TRC yatangaza ratiba mpya za SGR kutoka Dar-Dodoma

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza ratiba ya safari za treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuanzia leo, Januari 3, 2026. Hatua hiyo inakuja baada ya shirika hilo kusitisha kwa siku chache safari zake ili kuepusha athari ambazo zingeweza kusababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini.

Pia Soma: TRC yasitisha Safari za SGR kati ya Morogoro-Dodoma kutokana na athari za mvua

1767423327839.png
 
Hongera kwa kutatua hii changamoto haraka.
 
"Thed weld" dwellers, hand to mouth na the 99% Mungu awasaidie. Maisha yenu yana changamoto sana. Kila upande ni maumivu.

Napoandika huu uzi niko zangu sofani balcony navuta sigara so much relieved with life maamae.
 
Thedi weldi ni shida hadi tunamchanganya Mungu. Imagine juzi juzi tumeomba mvua ili tupate maji ya bomba. Mvua imenyesha maji yametoka huku reli ya mchongo nayo imesombwa na maji. Yaani jua shida,mvua shida!
 
Hahahahahaaaaa
 
Punguza hasira mkuu. Hitilafu huwa zinatokea. Ni vizuri wameweza kurekebisha mapema bila madhara kwa abiria zaidi ya kuchelewa.
Usafiri hata haujamaliza toddler stage unaanza hitilafu zisizoisha.... utafika kweli school age bila kujifanya wanampa mwekezaji????

Pure nonsense
 
Pongezi kwa shirika kwa kutatua changamoto mapema na kurudisha huduma.
 
Sasa mlitaka nani apande mabasi yetu december hii nyie kenge wahed..!!!?

Tumekopa ma dragon na ma yutong halafu mnakimbilia treni tena mkome kabisa 😃😃😃
 
Kwa njisi nilivyoona zile picha za madaraja Kama ni kweli watu watakufa kweli, ujenzi urudiwe upya Kwenye madaraja muungwana akivuka nguo huchutama ni swala LA muda, tutakuwepo..
 
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza ratiba ya safari za treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuanzia leo, Januari 3, 2026. Hatua hiyo inakuja baada ya shirika hilo kusitisha kwa siku chache safari zake ili kuepusha athari ambazo zingeweza kusababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini.

Pia Soma: TRC yasitisha Safari za SGR kati ya Morogoro-Dodoma kutokana na athari za mvua

Mbwa ninyi TRC, hamjui mnachofanya. Mmeiba pesa za watanzania mafala ninyi.
 
TRC boresheni adhabu ya wazamiaji, Rejea andiko la Mwendokasi, January 10, 2026 ukurasa wa 10.

Bila adhabu Kali mtua huduma hii.
 
Back
Top Bottom