Treasury allocates Ksh 5.5bn for building BRT lanes

Treasury allocates Ksh 5.5bn for building BRT lanes

Safi sana, BRT pamoja na light rail za kurahisisha usafiri Nairobee, ongeza juu yake ile barabara double decker ya juu kwa juu inayojengwa. Mbona isiwaume, hawa wanaojipiga vifua kwamba wao ndio wana hela wakati bajeti yao inadhaminiwa kwa 45% na misaada kutoka kwa mzungu? Misaada, sio mikopo!
Unasifia kitu na hakipo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† sikujua kumbe na ww ni nduza
 
watu wanaumia kumbe...ile siku pinnacle kesi yake itaisha..nadhani redeemer ndio atakufa kw pressure kabisa..heheheee

Sio pinnacle pekee kuna montave kuna nairobi 88 ziko kibao sana mpaka kuna zingine zimebakia big white elephant ,kenya Fake SGRπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
redeemer nakwambia subiri tu proceedimgs ziishe...utakufa kw pressure my brother ....

hv nikuulize..kwn nn pinaccle huaga inakuuma sana hvo
Zitaisha lini leo ni miaka mitano sasa au munasubiri yesu ashukeπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Yani mradi was sh5.5 billion unawatoa bongolala povu, je ule was betchel 400km Mombasa Nairobi expressway so watalazwa muhimbili πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukiona Ichoboy amekuja huku kutoka kwa ule Uzi wa battle, jua sindano imeingia Hadi bone marrow.
 
Foolish bongolalan.. We collect 3 times the Tax your poor country collects.. We have a budget 4 time yours.. Twice your economy.. Have u forgotten that your economy will grow at 4% because of your shity govt
Insufficient treasury collections are whole going to pay Chinese loans they want, no single penny from your treasury coffers is available for development project, sasa kama mnakopa mkopo from euro bonds to service loans how does this cartoons add up? Wake up, you don't have money. [emoji4]
 
Ichoboy unatakikana in that thread of Roads. Uliona lama kumewaka ikabidii uende underground.
Kumbe bado ni ndoto tu kwenu [emoji38][emoji38][emoji38] na hii iliishia wapi[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] bila shaka mulipoteza pesa za taxpayers

View attachment 1100939
 
Sio pinnacle pekee kuna montave kuna nairobi 88 ziko kibao sana mpaka kuna zingine zimebakia big white elephant ,kenya Fake SGR[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hehehe 88 Nairobi is going on, usidhani kama hamna hata proposed buildings in Dar Nairobi pia kuko hivo,
tapatalk_1558031683715.jpeg
 
And more than 60% of all that's going to keep widening bellies of only 1% Kenyans, 40.9% debts refurbishment and more euro bonds needed to conveyed for more debts servicing. What a failed farm πŸ˜•

We spend less than 10% on debts repayment. i.e. the interest.
More than 90% of the debt goes into infrastructure.
Ndio maana sasa hivi tumemchapa tarmac mara mbili, stima mara tatu, hospitali mara nne.
 
Back
Top Bottom