Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Septemba 22, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Kituo cha SGR Ruvu hakifanyi kazi kwa karibu ya mwaka sasa, ni lini TRC itakifungua?”
Katika maelezo yake Mdau aliendelea kueleza kuwa “TRC ituambie Kituo cha SGR Ruvu lini kitarejesha huduma ya kupandisha na kushusha abiria, kwa kuwa sasa ni karibu mwaka mmoja tangu kituo hicho kisimamishe huduma.
“Kituo hakipandishi wala kushusha abiria kufuatia ajali ya treni ya mchongoko iliyotokea Oktoba 23, 2025, na kusababisha kituo hicho kusitisha huduma hadi sasa.”
Hoja ya Mdau ~ Kituo cha SGR Ruvu hakifanyi kazi kwa karibu ya mwaka sasa, ni lini TRC itakifungua?
UFAFANUZI WA TRC
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano cha Shirika la Reli Tanzania (TRC), Fredy Mwanjala amejibu hoja hiyo ya Mdau kwa kueleza:
“Kuna matengenezo na uboreshaji wa miundombinu Ruvu na tupo hatua za mwisho tunaomba wananchi wawe na subira kidogo muda sio mrefu tutarudisha huduma hiyo katika Kituo cha Ruvu.”