kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Kutumia hotel rooms kama ndio justification ya tourists revenues ni blatantly wrong hakuna nchi duniani ambayo watalii wanapita wenyeji kwenye matumizi ya hotels
Mbuga zote Tanzania watalii wa kitanzania ni wengi kuliko watalii wa nje so even by counting gates passes bado utakua wrong, njia sahihi ni kutumia statistics za mamlaka husika na idadi ya wageni toka nje moja kwa moja
Using hotel beds statistics is the most lamest way to counter this topic, come again
Wacha basi nifanye correction kulingana na ulivyosema kuhusu matumizi ya hoteli.
Kenya hotel guests (locals + foreigners) = 3.3 million
Tanzania hotel guests (locals + foreigners) = 1.5 million
Foreign tourists sleep in hotels. Period.
If not all of them, 99% of them.