Travel $ Tourism contributed 8.8% to Kenya's GDP.

Travel $ Tourism contributed 8.8% to Kenya's GDP.

Ngoja wapishi hodari wa takwimu waje kwa povu.
 
Lakini tunafaa tupokee habari hii tukijua utalii wetu ulikua umepungua kutokana na mashambulizi ya kigaidi tangu 2013, sahii ndo tuna recover kwahivyo hii 5.6% growth imeturegesha pale tulipokua 2011, kuanzia huu mwaka kwenda mbele sasa ndo tunafaa kuchukua usukani vizuri
 
Duh! Hizi habari nzuri sana, ila zitawapa watu kihoro....
 
Hahahahaha, hii habari Mbona inasema mapato ya utalii mwaka Jana ni $7.9M, wakati Balala alisema mlipata $1B, tumuamini nani?, mlivyo mazuzu mnaishabikia hii taarifa. Sasa kama mnafurahia $7.9M, je anayepata $2B afanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe ni kama magufuli kizungu ngumu Sana kwako 790bn za pesa ya Kenya no USD 7.9bn....pesa ya Kenya si ya madafu kama ldc[emoji41][emoji41]

Jinga Wewe, hakuna nchi yoyote ile Africa inayopata hiyo pesa katika utalii, hata South Africa hawapati $7B, tumia akili hiyo.

Kwa mfano iwe ni kweli wamepata hiyo pesa, Mbona Balala alisema wamepata $1B, nani ni kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi niulize nyi wabongo mnajua kusoma kizungu,?yaani unamsjabikia mwenzako na awezi kuconvert ksh790bn to ksh.....zzzzeee mmmeme smh...

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wewe, huoni kwamba hiyo ni typing error, Balala alisema Kenya ilipata $1B mwaka 2018. Kutoka $700M iliyopata mwaka 2017. Katika Ubungo wako unahisi wameruka Kutoka $$700M mwaka 2017 hadi $7.9B ndani ya mwaka mmoja?, Kwahiyo Balala aliposema mapato ya Kenya ni $1B, hana akili Wewe Ndio mwenye akili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinga Wewe, hakuna nchi yoyote ile Africa inayopata hiyo pesa katika utalii, hata South Africa hawapati $7B, tumia akili hiyo.

Kwa mfano iwe ni kweli wamepata hiyo pesa, Mbona Balala alisema wamepata $1B, nani ni kweli?i

Sent using Jamii Forums mobile app
sababu kazi yako hapa jf ni kufungua huo mdomo wako na kukurupuka kama wazimu, haukusoma taarifa yenyewe hivyo haukuona maelezo ya hiyo figure ya $7.9b. Kojoa ulale kijana Kenya sio size yako!

IMG_20190313_223059_969.JPG
 
sababu kazi yako hapa jf ni kufungua huo mdomo wako na kukurupuka kama wazimu, haukusoma taarifa yenyewe hivyo haukona maelezo ha hiyo figure ya $7.9b. Kojoa ulale kijana Kenya sio size yako!

View attachment 1045081
Hahahahahah, tunawapiga katika utalii left and right, mnabaki kushabikia articles zinazowapa matumaini ya uongo, Bongo ndio baba lao katika utalii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom