moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Ulivyosikia ikawaje????kiukweli binafsi nimepanda treni kwa mara ya kwanza mwezi NOVEMBER toka Dar - Moshi. lakini kuna viashiria vilivyonitia wasiwasi juu ya usalama wa treni dhidi ya ajali
Nilishuhudia mara kadhaa treni ikisimama na nikasikia majani yameota sana ndani ya reli hivyo wanamwagia mchanga, kuna kipindi mpaka niliogopa maana treni lilisimama muda mrefu ili kupunguza adha hiyo.
Itakuwa alilalaKwahiyo key men au Sub Permanent Way Inspector (SPWI) wa kipande hicho hakutoa taarifa?
Kwasababu nijuavyo mimi japo sipo katika system hiyo Key men au SPWI ndiyo anakuwa subjected na ukaguzi kisha kumpa maelekezo ya njia station master. Sasa dereva anapofika station hupewa line clear na kama kuna hitilafu yoyote hupewa WARNING ORDER.
Dereva kwa upande wangu hapaswi kulaumiwa kabisaaaa
Na wewe wacha kutudanganya mkuu! SOP inaitwa Stand at Operating Procedures? Wacha mambo yako hayo!Stand at Operating Procedures kwa kuendesha hivi vifaa vyetu cha mass transport.
Mkuu hawezi kuchanganya na za kwako ukiona typo?Na wewe wacha kutudanganya mkuu! SOP inaitwa Stand at Operating Procedures? Wacha mambo yako hayo!
Mkuu Maso hapo juu kakumegea wisdom.Na wewe wacha kutudanganya mkuu! SOP inaitwa Stand at Operating Procedures? Wacha mambo yako hayo!
Mbona kulindana kunarudi.Hili sio suala la Kadogosa jomba...hili lipo chini ya wajibu wa ma Station masters...nini wajibu wa Station masters au any group ambalo Lina husika na kuhakikisha usalama wa reli kwa ujumla kila siku...lazima wawajibishwe ili wengine waelewe maana ya uwajibikaji. Unataka kutuambia hakuna mtu alijua mvua imenyeesha kubwa...nani ali take trouble ya kucheki usalama wa reli wakati treni iliyobeba mamia ya watu inasafiri
Mkuu hawezi kuchanganya na za kwako ukiona typo?
Usiwe unaandika Kiingereza kama huna uhakika!Mkuu Maso hapo juu kakumegea wisdom.
Umeambiwa changanya na za kwako.Usiwe unaandika Kiingereza kama huna uhakika!
Mkuu kudhbt ajal ndo kaz yao wanalpwa salary kama WafanyakazLeo tunajitokeza Kuwalaumu hivi TRC kutokana na Ajali iliyotokea ila sijui huwa tunakuwa wapi Kuwapongeza pale wakiwa wanazidhibiti hizi Ajali.
Sasa mkuu akiwajibishwa Station master huoni ameonewa?Naomba serikali iwawajibishe Station masters wa maeneo treni ilipotoka na ilipokuwa inaenda...huu ni uzembe wa karne ya 19..katika karne ya 21 na standard za uchumi wa kati hatutegemei ajali kama hizi wajameni. ..Ni aibu..wazungu watatucheka na kutudharau wakisikia haya....yes kuna ajali na ajali...lakini ajali kama hii inge we za kuepushika asilimia 100...no doubt
Wapo mkuu sema si kwa wingi ule unaotakiwa wachache Sana na eneo ni kubwa.Zamani wakati wa wajerumani na waingereza kulikua na watu wanaitwa. 'Permanent way inspectors' wazungu hawakuwaajiri Hawa kwa ajili ya kujifurahisha. Sidhani Kama hii kada Kaka kadogosa anayo.
He is throwing caution to the wind.
Waliofariki Ni wale wale watatu au wameongezeka?
Ina maana watu wanasafiria treni at their own risk.Wapo mkuu sema si kwa wingi ule unaotakiwa wachache Sana na eneo ni kubwa.
Mkuu, uko sahihi keyman na SPWI wako responsible kuhusu hilo la ukaguzi. Kwa muda wa treni uliopita ni majira ya jioni kitu kinachomaanisha wahusika walikuwa wamekagua kuwa njia iko salama. Tatizo inawezekana shirika halijaweka utaratibu wa kufanya ukaguzi kwenye vipindi kama mvua au usiku hii pia huenda ikawa ni sababu ya ajali.Kwahiyo key men au Sub Permanent Way Inspector (SPWI) wa kipande hicho hakutoa taarifa?
Kwasababu nijuavyo mimi japo sipo katika system hiyo Key men au SPWI ndiyo anakuwa subjected na ukaguzi kisha kumpa maelekezo ya njia station master. Sasa dereva anapofika station hupewa line clear na kama kuna hitilafu yoyote hupewa WARNING ORDER.
Dereva kwa upande wangu hapaswi kulaumiwa kabisaaaa
mashirika mengi ya uma (including TRC ) hayajiendeshi kwa faida. Hii maana yake yanapata fungu kutoka serikalin ndo mambo yaende. Sasa unaweza kwa haraka ukawalaumu hao station masters wa hivyo vituo kwa kutokufanya ukaguzi . je unauhakika kuwa fungu la ukaguzi wa miundombinu walikua nalo? Ikumbukwe siwatetei wazembe.Naomba serikali iwawajibishe Station masters wa maeneo treni ilipotoka na ilipokuwa inaenda...huu ni uzembe wa karne ya 19..katika karne ya 21 na standard za uchumi wa kati hatutegemei ajali kama hizi wajameni. ..Ni aibu..wazungu watatucheka na kutudharau wakisikia haya....yes kuna ajali na ajali...lakini ajali kama hii inge we za kuepushika asilimia 100...no doubt
TRC kama hatuwezi biashara ya kusafisha binadamu, heri wasimamishe huduma.mashirika mengi ya uma (including TRC ) hayajiendeshi kwa faida. Hii maana yake yanapata fungu kutoka serikalin ndo mambo yaende. Sasa unaweza kwa haraka ukawalaumu hao station masters wa hivyo vituo kwa kutokufanya ukaguzi . je unauhakika kuwa fungu la ukaguzi wa miundombinu walikua nalo? Ikumbukwe siwatetei wazembe.