Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutengezea samani,mapambo,mikanda ya kufungia mizigo,viatu.Wakuu embu tujuzane matairi yaliyotumika hawa wanaonunua wanaenda kufanyia nini?
Maaba hapa nimepewa ofa nisijeachia mali kwa bei rahisiView attachment 2975202
Dah umenikumbusha mbali kinyama, enzi hizo mtu unaingia katikati ya tairi la trekta afu wenzako wanalibiringisha mteremkoniWanaenda kuendesha malingi
Utoto raha sana mkuuDah umenikumbusha mbali kinyama, enzi hizo mtu unaingia katikati ya tairi la trekta afu wenzako wanalibiringisha mteremkoni
Ukiwa na tyre zilizotumika kuanzia Njombe, Makambako, Iringa hadi Moro huwez kulala njaa hata siku moja.. Yale yenye hali nzuri yasiyotoa waya au yasiyo na kipara yananunulika sana kutumika kama reserve tyre hasa kwenye malori kwa matairi yaliyopasuka..Wakuu embu tujuzane matairi yaliyotumika hawa wanaonunua wanaenda kufanyia nini?
Maana hapa nimepewa ofa nisijeachia mali kwa bei rahisi.
View attachment 2975202
kutokana na uhaba wa sampuli na kufanya recycle. kuna mashine mpya ambazo zina badilisha soli za matairi na kurudisha upya tairi .Wakuu embu tujuzane matairi yaliyotumika hawa wanaonunua wanaenda kufanyia nini?
Maana hapa nimepewa ofa nisijeachia mali kwa bei rahisi.
View attachment 2975202
Hiyo technologia ipo, sema ubandikaji unatakiwa uwe Bora Sana na pia kuna limit ya speed sababu endapo haijabandikwa vyema basi itabanduka ukiwa Barabarahuwa ni hatari zaidikutokana na uhaba wa sampuli na kufanya recycle. kuna mashine mpya ambazo zina badilisha soli za matairi na kurudisha upya tairi .
hii kitu kwa watanzania ni teknolojia ambayo watanzania wanataka kuona mafanikio sio changamoto .kazi kwenu.
😂 watoto wa siku hizi watasema haiwezekaniDah umenikumbusha mbali kinyama, enzi hizo mtu unaingia katikati ya tairi la trekta afu wenzako wanalibiringisha mteremkoni