pmwasyoke
JF-Expert Member
- May 27, 2010
- 4,760
- 3,324
Hiyo si habari njema. Lakini bado hizo rate zinazidi sana za savings accounts na pia za fixed deposits za benki.
Wameisogea UTT, na huenda hawa pia watashusha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo si habari njema. Lakini bado hizo rate zinazidi sana za savings accounts na pia za fixed deposits za benki.
Na dalili kushuka zilionekena. Na huenda zitaendelea kushuka. U
Advantage ni kwa walionunua hatifungani zamani kwa vile badiliko hili haliwaathiri.Na dalili kushuka zilionekena. Na huenda zitaendelea kushuka. U
Kuna mdau alipuuzaa ushauri wangu, nilimwambia asubirie mnada huu wa mwezi wa April. Akakaidi akaenda nunua Kwa 148.9...ukaidi wake Leo umekuwa wa FAIDA mama difference ya % mpya Kwa mzigo alioweka,Kwa mwaka ni pareefu saana. 10m+ per annum.Advantage ni kwa walionunua hatifungani zamani kwa vile badiliko hili haliwaathiri.
Ni mitahala sio mitahara
Duh,hali ni tete kwa kweliKuna mdau alipuuzaa ushauri wangu, nilimwambia asubirie mnada huu wa mwezi wa April. Akakaidi akaenda nunua Kwa 148.9...ukaidi wake Leo umekuwa wa FAIDA mama difference ya % mpya Kwa mzigo alioweka,Kwa mwaka ni pareefu saana. 10m+ per annum.
Kwa hiyo kwa mfano ukitaka kuwekeza inabidi uwekeze kwenye rates zipi kwani rate zinazo tolewa tofauti yake ni ndogo sana kulingana na mudaMkuu naona BoT wamepunguza interest rates ku discourage watu wasiwekeze huko.
Vipi una maoni gani kuhusu kupunguzwa kwa interest rates za government bonds.
Nzuri ni 25 years.Kwa hiyo kwa mfano ukitaka kuwekeza inabidi uwekeze kwenye rates zipi kwani rate zinazo tolewa tofauti yake ni ndogo sana kulingana na muda
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hebu angalia jedwali hapo juu kwani 20 yrs rate yake ni 12.10 na 25yrs ni 12.56 kwa hiyo tofauti yake ni 0.46Nzuri ni 25 years.
0.Hebu angalia jedwali hapo juu kwani 20 yrs rate yake ni 12.10 na 25yrs ni 12.56 kwa hiyo tofauti yake ni 0.46
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ni ndogo ndio. Kadiri kiwango cha hela unachoweka kinavokuwa kikubwa ndvyo unavoona significance ya iyo 0.46%.Hebu angalia jedwali hapo juu kwani 20 yrs rate yake ni 12.10 na 25yrs ni 12.56 kwa hiyo tofauti yake ni 0.46
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Bongo utasikia wahindi hawajengi nyumba kabisa na wanahela sasa pesa zao huwa wanawekeza huko kwenye government Bonds hapa bongo mpaka huko majuu especially UK,Canada na Australia.Pitia Website ya Bank Kuu ya England. BANK OF ENGLAND (BoE) Kuna maelekezo.
Na si mitihala.... Ni mitaalaNi mitahala sio mitahara
Unawezaje kwenda kununua bonds za uSA ukiwa Tanzania??Mimi mwenyewe nimemshangaa mleta mada.
Tena ikibidi unaenda kununua Treasury Bonds ya nchi Kama UK , USA , German hata Japan huko
... inawezekana ulishajibiwa maana ni swali la muda mrefu kidogo; iko hivi; kuna option mbili. Ya kwanza ni kwa faida inayopatikana kutokana na kiasi cha mtaji wako (principal amount) kuingizwa kwenye akaunti yako - yaani kulipwa; na option ya pili ni kwa faida inayotokana kila mwezi/mwaka kuongezwa kwenye mtaji.Mtamba wa Panya,
Kuweka mtaji kwenye hati fungani ile faida ina ongezeka kwenye mtaji je nayenyewe ina pigiwa hesabu ya faida yake au utaruhusiwa kuwa unaichukua faida kila mwaka mtaji unabaki pale pale
... kabisa Mkuu wangu; biashara aisikie tu. TRA wenyewe wanafilisi watu kwa makadirio yao ya ajabu ajabu.Hapo umepiga hesabu za kuwekeza kwenye biashara ambayo inaingiza faida consistent miaka 20 inakua na return hiyo ya asilimia 1753.8% which in reality hakuna biashara ya hivo. Biashara ina risk ya kupoteza nusu ya mtaji wako ulioanza nao 5 years ago kama huja calculate risk. So mahesabu yako ni ya makaratasi sio realistic.
Zipo..Hapo umepiga hesabu za kuwekeza kwenye biashara ambayo inaingiza faida consistent miaka 20 inakua na return hiyo ya asilimia 1753.8% which in reality hakuna biashara ya hivo. Biashara ina risk ya kupoteza nusu ya mtaji wako ulioanza nao 5 years ago kama huja calculate risk. So mahesabu yako ni ya makaratasi sio realistic.
Huyu jamaa bado haelewi how big sharks wanavoinvest, trasury bonds ni za watu wenye akili kubwa. Imagine mtu anaweka 5 billion hlf iwe matured kwa miaka 20 then kwa interest rate ya 15.49% kila mwaka. Piga hesabu namna hela itakavokua na ni risk free 😎.... inawezekana ulishajibiwa maana ni swali la muda mrefu kidogo; iko hivi; kuna option mbili. Ya kwanza ni kwa faida inayopatikana kutokana na kiasi cha mtaji wako (principal amount) kuingizwa kwenye akaunti yako - yaani kulipwa; na option ya pili ni kwa faida inayotokana kila mwezi/mwaka kuongezwa kwenye mtaji.
Option ya kwanza mtaji haukui ila unalipwa kila kipindi; option ya pili mtaji unakua ila hulipwi.