TRC huenda likawa shirika la kwanza kufa mara hii

Mods naomba msifute uzi huu kwa maslahi ya taifa kwa ujumla.

Kiukweli kwa hali jinsi inavyoenda miaka miwili itakuwa mingi treni ya Deluxe kutoka Dar kwenda Arusha itakufa. Kwa Kigoma sijajua maana ni wavumilivu sana, sio walalamishi

Tunakumbuka jinsi mwendazake (JPM) alivyotumia nguvu na bidii kufufua usafiri huu, jambo ambalo halikupendeza wamiliki wa mabasi na malori. Inasemekana wao ndio waliohujumu usafiri huu miaka ya nyuma, kwa hiyo kurudi kwake iliwakera sababu ingewapunguzia mapato.

WATENDAJI WA TRC NDIO WAJUMU WA SASA

Kinachoonekana ndani ya shirika la sasa watakaohujumu treni hii ni wafanyakazi na baadhi ya watendaji wengine.
1. Customer care mbovu kabisa, ni vile tu wanahesabu mshahara uko pale pale mwisho wa mwezi,unaweza kujibiwa kama unasafiri bure,hata kama network inasumbua majibu yao hayatoshelezi kabisa zaidi ya kero.

2. Mabehewa machafu sana, yani ukipanda kama una kinyaa lazma ujihisi vibaya sababu kila class utakayokaa hakuna yenye mvuto tena tofauti na mwanzo. Baffet (sehemu ya kula na kunywa) inawaingizia pesa lakini ni pachafu sana hata pazia zile za kuzuia wadudu wanaoruka usiku hakuna tena.

3. Second sleeping (behewa za kulala) kwa sasa unapewa shuka tu,hakuna mto,usivae nguo nyeupe ndugu yangu,kama una aleji na vumbi basi hata usingizi hutopata. Hakufai kabisa, kubwa zaidi ikifika saa 1 asubuhi muhudumu anakuja kuchukua shuka hata kama treni haijafika. (Kitendo hiki kinashangaza hata baadhi ya wahudumu wengine humo humo). Kuna wazungu wakinyang'anywa shuka walivyobaki kama wanyonge.

4. [emoji1787][emoji1787]Ukataji tiketi ndani ya treni yaani malipo sio kwa GePG tena. Hii nakumbuka ndio ilidhibiti wapigaji serikali ya Magufuli sasa naona wameamua kugawana mauzo kwa kisingizio cha mifumo inasumbua (network inasumbua) hapo binafsi sijajua itumike mbinu gani kama network itakuwa inasumbua.

Natamani kuandika mengi lakini mengine wadau muisaidie serikali yenu changa ya mama samia kudhibiti uharamia huu.

USHAURI WANGU KWA SERIKALI
Shirika libaki kuhudumia reli chini ya serikali, lakini chonde chonde Treni ibinafsishwe ili umakini na maboresho ya mara kwa mara yawe yanafanyika.

Watumishi kwa sasa wanajipongeza kwa mauzo ya tiketi mkononi kwa hiyo wanaamua kiasi gani kiende serekalini na kiasi gani kibaki kwao.

TRC someni hapa kwa faida ya yenu na ya wote pia
Hiyo route kama wameweka wachaga ndo wasimamie wale sio watu aisee. Ni wabinafsi mno. Hapo wanijinufaisha wao.
 
Kaka ulianza vizr umekuja kuharibu ulipotaja UDART
Naamini serikali inashea huko UDART sijui ni DART, maana kuna vitu vimetengenezwa mpaka CAG akija na ufafanuzi ndiyo.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nilikuwa wa kwanza kuja na sifa hizo☝️lakini sasa hakutamaniki,mabehewa yapo kama yalivyokuja, nahisi usafi unaofanyika kule ni kufagia chini tu. Hata seat cover hakuna tena,unaogopa kukaa sehemu ukihofia kuchafuliwa.

Kwa nini kusiwe na ratiba ya kufanyia usafi behewa moja baada ya jingine ili yaendelee kuvutia? Tuendelee kuliombea shirika letu jamani
Ukipanda kwa sasa ni tofauti na ulichoekeza kwenye uzi wako
 
Aliyesema wabinafsishe naunga naye iwe hivyo, serikali ijenge miundo mbinu kwa wingi ila huduma iwaachie wafanyabiashara yenyewe ipokee kodi na services ya miundo mbinu hata Kama ni wazawa Kama wakina Mo waruhusiwe kuleta treni zao zifanye kazi hata Gwajima akihitaji sawa tu maana kuna kipindi alisema, nasema hivyo kwasababu wanaotoa ushauri serikalini watakuwa watu wabaya sana waliona ajenda zao za siri na ndo maana akili za wengi zimebaki kuwaza kizamani wakati biashara na huduma zote duniani huwa zinafanyiwa mabadiliko ya kisasa na tekinolojia mpya Ili zifanyike kiufanisi Sasa inakuwaje Serikali ilazimishe mambo ya kizamani yasiyo na faida kwao na jamii pia Ili iweje? Reli zibaki za serikali Kama ilivyo barabara alafu treni watoe ruhusa mtu anayetaka awekeze huko Kama mabasi, viwanja vya ndege hivyo hivyo, maana hivi vitu tekinolojia mpya ikihitaji kubadilisha serikali haitabeba gharama nyingi na kujichelewesha kwa kutoa huduma mbovu kwa wawekezaji, imagine Leo tunataka kujenga fry over, reli za kisasa za umeme, viwanja vya ndege vya kisasa kila mkoa na wilaya alafu eti tupate na pesa za kununua na kuendesha huduma za ndege, treni na mabasi na mpaka tax na daladala na boda boda na basikeli, Sasa hapo serikali itakuwa inatafuta pesa ya mishahara tu na siyo kutoa huduma nzuri za kisasa.
Kabisa mkuu, serikali ibak na miundombinu tu lakini watumiaji waachiwe mashirika binafsi,hata hii SGR kama itakuwa chini ya serikali tutakuja kukunbushana badae kifo chake
 
"Ukataji tiketi ndani ya treni yaani malipo sio kwa GePG tena" sasa ni dhahiri miradi alitoanzisha Magufuli inakufa.
Haikuanza leo hilo jambo ni la muda sana station za vijijini hakuna Network wanaandikiwa kimemo na station master wakalipie ndani bila ya faini.
Acheni uwongo nyinyi.
Uliza watu wanaopandia vijijini kama Mnyuzi saadan . Ndani ya teeni ndio kabisa hakuna network tangu zamani. Kipindi cha magu watu walikuwa hawaongei kila kitu tunadanganywa safi ..mandondo tunakubalu.
 
Sio mbaya ukapoteza 10% ya mauzo ya tiketi lakini ikizidi 50% hakuna faida hapo. Dar hakuna network? Arusha na Moshi hakuna network? Tena sio siku 1 siku zaidi ya 6 zote?

Sawa utakuwa na ww ni mmoja wapo ya wanufaika wa mauzo hayo
 
Mods naomba msifute uzi huu kwa maslahi ya taifa kwa ujumla.

Kiukweli kwa hali jinsi inavyoenda miaka miwili itakuwa mingi treni ya Deluxe kutoka Dar kwenda Arusha itakufa. Kwa Kigoma sijajua maana ni wavumilivu sana, sio walalamishi

Tunakumbuka jinsi mwendazake (JPM) alivyotumia nguvu na bidii kufufua usafiri huu, jambo ambalo halikupendeza wamiliki wa mabasi na malori. Inasemekana wao ndio waliohujumu usafiri huu miaka ya nyuma, kwa hiyo kurudi kwake iliwakera sababu ingewapunguzia mapato.

WATENDAJI WA TRC NDIO WAJUMU WA SASA

Kinachoonekana ndani ya shirika la sasa watakaohujumu treni hii ni wafanyakazi na baadhi ya watendaji wengine.
1. Customer care mbovu kabisa, ni vile tu wanahesabu mshahara uko pale pale mwisho wa mwezi,unaweza kujibiwa kama unasafiri bure,hata kama network inasumbua majibu yao hayatoshelezi kabisa zaidi ya kero.

2. Mabehewa machafu sana, yani ukipanda kama una kinyaa lazma ujihisi vibaya sababu kila class utakayokaa hakuna yenye mvuto tena tofauti na mwanzo. Baffet (sehemu ya kula na kunywa) inawaingizia pesa lakini ni pachafu sana hata pazia zile za kuzuia wadudu wanaoruka usiku hakuna tena.

3. Second sleeping (behewa za kulala) kwa sasa unapewa shuka tu,hakuna mto,usivae nguo nyeupe ndugu yangu,kama una aleji na vumbi basi hata usingizi hutopata. Hakufai kabisa, kubwa zaidi ikifika saa 1 asubuhi muhudumu anakuja kuchukua shuka hata kama treni haijafika. (Kitendo hiki kinashangaza hata baadhi ya wahudumu wengine humo humo). Kuna wazungu wakinyang'anywa shuka walivyobaki kama wanyonge.

4. [emoji1787][emoji1787]Ukataji tiketi ndani ya treni yaani malipo sio kwa GePG tena. Hii nakumbuka ndio ilidhibiti wapigaji serikali ya Magufuli sasa naona wameamua kugawana mauzo kwa kisingizio cha mifumo inasumbua (network inasumbua) hapo binafsi sijajua itumike mbinu gani kama network itakuwa inasumbua.

Natamani kuandika mengi lakini mengine wadau muisaidie serikali yenu changa ya mama Samia kudhibiti uharamia huu.

USHAURI WANGU KWA SERIKALI
Shirika libaki kuhudumia reli chini ya serikali, lakini chonde chonde Treni ibinafsishwe ili umakini na maboresho ya mara kwa mara yawe yanafanyika.

Watumishi kwa sasa wanajipongeza kwa mauzo ya tiketi mkononi kwa hiyo wanaamua kiasi gani kiende serekalini na kiasi gani kibaki kwao.

Tanzania Railways Corp someni hapa kwa faida ya yenu na ya wote pia
Hiyo treni heri ibebe mifugo au ipelekwe chato
 
Mwenye kujua jins ya kukata tiket ya tren kupitia online ansaidie
 
Muone station master. Unapandia wapi? Kuna vituo ile treni inasimama hazina station hivyo tiketi unakatia ndani mfano Kidomole hakuna station pale. Wewe unapamdia wapi?
 
Naunga mkono hoja 100% dawa ni kuanza mchakato kuanzia sasa kuwa na tender kampuni ya kuendesha SGR kama ushuru tu parking wanaweka kikampuni kuwakusanyia kupata ufanisi maana wanajuwa wakisema wakusanye watu wao basi zitapigwa juu kwa juu. Ni lazima tena lazima mchakato wa tender kampuni ya kuliendesha train mpya uanze mara moja hata Air Tanzania ilitakiwa ifanyike hivyo kuleta ufanisi wa kibiashara na huduma bora.
 
Wewe nae kila kitu unasingzia siasa tu. Nahisi hata nyumbani kwako kitu kikikosekana utasema siasa
Hajamaanisha siasa hizi za CCM na Chadema nadhani ana maana siasa za kiuchumi kuwafanya wafanyakazi waajiriwa wa serikali hawa train itembee isitembee mwisho wa mwezi wako katika payrol mshahara unaingia ni kama Air Tanzania miaka yote walikuwa hawana ndege lakini serikali inawalipa 100% mishahara wanaenda ofisini kusoma magazeti tu hawana wasiwasi. Siasa za kisera lazima zibadilike hasa katika mashirika kama haya.
 
NILIWAHI KUTOA USHAURI KWA MH.RAIS WETU HUKO NYUMA SABOTAGE ZITAKUWA NYINGI SANA HAWA WOTE WATAKAOSABABISHA UNDER PERFOMANCE OR LOW KATIKA SECTOR ZOTE ZA KIJAMII NA KIHUDUMA KATIKA TAASISI ZA UMMA IWE TANESCO AU MAJI NA KOTE KULE WASIVUMILIWE KABISA WATOLEWE KWANI NIA ZAO ZITAKUWA MBAYA KWA MAMA YETU MH.RAIS WETU MPENDWA.
*Tuipende nchi YETU tufichue hujuma zote chafu
*Kuingia kwa rais mpya hakutengui yale ya kihuduma yaliyo mazuri Bali kuongeze mazuri na ubora zaidi na zaidi.
*vidudumtu vyenye hila mbaya ni kuvikamulia tu DDT.
 
Mods naomba msifute uzi huu kwa maslahi ya taifa kwa ujumla.

Kiukweli kwa hali jinsi inavyoenda miaka miwili itakuwa mingi treni ya Deluxe kutoka Dar kwenda Arusha itakufa. Kwa Kigoma sijajua maana ni wavumilivu sana, sio walalamishi

Tunakumbuka jinsi mwendazake (JPM) alivyotumia nguvu na bidii kufufua usafiri huu, jambo ambalo halikupendeza wamiliki wa mabasi na malori. Inasemekana wao ndio waliohujumu usafiri huu miaka ya nyuma, kwa hiyo kurudi kwake iliwakera sababu ingewapunguzia mapato.

WATENDAJI WA TRC NDIO WAJUMU WA SASA

Kinachoonekana ndani ya shirika la sasa watakaohujumu treni hii ni wafanyakazi na baadhi ya watendaji wengine.
1. Customer care mbovu kabisa, ni vile tu wanahesabu mshahara uko pale pale mwisho wa mwezi,unaweza kujibiwa kama unasafiri bure,hata kama network inasumbua majibu yao hayatoshelezi kabisa zaidi ya kero.

2. Mabehewa machafu sana, yani ukipanda kama una kinyaa lazma ujihisi vibaya sababu kila class utakayokaa hakuna yenye mvuto tena tofauti na mwanzo. Baffet (sehemu ya kula na kunywa) inawaingizia pesa lakini ni pachafu sana hata pazia zile za kuzuia wadudu wanaoruka usiku hakuna tena.

3. Second sleeping (behewa za kulala) kwa sasa unapewa shuka tu,hakuna mto,usivae nguo nyeupe ndugu yangu,kama una aleji na vumbi basi hata usingizi hutopata. Hakufai kabisa, kubwa zaidi ikifika saa 1 asubuhi muhudumu anakuja kuchukua shuka hata kama treni haijafika. (Kitendo hiki kinashangaza hata baadhi ya wahudumu wengine humo humo). Kuna wazungu wakinyang'anywa shuka walivyobaki kama wanyonge.

4. 🤣🤣Ukataji tiketi ndani ya treni yaani malipo sio kwa GePG tena. Hii nakumbuka ndio ilidhibiti wapigaji serikali ya Magufuli sasa naona wameamua kugawana mauzo kwa kisingizio cha mifumo inasumbua (network inasumbua) hapo binafsi sijajua itumike mbinu gani kama network itakuwa inasumbua.

Natamani kuandika mengi lakini mengine wadau muisaidie serikali yenu changa ya mama Samia kudhibiti uharamia huu.

USHAURI WANGU KWA SERIKALI
Shirika libaki kuhudumia reli chini ya serikali, lakini chonde chonde Treni ibinafsishwe ili umakini na maboresho ya mara kwa mara yawe yanafanyika.

Watumishi kwa sasa wanajipongeza kwa mauzo ya tiketi mkononi kwa hiyo wanaamua kiasi gani kiende serekalini na kiasi gani kibaki kwao.

Tanzania Railways Corp someni hapa kwa faida ya yenu na ya wote pia
Tatizo ni low standard ya network,Benki zinapata shida,na mkongo ule ulioletwa Tx ni kama ilikuwa just nightmare,mchawi wa mwafrika ni ngozi yeti wenyewe.
 
Back
Top Bottom