Treasury Bonds/T-bonds/T-Bills/Bonds/Hati Fungani ni Uwekezaji "Kichaa"


Unajua nini kuhusu INFLATION?

Je, unajua baada ya miaka 20 hiyo pesa yako itakuwa imepungua thamani kwa kiasi gani?

Bila shaka hujaelewa chochote nilichoandika kwenye thread.. soma uelewe utapata jibu la ulilolizungumzia..
 

Kwa hiyo bei ya ardhi itakuwa Tsh 50k kwa miaka yote 20?
 

Umeelewa lakini mada?

Unasema eti " hata INFLATION iweje"..

Umezielewa hizo hesabu za inflation nilizokuwekea hapo?
 
You are assuming our people have financial intelligence!! Wrong assumption.
Playing the financial markets involves RISK taking to which many people are averse hence their preference of RISK free bonds.
 
Umeelewa lakini mada?k

Unasema eti " hata INFLATION iweje"..

Umezielewa hizo hesabu za inflation nilizokuwekea hkama
Mkuu kama hadi sasa hujakubali kua Tbond zina faida.wewe tunakuita mbishi.
Ungekuwa umenunua Tbond mwaka 2019.za 100mil. Ungekuwa umekunja riba karibu ya 50miil
 
Suala kuu ni kwamba watu wengi hawawezi au hawataki au hawana muda wa kufanya biashara.

Kwa hawa, licha ya uliyoyaandika kuhusu inflation, T bonds na mutual funds ni bora kabisa kuliko option inayobaki ya savingas au fixed deposits katika benki.

Kwa wachache wanojua na kuiweza biashara, wazo lako ni kweli.

Biashara sio fani lelemama, ya kuianza kwa mfano uzeeni unapostaafu.
 
Nadhani point kubwa ni sababu watu hawana izo hela. Ili kupata coupon nzuri angalao mtu ataitaj kununua za 50mil. Kwa 20 yrs apate around 650k monthly.
Kama mtu hana uwezo wa kununua inakua "sizitaki mbich hizi"
 
Kama mtu una 100mil+.
Kuliko shares kwa kampuni(ambazo ni chache sana zenye kufanya vizur),kuliko FDR,kuliko kujengea watoto majumba.Heri kueka hela kwenye Tbond,halafu faida ndo uitumie kujengea wanao na wana wa wanao.na bado watakuta principal iko regardles ya inflation itakua bado ni amount nzuri (kumbuka watakuta asset zakutosha na principal juu)
 
Haya Ndio maneno ya kusema. Sio utoke uende Ushauri mzazi wako anunue hati fungani na hata ajui maana ake, 'kisa umemuona kastaafu KAZI utamuuua na pressure. Tutafute mishe mishe hiii kuongea nyuma ya keyboard ni raisi sana

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
mpaka jana BoT wamesema

mpaka jana unaweza kukopa mpaka 80% ya collateral yako piti website ya BOT mkuu
View attachment 1454752
Kwa Iyo apo umesoma wakakwambia kwamba unaweza kukopa zaidi ya 50%. Kweli shule ya Financial na mathematics inaitajika kwa kiwango kikubwa sana. Umu watu wanachukulia mambo simple simple sana.

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa Iyo apo umesoma wakakwambia kwamba unaweza kukopa zaidi ya 50%. Kweli shule ya Financial na mathematics inaitajika kwa kiwango kikubwa sana. Umu watu wanachukulia mambo simple simple sana.

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Ohooo! Hapa mkuu, labda haujaelewa nilivyo maanisha. Ni kwamba mabenki tu' ndo tanaweza kukopa BOT sio wananchi au makampuni. Hapo kwenye picha in kwamba BOT wamepunguza security haircut kwenye T-bills na T-bond. Sasa kama benk ina hold izo tbills na bonds wanaweza kukopa mpaka 95% ya T-bills na 80% ya T-bond price, izo tbills na bond ambazo zitatumika kama collateral kwa mabenk ku kopa BOT.

Jaribu ku google government security haircut au security haircut in finance

Nadhani umejichangany hapo kwenye haircut
 
Ni mitahala sio mitahara
 
Mkuu naona BoT wamepunguza interest rates ku discourage watu wasiwekeze huko.
Vipi una maoni gani kuhusu kupunguzwa kwa interest rates za government bonds.
 
Wamepunguza rate tena?,ninachofahamu ni kwamba wameongeza muda hadi miaka 25 riba nayo ni asilimia 15.99
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…