Narudia kusema Tanzania ya leo ukilala njaa nisiri yako,usishangae mambo unayosema sii ya lazima kwakuwa tunayo makubwa na ya muhimu zaidi ya hayo yanayo hitaji gharama.Hii ajali ya majuzi, treni kuacha njia baada ya mvua kubwa, limeniacha na maswali ambayo lazima yajibiwe.
Baada ya ajali mbaya ya train na MV Bukoba zilizotokea miaka ya My Mkapa, Awamu ya pili, nilitegemea tutakuwa kumetengenezwa Stand at Operating Procedures kwa kuendesha hivi vifaa vyetu cha mass transport.
Haingii akilini kuwa reli haikaguliwi KILA KABLA YA SAFARI.
Na haingii akilini kuwa ma Station Master kati ya vituo vikubwa viwili vya karibu hawakuwasiliana.
Na haingii akilini kuwa dereva wa train hakuwa na weather reports, na hali ya mito mbele ya safari yake.
Haingii akilini vile vile kwamba kusafiri kwa reli za TRC is a question of chance, kufika safari yako ni majaliwa.
Hata yote, TRC inapaswa kuyajibu.
Wakulima toka Mwanza wakifia Bahi, poa tu.Narudia kusema Tanzania ya leo ukilala njaa nisiri yako,usishangae mambo unayosema sii ya lazima kwakuwa tunayo makubwa na ya muhimu zaidi ya hayo yanayo hitaji gharama.
Hakika mkuu...Mkuu, uko sahihi keyman na SPWI wako responsible kuhusu hilo la ukaguzi. Kwa muda wa treni uliopita ni majira ya jioni kitu kinachomaanisha wahusika walikuwa wamekagua kuwa njia iko salama. Tatizo inawezekana shirika halijaweka utaratibu wa kufanya ukaguzi kwenye vipindi kama mvua au usiku hii pia huenda ikawa ni sababu ya ajali.
Ni kweli reli ya TRC ujenzi wake ni wa kizamani sana.Reli ya kati imechakaa mvua kubwa ya dakika 30 inaweza ikabomoa tuta la rail wakat train imetoka kituo fulan kwend kituo fulani....
Rail ya tazara huwez kusikia ovyo mvua imesomba rail japokuw inapita ukanda wenye mvua kubwa na nyingi kwa mwaka..fikiria rail ya kati ingekuwa inapita sehemu Kama bonde la kilombero