Travelling Passport

Travelling Passport

CentDeveloper

Member
Joined
Dec 16, 2021
Posts
6
Reaction score
2
Habar. Nina swali kuhusu passport ya kisafiria.

Niko katika harakati za kuomba scholarships tofauti tofatu. Lakini nimekutana na changamoto ya Kujaza namba ya passport na nakala yake na ni lazima kabla hujasubmiti ombi.

Nikaona ni vyema nirudi katika utafutaji wa passport. nimeingia katika tovuti na kuaanza kujaza form. Changamoto ni kuwa katika kipengele cha madhumuni ya safari.

1. Madhumini ni kusoma. lakini nchi nashindwa kujaza nchi ipi maana bado sijakubariwa lakini pia ombi haliwezi kukubarika bila kujaza hiyo namba ya passport na ku upload nakala ya passport.

swali langu.

Ni namna gani nyingine ya kujaza hiki kipengele maana bado sijakubaliwa katika vyuo ninavyoomba lakini pia ombi bado siwezi kulikamilisha kwa kikwazo hicho.

2. Na huku uhamiajzi form nimeshindwa kukamilisha kwa kutoweza kujaza nchi niiendayo maana siwezi kujaza nchi ambayo sijakubaliwa.

Msaada wa maelekezo katika hili swala tafadhari
 
Passport kupata omba unaenda kutembea Zambia,Malawi au Kenya ni haki yako kuwa na passport ingawaje maswali ya kizembe inatakiwa wayaondoe pale..ni rahisi kupata passport kwa wageni ila Raia wanasumbuka kweli mimi naumia sana kwenye hilo wakati Nchi zingine za Afrika tuu passport unaweza ukaomba kwa kujaza form za bank wao ndio watakuletea au utaenda kufata...
 
Wanatoa pasi kama vile ni favor kumbe ni haki ya mtu.
 
Unakuta mfanyakazi wa uhamiaji anamtolea mtoto wake wa miaka miwili ila mtu mzima Mtanzania mwenzie maswali kibao na kitambulisho cha Nida anacho cha kura anacho sasa wanataka nini hata vya shule anavyo si mambo ya ajabu hayo wananyima watu fursa wakati wao wana fursa tayari yaani wanaona wakimpa Mtanzania passport wamempa maisha..
 
Ni hatari sana kwakweli, Nilikutana na Wahindi Immigration duuh! Walikuwa na mabahasha walinyenyekewa wengine tulisahaulika kwanza.
 
Jaza nchi mojawapo kati ya zile unazotaka kuomba passport.

Lile swali huwa ni formalities tu japo badae watataka barua toka nchi husika wakisema ni kweli wanakuita.

So cha kufanya hapo hebu tafuta mtu hata wa kenya...akuandikie proof letter .......
 
Ndio Bongo hiyo wakati Nchi za wenzetu sehemu ya raia inatengana na wageni na raia ananyenyekewa kweli..unakuta kibao cha Raia tuu...sehemu ingine wageni Nchi yetu ni ya wageni kwenye mambo ya msingi raia akiwa hana nguvu hapati haki yake..
 
Scholarship huwa zinahitaji nakala ya passport?

Usije ukaangukia mikononi mwa wanaija mkuu
 
kaka mimi 70% ya scholarships, sponsorship hata kuapply vyuo vya kwaida nchini za njee wanahitaji passport naweza nikakutumia mfano nili screen shoot kabisa maana nilitaka niende moja kwa moja office zao nione napata maelekezo gani kuhusu hii swali na hichi kikwazo wanafunzi wengini tunakutanacho sana.
 
Screenshot_2021-12-28-19-37-19-33.png
 
Tunasubiri majibu kutoka kwa wadau!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
kaka msadie maana nimeahindwa nifanyaje. kuna afya uhamiaji ninazo namba zake lakini nikituma sms anajibu kwa kifupi hafunguki sasa sijui shida nini. hizi agency nazo zinazodeal na haya mambo pia hata sms hawajbu sasa sijui wanaona watakurahisishia sana badala ukawape pesa wao wakfanyie sielewi
 
Jaza nchi mojawapo kati ya zile unazotaka kuomba passport.

Lile swali huwa ni formalities tu japo badae watataka barua toka nchi husika wakisema ni kweli wanakuita.

So cha kufanya hapo hebu tafuta mtu hata wa kenya...akuandikie proof letter .......
usemalo ni kweli sasa kama ukikosa siunanona tayari umeingia gharama. sema hiyo ya kenya iko poa.
 
Back
Top Bottom