Treasury Bonds/T-bonds/T-Bills/Bonds/Hati Fungani ni Uwekezaji "Kichaa"

Treasury Bonds/T-bonds/T-Bills/Bonds/Hati Fungani ni Uwekezaji "Kichaa"

Sijui umfikiria Nini kuandika ulichoandika
KWANGU NAONA NI UPOTOSHAJI NA UMETOA USHAURI WA HOVYO HOVYO SANA
Ngoja nikupe kaelimu kidogo
Treasury bond ni risk free ( ikimaanisha hupotezi kile utakachowekeza )

Nikupe mfano
Ukiwekeza 100Million kwenye treasury bond ya miaka 20, ambapo Bank of Tz wanatoa riba ya takribani 15.49%

Maana yake kwenye 100Million kila mwaka utapata faida ya 15.49Million kila mwaka ( yaani kuanzia mwaka wa kwanza mpaka mwaka wa ishirini utakuwa unapata faida ya 15.49million ) ambayo kwa ujumla utapata faida ya 309.8Million (15.49*20=309.8)

Kwahivyo
Kwenye investment ya 100million ndani ya miaka 20 , utapata faida ya 309.8million + 100million (investment ) na ukiamua usiwe unachukua pesa zakk za faida ( riba ) kila mwaka bhasi baada ya miaka ishirini utakuwa na kiasi Cha 409.8 millions ambazo haujawahi kuzifanyia kazi 😂.


Kwa muda huo huo
Unaweza kuchukua certificate yako ya bond, kwenye commercial bank yeyote Tanzania unaweza ukapata mkopo wa wa Zaid ya 75%

Naomba nihitimishe kwa kukwambia
Uwekezaji wa treasury bond ni uwekezaji mzuri na wenye faida sana

Unajua nini kuhusu INFLATION?

Je, unajua baada ya miaka 20 hiyo pesa yako itakuwa imepungua thamani kwa kiasi gani?

Bila shaka hujaelewa chochote nilichoandika kwenye thread.. soma uelewe utapata jibu la ulilolizungumzia..
 
Mfano nimewekeza 700M maana yake kila mwaka nina 108M

Kwa miaka 20 nitakuwa nimetengeneza 108 kila mwaka

Swali je nikiwekeza 700M ninaweza tengeneza 108M?

Look kid

Ni bora niwekeze kwenye hizo Hati fungani

Sasa 108M nitaanzisha Ranch business

Mwaka wa kwanza 108M nanunua shamba lenye deed katavi huko lets say 50K per acre nanunua 2,000 acres natulia

Mwaka wa pili napata 108M napanda majani na irrigation system

Mwaka wa 3 napata 108M najenga nyumba na miundo mbinu ya kwenye ranch hiyo

Mwaka wa 4 nanunua ngombe sasa natafuta mbegu Bora naweza kuanza na ngombe 200

Mwaka wa 5 108M nunua eneo jingine la 2,000 acres

Yaani after 15 years

Nina mashamba ya acres 10,000 yenye ng'ombe 2,000

Sasa value ya kampuni ambayo inamiliki acres 10,000 na ng'ombe 2,000 kwa mwaka huo acha tu

Halafu 700 bado imetulia

Kwa hiyo bei ya ardhi itakuwa Tsh 50k kwa miaka yote 20?
 
Hahahah watu hawaelewi tu hii kitu raha yake uwe na hela kubwa ya investment! Kuna watu wanaishi kwa mfumo huo huo bila stress hapa mjini.Hela inayoingia inamtosheleza mtu kuishi mwaka mzima bila presha yani. Mfano mtu kama diamond platinumz akiwekeza hata 5B tu anakamata mpunga mrefu tu kila mwaka ambao anaweza akawa amekaa tu hela inaingia.

Government bond ni uhakika mie ningeweza kuwekeza humo japo kwa 1B ningeishi maisha ya raha mustarehe hapa duniani yani sababu kimsingi gharama za maisha yangu haziwezi fika 100M kwa mwaka na hapo umelipa ada watoto wanaishi comfortably na gari zinawaka na kwenda garage😅😅😅 sababu watu wa kipato cha kati tu wana survive mwaka mzima with likely 20M -25M!

Million 100+ hata inflation iweje kwa miaka 20 wewe utaendelea kutoboa tu kimaisha na unaweza ukawa una invest kwenye business zingine kupitia faida hio hio!

Hati fungani inawafaa watu wenye hela ndefu sie unga unga mwana tutaendelea kuiona haina maana.

Umeelewa lakini mada?

Unasema eti " hata INFLATION iweje"..

Umezielewa hizo hesabu za inflation nilizokuwekea hapo?
 
Wataalam wa uchumi wanasema "Compound interest is eighth wonder of the world" wengi wanaoenda kuwezeza kwenye hizi bond hawana elimu ya kutosha unakuta mtu anachukua 50m ana nunua gov-bond kwa 10yrs for 12%cp-interest.

Akipewa ile certificate anaenda kuficha kwenye droo yake ya chuma huko chumbani ana subiri miaka kumi iishe hajui kua anaweza kuitumia hiyo hiyo kupata mkopo hadi 75% invested money(50m).

Hamna kitu kinalipa kama investiment kwenye Money market, capital market na stock market.

Hata mm kunakitu nimepamga kufanya juu ya hii sector, sema haitabiriki
You are assuming our people have financial intelligence!! Wrong assumption.
Playing the financial markets involves RISK taking to which many people are averse hence their preference of RISK free bonds.
 
Umeelewa lakini mada?k

Unasema eti " hata INFLATION iweje"..

Umezielewa hizo hesabu za inflation nilizokuwekea hkama
Mkuu kama hadi sasa hujakubali kua Tbond zina faida.wewe tunakuita mbishi.
Ungekuwa umenunua Tbond mwaka 2019.za 100mil. Ungekuwa umekunja riba karibu ya 50miil
 
Suala kuu ni kwamba watu wengi hawawezi au hawataki au hawana muda wa kufanya biashara.

Kwa hawa, licha ya uliyoyaandika kuhusu inflation, T bonds na mutual funds ni bora kabisa kuliko option inayobaki ya savingas au fixed deposits katika benki.

Kwa wachache wanojua na kuiweza biashara, wazo lako ni kweli.

Biashara sio fani lelemama, ya kuianza kwa mfano uzeeni unapostaafu.
 
Suala kuu ni kwamba watu wengi hawawezi au hawataki au hawana muda wa kufanya biashara.

Kwa hawa, licha ya uliyoyaandika kuhusu inflation, T bonds na mutual funds ni bora kabisa kuliko option inayobaki ya savingas au fixed deposits katika benki.

Kwa wachache wanojua na kuiweza biashara, wazo lako ni kweli.

Biashara sio fani lelemama, ya kuianza kwa mfano uzeeni unapostaafu.
Nadhani point kubwa ni sababu watu hawana izo hela. Ili kupata coupon nzuri angalao mtu ataitaj kununua za 50mil. Kwa 20 yrs apate around 650k monthly.
Kama mtu hana uwezo wa kununua inakua "sizitaki mbich hizi"
 
Kama mtu una 100mil+.
Kuliko shares kwa kampuni(ambazo ni chache sana zenye kufanya vizur),kuliko FDR,kuliko kujengea watoto majumba.Heri kueka hela kwenye Tbond,halafu faida ndo uitumie kujengea wanao na wana wa wanao.na bado watakuta principal iko regardles ya inflation itakua bado ni amount nzuri (kumbuka watakuta asset zakutosha na principal juu)
 
Hahahah watu hawaelewi tu hii kitu raha yake uwe na hela kubwa ya investment! Kuna watu wanaishi kwa mfumo huo huo bila stress hapa mjini.Hela inayoingia inamtosheleza mtu kuishi mwaka mzima bila presha yani. Mfano mtu kama diamond platinumz akiwekeza hata 5B tu anakamata mpunga mrefu tu kila mwaka ambao anaweza akawa amekaa tu hela inaingia.

Government bond ni uhakika mie ningeweza kuwekeza humo japo kwa 1B ningeishi maisha ya raha mustarehe hapa duniani yani sababu kimsingi gharama za maisha yangu haziwezi fika 100M kwa mwaka na hapo umelipa ada watoto wanaishi comfortably na gari zinawaka na kwenda garage[emoji28][emoji28][emoji28] sababu watu wa kipato cha kati tu wana survive mwaka mzima with likely 20M -25M!

Million 100+ hata inflation iweje kwa miaka 20 wewe utaendelea kutoboa tu kimaisha na unaweza ukawa una invest kwenye business zingine kupitia faida hio hio!

Hati fungani inawafaa watu wenye hela ndefu sie unga unga mwana tutaendelea kuiona haina maana.
Haya Ndio maneno ya kusema. Sio utoke uende Ushauri mzazi wako anunue hati fungani na hata ajui maana ake, 'kisa umemuona kastaafu KAZI utamuuua na pressure. Tutafute mishe mishe hiii kuongea nyuma ya keyboard ni raisi sana

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
mpaka jana BoT wamesema

mpaka jana unaweza kukopa mpaka 80% ya collateral yako piti website ya BOT mkuu
View attachment 1454752
Kwa Iyo apo umesoma wakakwambia kwamba unaweza kukopa zaidi ya 50%. Kweli shule ya Financial na mathematics inaitajika kwa kiwango kikubwa sana. Umu watu wanachukulia mambo simple simple sana.

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa Iyo apo umesoma wakakwambia kwamba unaweza kukopa zaidi ya 50%. Kweli shule ya Financial na mathematics inaitajika kwa kiwango kikubwa sana. Umu watu wanachukulia mambo simple simple sana.

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Ohooo! Hapa mkuu, labda haujaelewa nilivyo maanisha. Ni kwamba mabenki tu' ndo tanaweza kukopa BOT sio wananchi au makampuni. Hapo kwenye picha in kwamba BOT wamepunguza security haircut kwenye T-bills na T-bond. Sasa kama benk ina hold izo tbills na bonds wanaweza kukopa mpaka 95% ya T-bills na 80% ya T-bond price, izo tbills na bond ambazo zitatumika kama collateral kwa mabenk ku kopa BOT.

Jaribu ku google government security haircut au security haircut in finance

Nadhani umejichangany hapo kwenye haircut
 
Tatizo letu watanzania tumeshazoea kuwaza Iran vs USA. Lakini mambo sensitivities kama haya uwezi kuwaona hata maswali wanayouliza mpaka unaweza ukasikitika, na huyo mtu ana familiar ya watoto 4 mpaka 5.

Yaani watanzania akili zetu ni ndogo sana kuanzia maprofesa mpaka wasiosoma ni upuuuzi upuuuzi tuuu umasikini ndio umeshamiri tuuu na wengine maprofesa lakini akili kama watoto wa darasa la pili? Apo ungezungumzia kuhusu Iran vs USA sasa ivi tungekuwa tushafika mchangiaji wa 350.

Watanzania tunatakiwa tuwekeze kwy maswala ya mahesabu ya kibihashara na uwekezaji ili kuwa na jamiii bora isiyokuwa na shida ya maswala ya kifedha na kwy mitahara yetu wafundishe maswala ya fedha na uwekezaji maana mitahara yetu iko tofauti sana. Bado tunatumia mitahara ya zamani sana haiendani na dunia ya sasa

Ugali Maharagwe umeharibu akili za watanzania
Ni mitahala sio mitahara
 
Hati fungani ni biashara "kichaa" na watu pekee ambao wanawekeza kwenye hii biashara ni wale waoga wakupoteza thamani ya mitaji ya pesa zao. Mabenki, mashirika ya bima, mifuko ya mafao pamoja na mashirika mengine bila shaka hutumia njia hii ya uwekezaji ili kutunza mitaji yao pengine ni kutokana na ukubwa wa mitaji ambao ni vigumu kuwekezwa kwenye sekta zenye "Higher Risk but greater return".

Tukichukulia mfano wa Hati fungani za miaka 20 za serikali zinazotoa riba ya 15.49% p.a: Angalia mtiririko ufuatao;

Tuchukulie umewekeza kiasi cha Tsh x kwa muda wa miaka hiyo 20, jumla kuu ya malipo utakayopata baada ya miaka 20 ni Tsh;

lakini kumbuka kuna kitu kimoja ambacho huzikumba FIAT Currency zote duniani, nacho ni Inflation au Mfumuko wa bei . Tukichukulia wastani wa 3.7% p.a (kwa mujibu wa takwimu za NBS [1], hapa naomba tusifikirie suala la "kupikwa" takwimu na naomba tuunge mkono juhudi) kwa muda wa miaka 20 hiyo ya uwekezaji wako. Then mtaji wako wa Tsh x baada ya miaka hiyo 20 utakuwa na thamani ya Tsh;

Hii inamaanisha faida ya uwekezaji wako kwa muda wa miaka 20 ni Tsh;

ambayo ni faida ya asilimia 100 kwa muda wa miaka 20; ambayo yenyewe kiuhalisia ni Tsh;

yaani kwa mahesabu ya "pesa yako ya kweli" ya miaka 20 iliyopita, faida yako ni asilimia 48.4 tu.

Hebu tuangalie mfano mwingine, iwapo mtu atawekeza kiasi kilekile cha Tsh x kwa muda wa miaka 20. Tukichukulia wastani wa faida ya asilimia 10 kwa mwaka, then baada ya miaka 20 mtaji wake utakuwa ni Tsh;

ambapo faida yako itakuwa ni Tsh;

yaani mara 4.659 ya mtaji wako wa awali, ambayo kiuhalisia ni faida ya Tsh;

yaani asilimia 225.3 kwa mahesabu halisi ya miaka 20 iliyopita.

sasa unaweza kuona kwamba kwa wastani wa faida ya asilimia 10 tu kwenye biashara yako kwa miaka 20 faida unapata asilimia 225.3 wakati kama utakuwa umewekeza kwenye hati fungani utakuwa umepata faida asilimia 48.4 tu japo utakuwa kwenye "risk free investment".

Je, kama utafanikiwa kupata faida ya wastani wa asilimia 20 kwa muda wa miaka 20 unaweza kupiga hesabu ni kwamba utapata faida kubwa zaidi. Yaani;

Baada ya miaka 20 mapato yatakuwa ni Tsh;

kumaanisha faida yako itakuwa ni Tsh;

ambayo kiuhalisia ni Tsh;

yaani faida ni mara 17.538 ya mtaji ulioanza nao "miaka 20 iliyopita"

Sasa unaweza kuona kwa faida ya kufanya biashara ukapata wastani wa 20% profit kwa miaka ishirini ni 1753.8% wakani hati fungani ni 48.4%.

Hakuna mfanyabiashara anayeelewa biashara akawekeza kwenye hati fungani labda kama hakuna namna na yeye anataka kulinda mtaji wake usishuke thamani.

Ahsanteni.
Mkuu naona BoT wamepunguza interest rates ku discourage watu wasiwekeze huko.
Vipi una maoni gani kuhusu kupunguzwa kwa interest rates za government bonds.
 
Wamepunguza rate tena?,ninachofahamu ni kwamba wameongeza muda hadi miaka 25 riba nayo ni asilimia 15.99
 
Wamepunguza rate tena?,ninachofahamu ni kwamba wameongeza muda hadi miaka 25 riba nayo ni asilimia 15.99
Ndio mkuu, imeshuka hadi 12%. Jionee mwenyewe

IMG-20220408-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom