Shida nini,viwango kwenye ujenzi au dharura za asili?
Na hapa mvua ndo kwaanzaa zinaanza bado hazijakolea!Upembuzi yakinifu huwa wanaufanya wa nini?? Na pesa inatengwa? Consultant engineer huwa anapewa pesa ya nini?? Hiyo mvua ni ya kiasi gani hadi isababishe madhara makubwa namna hiyo, that means huwa kuna ufisadi mkubwa sana kwanye hii miradi kana kwamba ikitokea mtikisiko kidogo tunaona nyeti za kuku..
Wajanja wanapiga pesa tuUpembuzi yakinifu huwa wanaufanya wa nini?? Na pesa inatengwa? Consultant engineer huwa anapewa pesa ya nini?? Hiyo mvua ni ya kiasi gani hadi isababishe madhara makubwa namna hiyo, that means huwa kuna ufisadi mkubwa sana kwanye hii miradi kana kwamba ikitokea mtikisiko kidogo tunaona nyeti za kuku..
Huu mtazamo wako ni kwa Tanzania tu au dunia nzima? Maana serikali zingine zinafanya biashara tena biashara kubwa kubwa sanaSerikali inapaswa kusimamia public interest kati ya muuzaji au mfanyabiashara na mlaki au mnunuzi wa bidhaa au huduma. Serikali haiwezi kusimamia biashara kwa kufuata kanuni muhimu za kibiashara. Inajiingiza kwenye mgogoro wa kimaslahi "conflict of interest".
Narudia tena kuwa Serikali kufanya biashara siyo jambo lenye Afya kwa biashara yenyewe. Kutakuwa na usimamizi unaojipinga kiuwajibikaji. Kwa lugha rahisi ni kuwa " Serikali haiwezi kujiwajibisha yenyewe".