Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
YAH: TAARIFA YA AJALI YA TRENI B17 NA KICHWA CHA TRENI CHENYE NAMBA 9004
Dar Es Salaam Tarehe 3 Januari 2021
Uongozi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Unasikitika Kutangaza tukio la Ajali lilitokea Maeneo ya Kigwe-Bahi umbali wa Kilomita 508 Kutokea Dar Es Alaam na Kilomita 58 Kutokea Dodoma, Treni hiyo ilikuwa inatokea jijini Dar Es Salaam ikielekea Mikoa ya Tabora, Katavi (Mpanda), Kigoma na Mwanza ikiwa na Abiria wapatao 720.
Treni hii iliwasili Dodoma majira ya saa 9:15 alasiri na Kuondoka Dodoma majira ya Saa 11:40 Jioni. Treni hii iliwasili katika kituo cha Kigwe majira ya saa 12:25 Jioni na Kuondoka saa 12:27 Jioni.
Treni hii ilikuwa na Behewa 12 na kati yake Behewa 6 ndizo zilipata ajali Usajili wake ni kama ifuatavyo:
ο· TCB 3603 ya kwanza kutoka kwenye kichwa cha Treni
ο· TCB 3612 ya Pili kutoka kwenye kichwa cha Treni
ο· TCB 3652 ya tatu kutoka kwenye kichwa cha Treni
ο· TCB 3650 ya Nne kutoka kwenye Kichwa cha Treni
ο· TCB 3619 ya Tano kutoka kwenye Kichwa cha Treni
ο· Na ya Mwisho ni yenye Usajili wa Na. RCB 4526.
Mpaka sasa Majeruhi ni 66 na waliopoteza maisha ni watatu (3), akiwemo mtoto mmoja (1) na watu wazima wawili (2).
Majeruhi wamekwisha chukuliwa eneo la Tukio na wanaendelea na matibabu katika
Hospitali za Bahi na hospitali ya Mkoa wa Dodoma.
Uchunguzi wa Chanzo cha ajali unaendelea kufanyika na Shirika litaendelea kutoa Taarifa.
Uongozi wa Shirika la Reli unatoa Pole kwa Abiria wote waliofikwa na ajali, Majeruhi na Ndugu na Jamaa waliopoteza Wapendwa wao.
View attachment 1666115
Mvua ilinyesha, tuta likachukuliwa na mafuriko, train likaja na kupitia na hatimaye kuporomoka.Kwani chanzo ni nini hasa?
Hata Magufuli anachoka kutumbua.Kwani tume ya uchunguzi haijaundwa?
Kwahiyo key men au Sub Permanent Way Inspector (SPWI) wa kipande hicho hakutoa taarifa?Mvua ilinyesha, tuta likachukuliwa na mafuriko, train likaja na kupitia na hatimaye kuporomoka.
ww ni mtaalamu uko sahihi maswali yako lazima yapate majibuKwahiyo key men au Sub Permanent Way Inspector (SPWI) wa kipande hicho hakutoa taarifa?
Kwasababu nijuavyo mimi japo sipo katika system hiyo Key men au SPWI ndiyo anakuwa subjected na ukaguzi kisha kumpa maelekezo ya njia station master. Sasa dereva anapofika station hupewa line clear na kama kuna hitilafu yoyote hupewa WARNING ORDER.
Dereva kwa upande wangu hapaswi kulaumiwa kabisaaaa
Hapo nakubaliana kabisa.Kwahiyo key men au Sub Permanent Way Inspector (SPWI) wa kipande hicho hakutoa taarifa?
Kwasababu nijuavyo mimi japo sipo katika system hiyo Key men au SPWI ndiyo anakuwa subjected na ukaguzi kisha kumpa maelekezo ya njia station master. Sasa dereva anapofika station hupewa line clear na kama kuna hitilafu yoyote hupewa WARNING ORDER.
Dereva kwa upande wangu hapaswi kulaumiwa kabisaaaa
Inasikitisha sana ebu tujiulize kitu kutokana na utaratibu wa shirika la reli dereva hapaswi kuendelea na safari pasipo kupewa line clear hivyo mpaka ile treni kwenda kupata capsizement maana yake dereva aliruhusiwa kuendelea na safari.Hapo nakubaliana kabisa.
Kuna uzembebumefanyika.
Watu wanakaa ofisini na kula kiyoyozi.Hii ajali ya majuzi, treni kuacha njia baada ya mvua kubwa, limeniacha na maswali ambayo lazima yajibiwe.
Baada ya ajali mbaya ya train na MV Bukoba zilizotokea miaka ya My Mkapa, Awamu ya pili, nilitegemea tutakuwa kumetengenezwa Stand at Operating Procedures kwa kuendesha hivi vifaa vyetu cha mass transport.
Haingii akilini kuwa reli haikaguliwi KILA KABLA YA SAFARI.
Na haingii akilini kuwa ma Station Master kati ya vituo vikubwa viwili vya karibu hawakuwasiliana.
Na haingii akilini kuwa dereva wa train hakuwa na weather reports, na hali ya mito mbele ya safari yake.
Haingii akilini vile vile kwamba kusafiri kwa reli za TRC is a question of chance, kufika safari yako ni majaliwa.
Hata yote, TRC inapaswa kuyajibu.
Hii ajali ya majuzi, treni kuacha njia baada ya mvua kubwa, limeniacha na maswali ambayo lazima yajibiwe.
Baada ya ajali mbaya ya train na MV Bukoba zilizotokea miaka ya My Mkapa, Awamu ya pili, nilitegemea tutakuwa kumetengenezwa Stand at Operating Procedures kwa kuendesha hivi vifaa vyetu cha mass transport.
Haingii akilini kuwa reli haikaguliwi KILA KABLA YA SAFARI.
Na haingii akilini kuwa ma Station Master kati ya vituo vikubwa viwili vya karibu hawakuwasiliana.
Na haingii akilini kuwa dereva wa train hakuwa na weather reports, na hali ya mito mbele ya safari yake.
Haingii akilini vile vile kwamba kusafiri kwa reli za TRC is a question of chance, kufika safari yako ni majaliwa.
Hata yote, TRC inapaswa kuyajibu.
Sure haviingii akilini. ..somewhere kuna uzembe tu..Katika mazingira ya kipindi cha mvua kama hiki kwanini hawafanyi survey au checkup ya njia wakati train inaenda...Viongozi wanajua kabisa mvua huwa zinaletwa tabu kwenye miundombinu ya reli..wataachaje treni ijipeleke kichwakichwa na kwenda kupinduka kweli kabisa ...huu ni uendeshaji wa kizamani wakati ule hakuna mawasiliano ya kutosha na teknolojia ya kizamani...lakini kwa wakati huu au kipindi hiki karne ya 21, kwenye uchumi wa kati hatutegemei ajali kama ile kabisaaa a. ...watu wakisikia watatucheka. Ni aibuuHii ajali ya majuzi, treni kuacha njia baada ya mvua kubwa, limeniacha na maswali ambayo lazima yajibiwe.
Baada ya ajali mbaya ya train na MV Bukoba zilizotokea miaka ya My Mkapa, Awamu ya pili, nilitegemea tutakuwa kumetengenezwa Stand at Operating Procedures kwa kuendesha hivi vifaa vyetu cha mass transport.
Haingii akilini kuwa reli haikaguliwi KILA KABLA YA SAFARI.
Na haingii akilini kuwa ma Station Master kati ya vituo vikubwa viwili vya karibu hawakuwasiliana.
Na haingii akilini kuwa dereva wa train hakuwa na weather reports, na hali ya mito mbele ya safari yake.
Haingii akilini vile vile kwamba kusafiri kwa reli za TRC is a question of chance, kufika safari yako ni majaliwa.
Hata yote, TRC inapaswa kuyajibu.
Leo tunajitokeza Kuwalaumu hivi TRC kutokana na Ajali iliyotokea ila sijui huwa tunakuwa wapi Kuwapongeza pale wakiwa wanazidhibiti hizi Ajali.Hii ajali ya majuzi, treni kuacha njia baada ya mvua kubwa, limeniacha na maswali ambayo lazima yajibiwe.
Baada ya ajali mbaya ya train na MV Bukoba zilizotokea miaka ya My Mkapa, Awamu ya pili, nilitegemea tutakuwa kumetengenezwa Stand at Operating Procedures kwa kuendesha hivi vifaa vyetu cha mass transport.
Haingii akilini kuwa reli haikaguliwi KILA KABLA YA SAFARI.
Na haingii akilini kuwa ma Station Master kati ya vituo vikubwa viwili vya karibu hawakuwasiliana.
Na haingii akilini kuwa dereva wa train hakuwa na weather reports, na hali ya mito mbele ya safari yake.
Haingii akilini vile vile kwamba kusafiri kwa reli za TRC is a question of chance, kufika safari yako ni majaliwa.
Hata yote, TRC inapaswa kuyajibu.
Wewe una changanyana mambo...kudhibiti ajali ni wajibu wa Taasisi katika kulinda usalama wa wananchi na mali zao wa wapo safarini..siyo suala la kupongeza jombaLeo tunajitokeza Kuwalaumu hivi TRC kutokana na Ajali iliyotokea ila sijui huwa tunakuwa wapi Kuwapongeza pale wakiwa wanazidhibiti hizi Ajali.
Reli ya kati imejengwa mwaka gani na reli ya Tazara mwaka ganiReli ya kati imechakaa mvua kubwa ya dakika 30 inaweza ikabomoa tuta la rail wakat train imetoka kituo fulan kwend kituo fulani....
Rail ya tazara huwez kusikia ovyo mvua imesomba rail japokuw inapita ukanda wenye mvua kubwa na nyingi kwa mwaka