Treasury Bonds/T-bonds/T-Bills/Bonds/Hati Fungani ni Uwekezaji "Kichaa"

Mkuu natamani sana kujua kiundani zaidi kuhusu uwekezaji wa namna hii.
Tafadhali naomba unipe dondoo namna ya kuanza na ABCs nyingine muhimu,
Shukrani.
 
Kuna mdau alipuuzaa ushauri wangu, nilimwambia asubirie mnada huu wa mwezi wa April. Akakaidi akaenda nunua Kwa 148.9...ukaidi wake Leo umekuwa wa FAIDA mama difference ya % mpya Kwa mzigo alioweka,Kwa mwaka ni pareefu saana. 10m+ per annum.

Kaka habar samah km hutojal naweza pata mawasiliano yako kaka kuna kitu nataka nifaham juu ya hatifungan km hutojal ndugu[emoji120]
 
Kaka habar samah km hutojal naweza pata mawasiliano yako kaka kuna kitu nataka nifaham juu ya hatifungan km hutojal ndugu[emoji120]
Anzia utt unaweza jiunga kupitia simu yako , usajili utaenda kuukamilisha kwenye office zao au mawakala wao ambao ni CRDB. Utt wana mifuko tofauti , utajiunga mfuko wa hati fungani au bonds.

Kianzio cha chini ni sh 50000.
Muendelezo wa kuongeza mtaji kuanzia ni sh 5000.
 
Wenye hela zao hata hawapo hapa. Wapo huko busy kutafuta hati fungani za serikali zenye riba nzuri na kuzungusha pesa zao kwa faida nono.

Wasiokuwa nazo sasa, hela za ngama.. Kulalamika hakuishi.

Kama unaona haina faida au ni gharama basi jua HUWEZI kumudu huo uwekezaji.

Kafanye biashara nyingine ukuze mtaji
 
Kama wewe ni kijana nwenye akili timamu na nguvu za kufanya kazi ni bora ukafanya biashara kuliko kununua izo bonds

Hizo ni kwa ajili ya wazee above 60, imagine mtu anakwambia ukiwekeza, unapata faida 12% kwa mwaka, mfano umewekeza 10M baada ya mwaka mmoja unapata 1.2M kama faida

Ikiigawa iyo 1.2M kwa miezi 12 maana yake ni faida ya laki moja kwa mwezi au Tsh 3,300 kwa siku

Hapo kigezo utaambiwa ni risk free, mtaji hapo ni 10M[emoji22], ukiwa sehemu yoyote ya nchi kwa mtaji hata wa 100k unaweza kutengeza faida nzuri tuu na maisha yakasogea

Personally nina biashara ya mtaji wa 10M, napata faida ya 1M after all expences za ofisi.

KAZI IENDELEE
 
Hiyo siyo biashara bali ni mfumo mzuri wa kuweka akiba yako yenye kuzaa. Wewe km una run mtaji 10 mil. Lazima uwe na akiba Je hyo akiba unaitengenezea mazingira gani? Wenye pesa hizo bonds ndio akiba zao na biashara wanarun km kawaida.
 
Hiyo siyo biashara bali ni mfumo mzuri wa kuweka akiba yako yenye kuzaa. Wewe km una run mtaji 10 mil. Lazima uwe na akiba Je hyo akiba unaitengenezea mazingira gani? Wenye pesa hizo bonds ndio akiba zao na biashara wanarun km kawaida.
Sina hela ya kuweka akiba kwa zaidi ya mwaka mmoja, never and ever.

Hua nafikiria jinsi ya kumultiply hela yangu siku zote hata kama ni elfu 1
 
That's an investment wewe kilaza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…