Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nae kila kitu unasingzia siasa tu. Nahisi hata nyumbani kwako kitu kikikosekana utasema siasaTusizidi kudanganyana Reli tulizirithi kutoka kwa Mkoloni na Mabehewa yake tumeshindwa sisi wenyewe na mambo ya Siasa za kijinga
Tusimtafute Mchawi
Kijana hata hela ina picha ya Wanasiasa, kukosekana kwa Sukari Mafuta na haya Dawa ya meno vimewahi kukosekana kwa sababu ya Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea labda kama ulikuwa hujazaliwa.Wewe nae kila kitu unasingzia siasa tu. Nahisi hata nyumbani kwako kitu kikikosekana utasema siasa
Trump aliwaambia ukweli mkamuona ana dharauKama ni kweli basi sisi waafrica ngozi nyeusi ni watu tuna shida. Ni kama wanyama wa mwituni!!kitu tunachopatia zaidi ni wizi, uchafu, kuvua boxer na bikini na kujunjana na uchawi basi. Inasikitisha na kuumiza sana.
Badala ya kuwa chini ili kudaka wateja wengi ndio wako juu hatari sanaNaungana na mtoa mada.. kuhusu ubinafsishaji wa huduma.
Pia gharama za usafirishaji mizigo zimekuwa sii rafiki ukilinganisha na malori.
Pia ni vizuri kuboresha madaraja ya wasafiri walao kuwe na behewa moja la daraja la kwanza. Nasema hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya wasafiri wa daraja la pili wengi wanajiweza na wamekuwa wakiutumia usafiri huu kama sehemu ya utalii.
Ni vizuri pia kuanzisha ruti za mchana ili kuweza kufaidi vivutio mbali mbali vilivyoko njiani.
I agree with you [emoji1666][emoji1666]Yaani screen kupanda BM luxury coach kwa elfu 35 ambapo nakaa kwenye siti kuna screen ya kuangalia movies au video music, ambapo baada ya 8 hrs niko Moshi nihangaike na treni??Hizo ni stori tu, hilo shirika limepigwa na hao hao ccm, mkurugenzi anateuliwa kisiasa wajumbe wa bodi ni haohao wanapeana na kuhongana.
Baada ya mabarabara kuboreka watu wengi waluamua usafiri wa barabara kwa sababu ya uharaka
Wenye mizigo nao waliihama TRC kutokana na mizigo yao kuibiwa na kupotea bila kulipwa fidia
Mizigo ilikuwa inachelewa sana sana tuache kuwasingizia wafanya biashara wanaoteseka kila kukichwa.
Mtaelewa umuhimu wa kujenga strong institutions sasa"Ukataji tiketi ndani ya treni yaani malipo sio kwa GePG tena" sasa ni dhahiri miradi alitoanzisha Magufuli inakufa.
Yale ma engine ya kizamani ukauze South Africa??Hoja zooote nimekubaliana na wewe lakini uliposema kwamba Shirika libnafsishwe umeharibu Mkuu. Kumbuka hapo shirika lilipo yaani TRC ni majuzi tu lilikuwa TRL likiwa chini ya Umiliki wa Wahindi. Huo ubinafsishaji ulisababisha Watumishi kukosa mishahara miezi 6, Mabehewa yalianza kuuzwa Vyuma Chakavu, Injini za Treni zilianza kuibwa na kwenda kuuzwa Zambia na South Afrika na hao hao Wahindi wawekezaji. Hakukuwa na maboresho wala matengenezo ya Uchakavu waliokuwa wakisababisha. Yaaani kwa kifupi hao waliochukua shirika walikuwa WEZI NA WANYANG'ANYI.
Shirika libaki kuwa mali ya Serikali ispokuwa kuwa tu Bodi na Menejimenti ya shirika kwa ujumla wajitazame.
Kaka ulianza vizr umekuja kuharibu ulipotaja UDARTNgumu kutenganisha fisi na mfupa!
Uganda nasikia Bakhressa ndiyo wanaendesha reli, wawekezaji, serikali inakula pensheni!
Hizi biashara serikali ingejenga miundo mbinu na kukodisha wawekezaji, waendeshe kwa kuingia tu ubia na wawekezaji, kama NMB, CRDB, UDART n.k. iwe inapewa tu dividend!
Hivi hivi ni aibu uwajibakaji mgumu!
Nilisafiri Dar Mwanza miaka miwili iliyopita 1st class nilijuta, na ilikuwa msimu wa mvua. Machafuuu sana mabehewa kama mabox ya tumbaku yaliyolowana, sikulala nilijiegesha safari nzima!
Everyday is Saturday............................... 😎
ndio, ni dili sana tu! unayo!? wateja wapo ila mali ndo haipo!Yale ma engine ya kizamani ukauze South Africa??
Mkuu kuna vitu unaweza chukulia mzaha ila zile engine zilipigwa kadhaa huo ni ukweli tena nyingine zilivuka maji mpaka India. Inafikirisha sasa sijui wanaenda kutumia katika nini?Yale ma engine ya kizamani ukauze South Africa??
Halafu watasingizia hujuma kutoka kwe wenye mabasiShirika limejaa KAMLETE kibao wasipochukua hatua litakufa kifo cha mende jike.