TRC yasitisha Safari za SGR kati ya Morogoro-Dodoma kutokana na athari za mvua

Upembuzi yakinifu huwa wanaufanya wa nini?? Na pesa inatengwa? Consultant engineer huwa anapewa pesa ya nini?? Hiyo mvua ni ya kiasi gani hadi isababishe madhara makubwa namna hiyo, that means huwa kuna ufisadi mkubwa sana kwanye hii miradi kana kwamba ikitokea mtikisiko kidogo tunaona nyeti za kuku..
Miundombinu hata dunia ya kwanza huwa inaathiriwa na mafuriko. Hapo miezi michache iliopita hukuona mabarabara na madaraja yaliyosombwa na maji huko USA? Au nao hawakufanya upembuzi yakinifu?
 
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapenda kuutarifu Umma kusitishwa kwa safari za treni ya SGR kwa muda kuanzia tarehe 31 Disemba 2025 kati ya Morogoro – Dodoma na Dodoma – Morogoro kutokana na athari za mvua zilizopelekea uharibifu wa miundombinu katika eneo la Kidete (Kilosa, Morogoro) na Godegode (Mpwapwa, Dodoma).

Kufuatia athari hiyo, safari zote za SGR zitakuwa kati ya Dar es Salaam – Morogoro na Morogoro – Dar es Salaam hadi pale marekebisho yatakapokamilika na usalama kuthibitishwa. Hivyo abiria wanashauriwa kubadili ratiba za safari zao kuendana na mabadiliko yaliyotokea.

Shirika linaomba radhi kwa usumbufu uliotokea na wataalamu wanachukua hatua za haraka ili kurejesha huduma hizi.

Hii nchi chini ya utawala wa ccm haiwezi kamwe kupata maendeleo ya kweli. How come reli ina miaka miwili tu halafu miundombinu yake iharibiwe kirahisi tu na mvua!

Wahusika walioshindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo wakati wa zoezi la upembuzi yakinifu watachukuliwa hatua kali za kisheria?

Hii reli itadumu kweli huku Mawaziri, Wabunge, na vigogo wengine wakubwa serikalini wakiwa ndiyo wamiliki wakuu wa mabasi na malori ya kusafirisha abiria na mizigo?
 
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapenda kuutarifu Umma kusitishwa kwa safari za treni ya SGR kwa muda kuanzia tarehe 31 Disemba 2025 kati ya Morogoro – Dodoma na Dodoma – Morogoro kutokana na athari za mvua zilizopelekea uharibifu wa miundombinu katika eneo la Kidete (Kilosa, Morogoro) na Godegode (Mpwapwa, Dodoma).

Kufuatia athari hiyo, safari zote za SGR zitakuwa kati ya Dar es Salaam – Morogoro na Morogoro – Dar es Salaam hadi pale marekebisho yatakapokamilika na usalama kuthibitishwa. Hivyo abiria wanashauriwa kubadili ratiba za safari zao kuendana na mabadiliko yaliyotokea.

Shirika linaomba radhi kwa usumbufu uliotokea na wataalamu wanachukua hatua za haraka ili kurejesha huduma hizi.

Matrillion ya walipa kodi yanachezewa
 
SGR nayo apewe MCHINA kwa miaka 100.
 
ebf328e5-840e-46dd-aea8-ddef50de5d94.jpeg
288d9093-04fa-435b-9725-5b7ea1775bab.jpeg
75a75e15-915d-4227-aac0-bf84af77c98e.jpeg
0e7b8806-36f1-459b-8236-9270530a2c62.jpeg
 
Back
Top Bottom