TRC yatangaza kurejesha huduma za treni ya abiria kutoka Dar kwenda Moshi

TRC yatangaza kurejesha huduma za treni ya abiria kutoka Dar kwenda Moshi

Timing Nzuri Sasa Wajitahidi Wasiifanye Kwa Muda Bali Iwe Endelevu, Nategemea Kulipanda Hili
Isiwe Tena Kero Mara Njiani Limeharibika Siku 3
Kwl kabisa mkuu nami panapomajaliwa nitalionja natumai Mombo stesheni napo patakua panafanya kazi kwahiyo kwa Korogwe sio lazima wote tushukie Korogwe mjini kwa sisi wa Mombo nandugu zangu wa Lushoto watashukia mombo nakupanda gari zakupandisha (weita ushoto,mlalo,vugha bazo ,bumbui,shambaai,Mtae.. ni iwe du)
 
Badala ya kusafiri huku tunakunywa bia, Sasa ni wakati wa kusafiri huku tukifanya tafakari ya neno la MUNGU
Kwanini Mkuu? kwamba safari itakua ngumu kiasi chakufanya mtu ukazane ktk maombi nakujiweka karibu zaidi na Muumba..
Minatumani safar itakua nzr nawatu watakua wanapanda na vigaloni vyao vya mbege
 
Wameweka mabehewa ya aina gani?
Je safari itatumia masaa mangapi?
HAWA JAMAA ZETU HUWA WANAJALI SANA UBORA,SIO SAWA NA WALE WANAOSAFIRI NA MAJIKO YAO NA KUANZA KUPIKIA HUMO HUMO.
Swali la msingi na sekondari waboreshe watuletee na treni ya kutoka dar saa kumi na moja alfajiri moshi saa nane mbona watakimbia abiria
 
Back
Top Bottom