Treasury allocates Ksh 5.5bn for building BRT lanes

Treasury allocates Ksh 5.5bn for building BRT lanes

Sgr loans are to be paid in a 30 year span.. Mbuzi Ata hujielewi
Wewe ni mjinga sana, sasa hivi serikali ya Kenya inatumia 25% ya revenue yake ya kila mwezi kulipa madeni yake ya nyuma, ilijaribu kuomba waongezewe muda wa kulipa lakini lenders wanekataa, katika hayo madeni, deni la SGR pia lipo katika madeni yanayolipwa kwa sasa, Serikali ya Kenya isipolipa, inaogopa kuadhibiwa kwa mujibu wa mkataba.

Kitu kimoja kinanishangaza sana, kwanini ninyi wakenya hamsomi na kufuatilia kwa makini kuhusu nini kinachofanywa na Serikali yenu, inaonyesha wazi hujui ni kwa kiasi gani "loans" zinavyoathiri Uchumi wenu," very sad indeed"

Kuan
 
Bring evidences here.... Story mingi unajifanya kujua Kenya kuliko unavyojua kumaa ya bibi yako
Wewe ni mjinga sana, sasa hivi serikali ya Kenya inatumia 25% ya revenue yake ya kila mwezi kulipa madeni yake ya nyuma, ilijaribu kuomba waongezewe muda wa kulipa lakini lenders wanekataa, katika hayo madeni, deni la SGR pia lipo katika madeni yanayolipwa kwa sasa, Serikali ya Kenya isipolipa, inaogopa kuadhibiwa kwa mujibu wa mkataba.

Kitu kimoja kinanishangaza sana, kwanini ninyi wakenya hamsomi na kufuatilia kwa makini kuhusu nini kinachofanywa na Serikali yenu, inaonyesha wazi hujui ni kwa kiasi gani "loans" zinavyoathiri Uchumi wenu," very sad indeed"

Kuan
 
Haha the govt wants to clear it on the grace period to avoid interest.. Buda which is good.. Then what's 83 billion??.. Safaricom profit alone which was 81 billion.. Who told you 83b is 25% of Kenya's expenditure.... NUGUUU
Wewe sio kwamba huijui Kenya, tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufikiria
 
Haha the govt wants to clear it on the grace period to avoid interest.. Buda which is good.. Then what's 83 billion??.. Safaricom profit alone which was 81 billion.. Who told you 83b is 25% of Kenya's expenditure.... NUGUUU
Ninarudia tena, wewe uwezo wako ni mdogo sana wa kufikiria, unfortunately wakenya wengi uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana, kweli ninakuhurumia sana.

Hivi ukisikia 56% ya GDP ya Kenya ni loans, unadhani yote hiyo loan ni kwa ajili ya SGR?. Kenya inadaiwa na lenders wengi sana,na inalazimika kuwalipa wote kwasababu kipindi cha kulipa kimefika, ukijumlisha pesa yote ambayo Serikali ya Kenya inalipa madeni ni 25% ya revenue kwa mwezi, kuanzia July itapanda hadi 40%, utaanza kusikia maumivu yake kuanzia July.
 
Google meaning ya grace period.. No much interest on the loan...
Sasa grace period ya commercial loan ni very short, ndio sababu commercial loans ni mbaya Sana, huwa zinasumbua sana kuzilipa, na ndio chanzo cha nchi nyingi kufilisika, kwasababu kabla hata project haijaisha unakazimika kulipa interest, hapo ndio sababu Uchumi wa Kenya unayumba Sana.
 
Kwani pinnacle ilikuaje umesahau ilivogeuka kua white elephant inamaana nairobi 88 leo ni miaka zaidi ya mitatu bado munachimba tu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] punguza ujinga
So from November 2018 to May 2019 imekuwa miaka mitatu?
 
joto ka jiwe leo naona umekamtwa..maneno mengi ushahidi hamna...bwahahaa
 
Buda we are paying our loans and still manage to run a budget 5 times yours which you yourselves can't manage to run it.. We have 40 years to pay for sgr but we want it done by 2023 to avoid further In terest
Ninarudia tena, wewe uwezo wako ni mdogo sana wa kufikiria, unfortunately wakenya wengi uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana, kweli ninakuhurumia sana.

Hivi ukisikia 56% ya GDP ya Kenya ni loans, unadhani yote hiyo loan ni kwa ajili ya SGR?. Kenya inadaiwa na lenders wengi sana,na inalazimika kuwalipa wote kwasababu kipindi cha kulipa kimefika, ukijumlisha pesa yote ambayo Serikali ya Kenya inalipa madeni ni 25% ya revenue kwa mwezi, kuanzia July itapanda hadi 40%, utaanza kusikia maumivu yake kuanzia July.
 
So from November 2018 to May 2019 imekuwa miaka mitatu?
Wewe au google nani anaejua zaidi??😆😆😆😆😆👇👇👇👇👇mm hua sibahatishi
79FB5297-BC3B-430C-81D0-B4CAB3744621.jpeg
 
Buda we are paying our loans and still manage to run a budget 5 times yours which you yourselves can't manage to run it.. We have 40 years to pay for sgr but we want it done by 2023 to avoid further In terest

Who told you 40yrs?? Yani commercial loan tena kwa mchina hupewi zaidi ya miaka 5 wacha kujidanganya hapa hzo eurobond zenyewe hazizidi miaka 7 na interest yake inafika mpaka 12% na ukitaka ushahidi sema 😆😆😆
 
Buda we are paying our loans and still manage to run a budget 5 times yours which you yourselves can't manage to run it.. We have 40 years to pay for sgr but we want it done by 2023 to avoid further In terest
Naskia munamtafuta mchawi😆😆😆👇👇

Buda we are paying our loans and still manage to run a budget 5 times yours which you yourselves can't manage to run it.. We have 40 years to pay for sgr but we want it done by 2023 to avoid further In terest
Why then you go for third Eurobond to pay for your previous debts, why did you ask for your grace period to be extended because you have no money to pay, unfortunately lenders rejected your request after which you had no other option than going to borrow from the same lenders with higher interest rate in order to pay their precious loans. Kenya is purely a failed state.

This is how leadership is supposed to be.
 
Hizo 5.5B Ksh zitakwzotumika ni 2B zingine jamaa watazitafuna na mtakuja kuunda kamati ya kuchunguza hafu hamtawafanya kitu.
Treasury allocates Sh5.5bn for building city bus lanes

THURSDAY, MAY 16, 2019 21:52

The Treasury has allocated Sh5.53 billion to be used in the construction of special lanes for high-capacity buses in efforts to decongest Nairobi roads.

Revised estimates for the current year show that the budget for urban and metropolitan development increased from Sh18.79 billion to Sh24.33 billion on account of bus rapid transit (BRT).

The cash injection will be a boost for the building of a BRT system that had stalled due to a lack of funds to put up supporting infrastructure and buy the high-capacity buses from South Africa.

The BRT system is generally designed to improve a city’s public transport network relative to conventional buses.

“Increase is on account of donor commitment and provision for procurement of bus rapid transport,” said the Treasury in the supplementary budget for the year ending June.

Government officials said earlier they would construct overhead pedestrian crossings every kilometre for passengers to access the pickup points on the special lanes.

Each bus is expected to have a capacity of about 160 passengers who will use cards for payment.

Kenya has opted for BRT system, to support its rickety public commuter services and ease congestion, a plan that will see the creation of special lanes dedicated to more efficient buses.

The transport agency had already mapped out five routes that will have the lanes reserved for buses.

In the city centre, the special lanes will be constructed along roads such as the Haile Selassie Avenue, Moi Avenue, Kenyatta Avenue and University Way, according to the agency’s designs.

Outside the central business district, the Nairobi transport agency has mapped out five routes including Thika Road, Jogoo Road, Mombasa Road and Outer Ring Road that will have the lanes reserved for the special buses.

Nairobi has in recent years witnessed an explosion of cars that is unmatched by the expansion of roads.
 
Punda
Who told you 40yrs?? Yani commercial loan tena kwa mchina hupewi zaidi ya miaka 5 wacha kujidanganya hapa hzo eurobond zenyewe hazizidi miaka 7 na interest yake inafika mpaka 12% na ukitaka ushahidi sema [emoji38][emoji38][emoji38]
Screenshot_20190518_235512.jpeg
 
Leadership that slows the economy??? 4%???
Why then you go for third Eurobond to pay for your previous debts, why did you ask for your grace period to be extended because you have no money to pay, unfortunately lenders rejected your request after which you had no other option than going to borrow from the same lenders with higher interest rate in order to pay their precious loans. Kenya is purely a failed state.

This is how leadership is supposed to be.
 
Leadership that slows the economy??? 4%???
Yes, but it delivers to the maximum, that is what it required.
Tanzania; Kwenye makaratasi Uchumi unapungua ila serikali inafanya mambo makubwa kwa pesa yake.

Kenya; Kwenye makaratasi Uchumi unafanya vizuri, lakini serikali hata kulipa madeni inalazimika kukopa.

Conclusion: SIFA nyingi mwisho aibu
 
Ukiskia nchi ni failed state ni kenya aisee kupoteza billions of money tena loan lakini haijawah kutumika kwenye white elephant project ila mchina Mungu anamuona👇👇

Back
Top Bottom