa ulale kijana Kenya sio size yako!Jinga Wewe, hakuna nchi yoyote ile Africa inayopata hiyo pesa katika utalii, hata South Africa hawapati $7B, tumia akili hiyo.
Kwa mfano iwe ni kweli wamepata hiyo pesa, Mbona Balala alisema wamepata $1B, nani ni kweli?i
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah, tunawapiga katika utalii left and right, mnabaki kushabikia articles zinazowapa matumaini ya uongo, Bongo ndio baba lao katika utalii.sababu kazi yako hapa jf ni kufungua huo mdomo wako na kukurupuka kama wazimu, haukusoma taarifa yenyewe hivyo haukona maelezo ha hiyo figure ya $7.9b. Kojoa ulale kijana Kenya sio size yako!
View attachment 1045081
mtu ambaye hawezi fanya simple conversion hafai kuwa mitandaoni akitusi watu. Why are tanzanians soo stupid??Huwa sipotezi MUDA kuongea na dumb people like you.