YoungD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,275
- 1,332
Hahahahahah, tunawapiga katika utalii left and right, mnabaki kushabikia articles zinazowapa matumaini ya uongo, Bongo ndio baba lao katika utalii.
Sent using Jamii Forums mobile app
sisi tunadeal na facts na takwimu sio maneno, ushabiki na propaganda za wanalumumba.