CentDeveloper
Member
- Dec 16, 2021
- 6
- 2
Habar. Nina swali kuhusu passport ya kisafiria.
Niko katika harakati za kuomba scholarships tofauti tofatu. Lakini nimekutana na changamoto ya Kujaza namba ya passport na nakala yake na ni lazima kabla hujasubmiti ombi.
Nikaona ni vyema nirudi katika utafutaji wa passport. nimeingia katika tovuti na kuaanza kujaza form. Changamoto ni kuwa katika kipengele cha madhumuni ya safari.
1. Madhumini ni kusoma. lakini nchi nashindwa kujaza nchi ipi maana bado sijakubariwa lakini pia ombi haliwezi kukubarika bila kujaza hiyo namba ya passport na ku upload nakala ya passport.
swali langu.
Ni namna gani nyingine ya kujaza hiki kipengele maana bado sijakubaliwa katika vyuo ninavyoomba lakini pia ombi bado siwezi kulikamilisha kwa kikwazo hicho.
2. Na huku uhamiajzi form nimeshindwa kukamilisha kwa kutoweza kujaza nchi niiendayo maana siwezi kujaza nchi ambayo sijakubaliwa.
Msaada wa maelekezo katika hili swala tafadhari