Trector aina ya Lovol ni bei nafuu sana

Hz za manual znaanzia Bei gan
Kariakoo nadhani kama laki tatu,
hivi.
Sina uhakika na bei,
Hii ni bei ya China , hizi ukiwa mbunifu unaweza ukazifunga hata kumi then ukavuta na power tiller au pikipiki kama wewe ni mtundu wa mashine au ng'ombe.
Za engine kuanzia milioni 7 kuendelea hii KWA bei ya kiwandani china
 

Attachments

  • Screenshot_20230316_165931.jpg
    98.2 KB · Views: 45
  • Screenshot_20230316_165941.jpg
    136.4 KB · Views: 42
  • Screenshot_20230316_165949.jpg
    98.4 KB · Views: 44
  • Screenshot_20230316_165958.jpg
    77.3 KB · Views: 41
  • Screenshot_20230316_170046.jpg
    86 KB · Views: 41
Hizi ni za engine, pia hio ni app ingia play store download hizo app KWA mahitaji ya vifaa vyote vya kilimo utapata China kwa bei rahisi utaletwa hadi kijijini ulipo.
 

Attachments

  • Screenshot_20230316_165901.jpg
    95.2 KB · Views: 41
  • Screenshot_20230316_165824.jpg
    103.2 KB · Views: 40
  • Screenshot_20230316_165805.jpg
    110.9 KB · Views: 38
  • Screenshot_20230316_165618.jpg
    28.9 KB · Views: 34
Hizi inabidi mbegu uziandae kitaalamu sana, na uangalizi wake sio mchezo, mzee wangu anazo mbili ila sio hizi tunazo za petrol tumeacha kuzitumia miaka 5 iliyopita, zina changamoto shamba uliandae sana mbegu maji n.k kwa kifupi utulie sasa sisi wazee wa kukimbizana na muda ni changamoto.. mbegu zinaandaliwa kama mkate..

Mzee alinunua 1 na moja ya shirika gharama ni milioni 8 kwa mashine moja ila hatuzitumii.. nahisi hizo ulizopost ni kama za manual ila kuandaa mbegu mziki aisee
 
Hapana mbegu ni simple tu kuandaa unandaa kwenye matrey ya mbao unayapanga kama vichanja KWA ngazi kwenda juu utumii udongo,
Hata ukitumia udongo unakata mizizi na unaosha kabisa
 
Hapana mbegu ni simple tu kuandaa unandaa kwenye matrey ya mbao unayapanga kama vichanja KWA ngazi kwenda juu utumii udongo,
Hata ukitumia udongo unakata mizizi na unaosha kabisa
Ndio hicho nachokisema mkuu sio inshu ya kitoto hayo ni mazoezi ya kutosha aisee
 
Kwa ushauri wako, kumbe ni bora wajiunge wakulima hata4 wanunue
 
Ni kwel mkiungana mwaeza mkafanya kitu tatzo mwafrica especially mbongo mkiungana janja janja kibao akisafr mmoja wengne wanaenda kupga vbarua wapate pesa, na mwingne atakuwa hataki kutoa hela y services, achana na mbongo
 
Samahani mkuu naomba kujua kama ulishawahi kizitumia hizi za manual.
Hapana,bado mpya nchini zinasambazwa na CAMCO Equipment
 

Attachments

  • Screenshot_20230326_135636.jpg
    111.5 KB · Views: 35
  • Screenshot_20230326_135642.jpg
    129.1 KB · Views: 44
Dah binafsi huwa nasikitika Sana kuona hata mashine ndogo kama hizi tunaagiza China,.. sina hakika kwamba hakuna watalamu wa uchomeleaji wanao weza kuunda hizi mashine..
 
Samahani Mkuu tunaweza kupata picha ya aina ya hizo mashine,
 
Mikukumbushe TU kuwa ford ndio new Holland
 
Natarajia kulima heka 60 Kwa msimu ujao hzo ni Kwa zao la mpunga Kisha mahindi hata hekari 10 pia nitaangalia soya maziwa na maharage huko huko na alizet
Ukifanikiwa kulima heka 60 za mpunga umasikini bye bye.

Vipi huko heka Moja ya mpunga instoa gunia ngapi?
 
Wewe unaonekana ni dalali ama muuza ma power tiller.
Na hizi mvua za kusua sua apoteze , da wa mwezi Kwa kulima eka 70 tu wakato akipata trekta hizo heka anapiga siku 3 TU .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…