Punguza hasira mkuu. Hitilafu huwa zinatokea. Ni vizuri wameweza kurekebisha mapema bila madhara kwa abiria zaidi ya kuchelewa.Wapumbavu tu ndio watapanda huo usafiri
Hongera kwa kutatua hii changamoto haraka.SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza ratiba ya safari za treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuanzia leo, Januari 3, 2026. Hatua hiyo inakuja baada ya shirika hilo kusitisha kwa siku chache safari zake ili kuepusha athari ambazo zingeweza kusababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini.
Pia Soma: TRC yasitisha Safari za SGR kati ya Morogoro-Dodoma kutokana na athari za mvua
"Thed weld" dwellers, hand to mouth na the 99% Mungu awasaidie. Maisha yenu yana changamoto sana. Kila upande ni maumivu.Hongera kwa kutatua hii changamoto haraka.
Thedi weldi ni shida hadi tunamchanganya Mungu. Imagine juzi juzi tumeomba mvua ili tupate maji ya bomba. Mvua imenyesha maji yametoka huku reli ya mchongo nayo imesombwa na maji. Yaani jua shida,mvua shida!"Thed weld" dwellers, hand to mouth na the 99% Mungu awasaidie. Maisha yenu yana changamoto sana. Kila upande ni maumivu.
Napoandika huu uzi niko zangu sofani balcony navuta sigara so much relieved with life maamae.
HahahahahaaaaaThedi weldi ni shida hadi tunamchanganya Mungu. Imagine juzi juzi tumeomba mvua ili tupate maji ya bomba. Mvua imenyesha maji yametoka huku reli ya mchongo nayo imesombwa na maji. Yaani jua shida,mvua shida!
Usafiri hata haujamaliza toddler stage unaanza hitilafu zisizoisha.... utafika kweli school age bila kujifanya wanampa mwekezaji????Punguza hasira mkuu. Hitilafu huwa zinatokea. Ni vizuri wameweza kurekebisha mapema bila madhara kwa abiria zaidi ya kuchelewa.
ππππ€£π€£πππ€£ππPongezi kwa shirika kwa kutatua changamoto mapema na kurudisha huduma.
Mbwa ninyi TRC, hamjui mnachofanya. Mmeiba pesa za watanzania mafala ninyi.SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza ratiba ya safari za treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuanzia leo, Januari 3, 2026. Hatua hiyo inakuja baada ya shirika hilo kusitisha kwa siku chache safari zake ili kuepusha athari ambazo zingeweza kusababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini.
Pia Soma: TRC yasitisha Safari za SGR kati ya Morogoro-Dodoma kutokana na athari za mvua
Narudia kwa msisitizo wapumbavu na wajinga wenye kuchezea kamari maisha yao ndio watakaopanda.Punguza hasira mkuu. Hitilafu huwa zinatokea. Ni vizuri wameweza kurekebisha mapema bila madhara kwa abiria zaidi ya kuchelewa.