elivina shambuni
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 461
- 295
ππππ Mbona wanikatisha tamaa!TRC gani? hii ya Kadogosa iliyoleta ufukara kwa watumishi wa shirika?
Leo wanashindwa kuwalipa watumishi uhamisho,hawalipi Miliage ,hawalipi over time kwa watumishi kwa hoja kuwa wamepeleka gawio.
Watumishi wa TRC wana kinyongo sana.