A
Anonymous
Guest
Kuna mchezo siku hizi unachezwa nafikiri ni makusudi na wafanyakqzi wa TRC ili kutengeneza mianya ya rushwa.
Sasa hivi TRC wameweka utaratibu mzuri sana wa kukata ticket kwa njia ya mtandao, ki ukweli ni utaratibu mzuri sana na unatupunguzia adha ya kukaa foleni muda mrefu. Lakini kuna mchezo sasa hivi unachezwa makusudi na baadhi ya maafisa wa TRC kwamba kuna siku wanauzima mtandao makusudi ili ninyi mbaolipia kwa kutumia simu mkose acces ya kupata ticket.
Kwa hyo ili upate ticket unatakiwa kufika Station. Na ukifika Station ili uoate ticket yani rushwa ni nje nje. Yani unataka kukata ticket labda ya Tabora ukiachana na hyo gharama ya ticket mtu anakuambia ongeza kati ya 10,000/= mpaka 20,000/= na kwa sababu uhitaji wa ticket ni mkubwa basi watu wanatoa hela maana hakuna namna inabidi mtu usafiri.
Na mchezo huu wa kufanya system yao isiwe active inafanywa mara nyingi sana. Unaweza kuta almost kila wiki inatokea mara moja au mbili.
Nauliza nani yuko nyuma ya mchezo huu?