TRC yasitisha Safari za SGR kati ya Morogoro-Dodoma kutokana na athari za mvua

Wakikata maji huwa wanasema kuna uhaba wa mvua.

Treni likiharibika wanasema mvua zimeharibu.

Tufanyaje sasa.
 
Seasonal train
Which means walitujengea kitu sub standard.

Kwao Uturuki kweli treni zinasubiri mvua ?

Waziri Makame Mbarawa is an empty suit. Magufuli alimbeba beba weee kwa saab ya Muungano.

Most important things we need wala sio katiba.

1. Kuvunja Muungano
2. Mfumo wa uchaguzi mpya.
 
Linganisha gharama uone tulivyopigwa
 
Udumavu wa akili mkubwa Kabisa duniani , ni kuamini kwamba ccm inaweza endesha au kuleta maendeleo nchi hii ,hamna udumavu wa akili mbaya kama huu
 
Once a failure always a failure .Priority namba moja ni kubaka ,kulawiti ,kuua ,kutesa ,kuteka ,kubambikizia kesi RAIA na kufanya ufisadi mkubwa .......Hii ndio ilani ya hawa vibaka
 
Narudia tena, suala la kufanya biashara siyo la Serikali.
Fanya utafiti juu ya hili utaona.
Mkuu umenielewa swali langu? Hili la serikali kutofanya biashara ni hapa Tanzania tu au dunia nzima?
Inahitaji utafiti gani kugundua kuwa serikali za nchi zilizoendelea zinafanya biashara?

Dp world mliyoileta hapa unafikiri ni kampuni binafsi?

Kampuni ya ujenzi ya China CCECC ambayo mnaongoza kwa kuipa miradi mikubwa hapa bongo unafikiri hiyo ni kampuni binafsi?
 
Acha kutetea ujinga... railyway system za UK, is primarily managed na gavoo ndo ubia na kampuni binafsi. Wapumbavu wa CCM kitu pekee wanaweza ni kubotch anything public kwa manufaa ya wachache
 
7Linganisha gharama uone tulivyopigwa

Tumepigwa.

Reli zetu ni mbao, zimelowa

Sijawahi kusikia treni za Ulaya zinasu iri mvua zipite..

Masaibu yote ya Tanganyika dawa yake wala sio katiba.

1. VUNJA MUUNGANO
2. LETE TUME YA UCHAGUZI YA HAKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…