TRC yasitisha Safari za SGR kati ya Morogoro-Dodoma kutokana na athari za mvua

Miundombinu hata dunia ya kwanza huwa inaathiriwa na mafuriko. Hapo miezi michache iliopita hukuona mabarabara na madaraja yaliyosombwa na maji huko USA? Au nao hawakufanya upembuzi yakinifu?
 
Hii nchi chini ya utawala wa ccm haiwezi kamwe kupata maendeleo ya kweli. How come reli ina miaka miwili tu halafu miundombinu yake iharibiwe kirahisi tu na mvua!

Wahusika walioshindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo wakati wa zoezi la upembuzi yakinifu watachukuliwa hatua kali za kisheria?

Hii reli itadumu kweli huku Mawaziri, Wabunge, na vigogo wengine wakubwa serikalini wakiwa ndiyo wamiliki wakuu wa mabasi na malori ya kusafirisha abiria na mizigo?
 
Matrillion ya walipa kodi yanachezewa
 
SGR nayo apewe MCHINA kwa miaka 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…