TRC huenda likawa shirika la kwanza kufa mara hii

Tusizidi kudanganyana Reli tulizirithi kutoka kwa Mkoloni na Mabehewa yake tumeshindwa sisi wenyewe na mambo ya Siasa za kijinga

Tusimtafute Mchawi
 
Tusizidi kudanganyana Reli tulizirithi kutoka kwa Mkoloni na Mabehewa yake tumeshindwa sisi wenyewe na mambo ya Siasa za kijinga

Tusimtafute Mchawi
Wewe nae kila kitu unasingzia siasa tu. Nahisi hata nyumbani kwako kitu kikikosekana utasema siasa
 
Wewe nae kila kitu unasingzia siasa tu. Nahisi hata nyumbani kwako kitu kikikosekana utasema siasa
Kijana hata hela ina picha ya Wanasiasa, kukosekana kwa Sukari Mafuta na haya Dawa ya meno vimewahi kukosekana kwa sababu ya Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea labda kama ulikuwa hujazaliwa.
 
Kama ni kweli basi sisi waafrica ngozi nyeusi ni watu tuna shida. Ni kama wanyama wa mwituni!!kitu tunachopatia zaidi ni wizi, uchafu, kuvua boxer na bikini na kujunjana na uchawi basi. Inasikitisha na kuumiza sana.
Trump aliwaambia ukweli mkamuona ana dharau
 
Badala ya kuwa chini ili kudaka wateja wengi ndio wako juu hatari sana
 
"Ukataji tiketi ndani ya treni yaani malipo sio kwa GePG tena" sasa ni dhahiri miradi alitoanzisha Magufuli inakufa.
hapa ndio mwendazake anapochukua pointi tatu za ukali kazini
 
Mama akiendelea kucheka na nyani atavuna mabua. Ngozi nyeusi haujui kubembelezwa inajua kupelekeshwa tu
Bila kiboko haiendi kabsa sa hapo JPM ndio alikua anapatia
 

Nilikuwa wa kwanza kuja na sifa hizo☝️lakini sasa hakutamaniki,mabehewa yapo kama yalivyokuja, nahisi usafi unaofanyika kule ni kufagia chini tu. Hata seat cover hakuna tena,unaogopa kukaa sehemu ukihofia kuchafuliwa.

Kwa nini kusiwe na ratiba ya kufanyia usafi behewa moja baada ya jingine ili yaendelee kuvutia? Tuendelee kuliombea shirika letu jamani
 
I agree with you [emoji1666][emoji1666]Yaani screen kupanda BM luxury coach kwa elfu 35 ambapo nakaa kwenye siti kuna screen ya kuangalia movies au video music, ambapo baada ya 8 hrs niko Moshi nihangaike na treni??
 
Yale ma engine ya kizamani ukauze South Africa??
 
Kaka ulianza vizr umekuja kuharibu ulipotaja UDART
 
Yale ma engine ya kizamani ukauze South Africa??
Mkuu kuna vitu unaweza chukulia mzaha ila zile engine zilipigwa kadhaa huo ni ukweli tena nyingine zilivuka maji mpaka India. Inafikirisha sasa sijui wanaenda kutumia katika nini?
 
Aliyesema wabinafsishe naunga naye iwe hivyo, serikali ijenge miundo mbinu kwa wingi ila huduma iwaachie wafanyabiashara yenyewe ipokee kodi na services ya miundo mbinu hata Kama ni wazawa Kama wakina Mo waruhusiwe kuleta treni zao zifanye kazi hata Gwajima akihitaji sawa tu maana kuna kipindi alisema, nasema hivyo kwasababu wanaotoa ushauri serikalini watakuwa watu wabaya sana waliona ajenda zao za siri na ndo maana akili za wengi zimebaki kuwaza kizamani wakati biashara na huduma zote duniani huwa zinafanyiwa mabadiliko ya kisasa na tekinolojia mpya Ili zifanyike kiufanisi Sasa inakuwaje Serikali ilazimishe mambo ya kizamani yasiyo na faida kwao na jamii pia Ili iweje? Reli zibaki za serikali Kama ilivyo barabara alafu treni watoe ruhusa mtu anayetaka awekeze huko Kama mabasi, viwanja vya ndege hivyo hivyo, maana hivi vitu tekinolojia mpya ikihitaji kubadilisha serikali haitabeba gharama nyingi na kujichelewesha kwa kutoa huduma mbovu kwa wawekezaji, imagine Leo tunataka kujenga fry over, reli za kisasa za umeme, viwanja vya ndege vya kisasa kila mkoa na wilaya alafu eti tupate na pesa za kununua na kuendesha huduma za ndege, treni na mabasi na mpaka tax na daladala na boda boda na basikeli, Sasa hapo serikali itakuwa inatafuta pesa ya mishahara tu na siyo kutoa huduma nzuri za kisasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…