Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kariakoo nadhani kama laki tatu,Hz za manual znaanzia Bei gan
Hizi inabidi mbegu uziandae kitaalamu sana, na uangalizi wake sio mchezo, mzee wangu anazo mbili ila sio hizi tunazo za petrol tumeacha kuzitumia miaka 5 iliyopita, zina changamoto shamba uliandae sana mbegu maji n.k kwa kifupi utulie sasa sisi wazee wa kukimbizana na muda ni changamoto.. mbegu zinaandaliwa kama mkate..Kariakoo nadhani kama laki tatu,
hivi.
Sina uhakika na bei,
Hii ni bei ya China , hizi ukiwa mbunifu unaweza ukazifunga hata kumi then ukavuta na power tiller au pikipiki kama wewe ni mtundu wa mashine au ng'ombe.
Za engine kuanzia milioni 7 kuendelea hii KWA bei ya kiwandani china
Hapana mbegu ni simple tu kuandaa unandaa kwenye matrey ya mbao unayapanga kama vichanja KWA ngazi kwenda juu utumii udongo,Hizi inabidi mbegu uziandae kitaalamu sana, na uangalizi wake sio mchezo, mzee wangu anazo mbili ila sio hizi tunazo za petrol tumeacha kuzitumia miaka 5 iliyopita, zina changamoto shamba uliandae sana mbegu maji n.k kwa kifupi utulie sasa sisi wazee wa kukimbizana na muda ni changamoto.. mbegu zinaandaliwa kama mkate..
Mzee alinunua 1 na moja ya shirika gharama ni milioni 8 kwa mashine moja ila hatuzitumii.. nahisi hizo ulizopost ni kama za manual ila kuandaa mbegu mziki aisee
Ndio hicho nachokisema mkuu sio inshu ya kitoto hayo ni mazoezi ya kutosha aiseeHapana mbegu ni simple tu kuandaa unandaa kwenye matrey ya mbao unayapanga kama vichanja KWA ngazi kwenda juu utumii udongo,
Hata ukitumia udongo unakata mizizi na unaosha kabisa
Kwa ushauri wako, kumbe ni bora wajiunge wakulima hata4 wanunueKama hutojali na kutokana na kazi unayoifanya ya kilimo Cha mpunga ungepata pawatila Siam Kubota. Kwa upande wa trekta usijali kikubwa angalia spea/ vipuli zake zinaingiliana na kampuni gani na upatikanaji wake upoje. Baadhi ya trekta likizingua unageuza kichanja hata Kama unahela, na nyingine huwa zinaharibika Mara Kwa Mara hasa pampu.
Trekta ukinunua Kwa keshi itakua poa Sana kuliko kukopa. Mfano Efta ilikua ukikopa marejesho ni Kila mwezi Kwa miaka mitatu na Kuna vigezo vya shamba na kiingilio lakini ukifeli marejesho hata Kama umebakiza miezi miwili liwe lako wanabeba.
Ukinunua pia utatakiwa kununua majembe na rota na angalau trela kwaajili ya kubebea mizigo wakati wa kiangazi au uwe unakodi.
Kuhusu pawatila utapata Kwa milioni 12 ikiwa complete na Kama ukiwa na pesa za kutosha unaweza kununua mbili. Ukiwa nazo mbili hapo mwenye trekta mnakula league na unaweza kumzidi kidoogo kutokana na wewe kutumia mafuta kidogo na PAWATILA kufanya kazi hata maeneo mapya au yasiyofikika Kwa trekta.
Kwa trekta roho ya paka ni New Holland, masey Ferguson, valtra, Kubota, ford na nyingine nyingi ambazo spa zake zinapatikana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Samahani mkuu naomba kujua kama ulishawahi kizitumia hizi za manual.KWA zana na vifaa vya kilimo China wapo vizuri sana KWA gharama nafuu
Hapana,bado mpya nchini zinasambazwa na CAMCO EquipmentSamahani mkuu naomba kujua kama ulishawahi kizitumia hizi za manual.
Samahani Mkuu tunaweza kupata picha ya aina ya hizo mashine,Hizi inabidi mbegu uziandae kitaalamu sana, na uangalizi wake sio mchezo, mzee wangu anazo mbili ila sio hizi tunazo za petrol tumeacha kuzitumia miaka 5 iliyopita, zina changamoto shamba uliandae sana mbegu maji n.k kwa kifupi utulie sasa sisi wazee wa kukimbizana na muda ni changamoto.. mbegu zinaandaliwa kama mkate..
Mzee alinunua 1 na moja ya shirika gharama ni milioni 8 kwa mashine moja ila hatuzitumii.. nahisi hizo ulizopost ni kama za manual ila kuandaa mbegu mziki aisee
Kesho nitatuma mkuuSamahani Mkuu tunaweza kupata picha ya aina ya hizo mashine,
Mikukumbushe TU kuwa ford ndio new HollandKama hutojali na kutokana na kazi unayoifanya ya kilimo Cha mpunga ungepata pawatila Siam Kubota. Kwa upande wa trekta usijali kikubwa angalia spea/ vipuli zake zinaingiliana na kampuni gani na upatikanaji wake upoje. Baadhi ya trekta likizingua unageuza kichanja hata Kama unahela, na nyingine huwa zinaharibika Mara Kwa Mara hasa pampu.
Trekta ukinunua Kwa keshi itakua poa Sana kuliko kukopa. Mfano Efta ilikua ukikopa marejesho ni Kila mwezi Kwa miaka mitatu na Kuna vigezo vya shamba na kiingilio lakini ukifeli marejesho hata Kama umebakiza miezi miwili liwe lako wanabeba.
Ukinunua pia utatakiwa kununua majembe na rota na angalau trela kwaajili ya kubebea mizigo wakati wa kiangazi au uwe unakodi.
Kuhusu pawatila utapata Kwa milioni 12 ikiwa complete na Kama ukiwa na pesa za kutosha unaweza kununua mbili. Ukiwa nazo mbili hapo mwenye trekta mnakula league na unaweza kumzidi kidoogo kutokana na wewe kutumia mafuta kidogo na PAWATILA kufanya kazi hata maeneo mapya au yasiyofikika Kwa trekta.
Kwa trekta roho ya paka ni New Holland, masey Ferguson, valtra, Kubota, ford na nyingine nyingi ambazo spa zake zinapatikana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukifanikiwa kulima heka 60 za mpunga umasikini bye bye.Natarajia kulima heka 60 Kwa msimu ujao hzo ni Kwa zao la mpunga Kisha mahindi hata hekari 10 pia nitaangalia soya maziwa na maharage huko huko na alizet
Wewe unaonekana ni dalali ama muuza ma power tiller.Heka 60 chache sana kwa trekta mkuu, nashauri anza na power tiller tena moja tu iwe mjapan kubota, ili uitunze vizuri, kama maana ukiwa na power tiller 2 kama una heka sabini yaani 10 za mahindi 60 za mpunga utachoma hela ya manunuzi tu aana kama ziko sehemu moja upiga ndani week 3 au mwezi unamaliza kama una madereva 3.. usipoteze pesa kuchukua trekta kwa hizo hekari.
Heka inatoa 20 -25 mkuu hapo ni mpunga wa kumwaga ukipandkiza had 30 unapataUkifanikiwa kulima heka 60 za mpunga umasikini bye bye.
Vipi huko heka Moja ya mpunga instoa gunia ngapi?
Kila la kheri mkuu heka 60 ilikubali hukosi 150MHu
Heka inatoa 20 -25 mkuu hapo ni mpunga wa kumwaga ukipandkiza had 30 unapata