Kazi ipoHapa kuna ukarabati mkubwa sana
Kazi ipoHapa kuna ukarabati mkubwa sana
Aisee... nimekataa ubia wapi?...nimeandika wapi chama cha siasa? Una hoja nzuri ila dharau zinaibagaza hoja yako, By the way ngoja nikuache povu lishukeAcha kutetea ujinga... railyway system za UK, is primarily managed na gavoo ndo ubia na kampuni binafsi. Wapumbavu wa CCM kitu pekee wanaweza ni kubotch anything public kwa manufaa ya wachache
Serikali inaweza kuendesha biashara ikiamua...Aisee... nimekataa ubia wapi?...nimeandika wapi chama cha siasa? Una hoja nzuri ila dharau zinaibagaza hoja yako, By the way ngoja nikuache povu lishuke
AsanteeeeSerikali inaweza kuendesha biashara ikiamua...
Mfano CCBRT ni hospitali ya serikali, lakini yule mama aliyepo pale kama CEO (Pharm. Brenda Kinemo) anafanya kazi nzuri ukienda pale huwezi hisi ni government hospital. Watu wenye uwezo wapo ila mfumo wa kuwarahisishia kazi watu wenye uwezo ndio hatuna
Tunachokosa ni viongozi wenye maono na uzalendo.
CCBRT ya Serikali au Kanisa?Serikali inaweza kuendesha biashara ikiamua...