Treasury allocates Ksh 5.5bn for building BRT lanes

Treasury allocates Ksh 5.5bn for building BRT lanes

ichoboy01 hujaenda Buddhist Temple kumwomba mungu wa wachina akupe nguvu zaidi ya kudhalilisha Kenya? Au kwa vile we' ni mhindi unaabudu lord Krishna?
 
Acha
Wewe au google nani anaejua zaidi??[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]mm hua sibahatishi
View attachment 1101749
Ichoboy 88 inakukula akili kweli kweli, hii ni account ya owners wa Nairobi 88 and as you can see they have clearly said "Construction commenced on November 2018". Anyway, endelea kuumia kimya kimya.
IMG_20190519_122143_413.JPG
 
Hakuna kitu inawakula akili kama Nairobi 88, so edermann mtatulia kweli
tapatalk_1551271313204.jpeg
 
Ninarudia tena, wewe uwezo wako ni mdogo sana wa kufikiria, unfortunately wakenya wengi uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana, kweli ninakuhurumia sana.

Hivi ukisikia 56% ya GDP ya Kenya ni loans, unadhani yote hiyo loan ni kwa ajili ya SGR?. Kenya inadaiwa na lenders wengi sana,na inalazimika kuwalipa wote kwasababu kipindi cha kulipa kimefika, ukijumlisha pesa yote ambayo Serikali ya Kenya inalipa madeni ni 25% ya revenue kwa mwezi, kuanzia July itapanda hadi 40%, utaanza kusikia maumivu yake kuanzia July.
I don't know what informs your thinking .it's so petty and uninformed I guess it's the first time you are learning about debt to gdp ratio alafu unajifanya mjuaji ....akili yako ina upungufu coz all you do is hull insults .
Kenya has been borrowing for decades infact at around 2000 our debt to gdp ratio stood at 78 percent . we have never been given debt relief and still our economy is thriving .last year it was at 62 percent now at 54.
Your debts have been forgiven twice why are you still classified as LDC? Your work is just hulling insults yet you even don't what is ailing your own country
 
I don't know what informs your thinking .it's so petty and uninformed I guess it's the first time you are learning about debt to gdp ratio alafu unajifanya mjuaji ....akili yako ina upungufu coz all you do is hull insults .
Kenya has been borrowing for decades infact at around 2000 our debt to gdp ratio stood at 78 percent and we have never been given debt relief and still our economy is thriving last year it was at 62 percent now at 54.
Your debts have been forgiven twice why are you still classified as LDC? Your work is just hulling insults yet you even don't what is ailing your own country
Hahahahaha, eti last year our debt was 62% and thisi year is 54%?, are you mentally retarded?, give us evidence. Your debt is keeping on rising year after year for the the past twenty years, will never go down unless lenders refuse like what China has done.
 
Makubwa gani yani hadi Ghana imewapita.. Uganda iko bamper to bamper
Yes, but it delivers to the maximum, that is what it required.
Tanzania; Kwenye makaratasi Uchumi unapungua ila serikali inafanya mambo makubwa kwa pesa yake.

Kenya; Kwenye makaratasi Uchumi unafanya vizuri, lakini serikali hata kulipa madeni inalazimika kukopa.

Conclusion: SIFA nyingi mwisho aibu
 
This year 54% the GDP grew and we paid some loans definitely changing the percentage.. Tanzania has 45%
Hahahahaha, eti last year our debt was 62% and thisi year is 54%?, are you mentally retarded?, give us evidence. Your debt is keeping on rising year after year for the the past twenty years, will never go down unless lenders refuse like what China has done.
 
This year 54% the GDP grew and we paid some loans definitely changing the percentage.. Tanzania has 45%
Hahahahaha, Jana tu mumekopa $2.1B through Eurobond ili kulipa deni, actually deni linazidi kuongezeka, kwasababu pesa mnayolipa madeni ni ndogo kuliko mnayokopa, na kama China wangewakopesha, hali ingekuwa mbaya zaidi.
 
Hahahahaha, eti last year our debt was 62% and thisi year is 54%?, are you mentally retarded?, give us evidence. Your debt is keeping on rising year after year for the the past twenty years, will never go down unless lenders refuse like what China has done.

This guy you are so excited about is just a political commentator .He is in the department of linguistics and language .If he were a political scientist or economist I would take him seriously.
 
AchaIchoboy 88 inakukula akili kweli kweli, hii ni account ya owners wa Nairobi 88 and as you can see they have clearly said "Construction commenced on November 2018". Anyway, endelea kuumia kimya kimya.View attachment 1102020
Ahahha mm hua nacheka sana vile munakua wajinga sana project zote zimegeuka kua white elephant na bado munajipa matumaini 😆😆😆😆😆😆 munachimba miaka mitatu na mm nakupa 10 yrs ikijengwa unitafute
 
Ahahha mm hua nacheka sana vile munakua wajinga sana project zote zimegeuka kua white elephant na bado munajipa matumaini [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] munachimba miaka mitatu na mm nakupa 10 yrs ikijengwa unitafute
Miaka mitatu ni Wewe. Prove that ujenzi ulianza miaka mitatu iliyopita.
 
This guy you are so excited about is just a political commentator .He is in the department of linguistics and language .If he were a political scientist or economist I would take him seriously.
Dr. David Ndii, one of the best Economist in world was the first person to talk about your fake SGR, stupid Kenyans as usual came up with many reasons for not accepting his professional sound ideas, that because he was member of ODM.

Now you r coming with another stupid idea that can't hold water for even one second. Are you discussing ideas or a person?. So don't blame anybody if your economy is collapsing, because you have been warned many times but you don't listen.
 
Miaka mitatu ni Wewe. Prove that ujenzi ulianza miaka mitatu iliyopita.
😆😆😆😆😆👇👇👇👇👇
3yrs ago

Allocation of money from nowhere, you don't have visible funds to realise that project, all of them are just plans and drawings, nothing tangible

Mind you the BRT system had stalled due to a lack of funds to put up supporting infrastructure for 4 fine years now.

Tanzanian stuff drives you banana
Usiingize Tanzania kwa kila kitu wee malenge.
 
ichoboy....thread km hizi hazikufai..nakushauri tu..angalau mwenzako joto la jiwe hujitutumua na vi story vyake vile vile vya kila siku...ila wewe hufai hta kujibiwa...hoja huna..nenda kw thread za akina load krishna ukaabudu masanamu hko ndiko kuna vi emojis...bwahahaa
 
Wonders shall Never End! Hii ndo BRT duh kweli Hii Jubilee inapendaga sana Short cut
 
Let's penye imeandikwa construction commenced on 2016 nangoja, as I know construction ilianza 2018 November.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Under construction 3 yrs ago au munajenga mashimo ya takaView attachment 1102226
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
3yrs ago

Do you know the difference between proposal and commencement. From the link you have given this is what I have got, what else do you have to defend yourself?
IMG_20190519_184001_094.JPG
 
Do you know the difference between proposal and commencement. From the link you have given this is what I have got, what else do you have to defend yourself?View attachment 1102342
😆😆😆😆😆😆👇👇👇👇👇👇 usinilaumu mm wala huwez kunidanganya mm ndugu

Back
Top Bottom