Tetesi: Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.

Mkuu Zitto Jnr, Kikwete si alikuwepo kwenye serikali ya Mkapa?. Three finalist kwenye uteuzi wa CCM walikuwa ni Dr. Salim, Prof. Mwondosya na Jakaya Kikwete. Unadhani ni nini kilichofanya akachaguliwa Kikwete ili hali ndiye aliyekuwa na CV nyembamba kuliko wote?!.

Vigezo vya uteuzi mwachie mteua hata kama ni rangi angavu, nimemshauri amuangalie Mama Anna Mngirwa pia rangi yake ni angavu.

Paskali
 
Mama Salma hawezi kuteuliwa Waziri kwa sababu Magu atahofia ubashite wake kwenye kuongoza vikao vya Cabinet utakuwa unamfikia JK!
 
Mkuu wewe unapewa wilaya gani?
 
Mama Salma hawezi kuteuliwa Waziri kwa sababu Magu atahofia ubashite wake kwenye kuongoza vikao vya Cabinet utakuwa unamfikia JK!
Wasukuma sio Wagga, hawaogopagi kitu ila kuna wenye aibu na ambao hawana haya wala aibu, kwa wale wa kutokana na kupakana na wale jamaa upende ule.

Paskali
 
Embu uslinganishe kuteua na kuchaguliwa..... kwenye kuchaguliwa ni sauti ya wengi inaskilizwa whether mtu an qualifications or not ila kwenye kuteua una nafasi nzuri ya kutafuta the best option unlike uchaguzi wati wanakuja na maneno matamu hta kma alikuwa na CV nyembamba but kikwete aliweza kutawala jukwaa na siasa kuliko wale wengine 3 so sometimes uchaguzi is not all abt qualification ingekuwa hivyo leo hii mkapa na kikwete na mwinyi wasingewahi kuwa marais so usilinganishe kabisa hizi scenario mbili.

Kikubwa ni kwamba unapopewa nafasi ya kuteua jiridhishe kama qualification za kusimamia eneo husika mtu analo ili hivi vyeo visiwe vya kulipana fadhila..... sasa kweli mama salma ana uwezo gani wa kusimamia serkali kuliko mtu kma Maria sarungi au huyo uliemtaja anna mghwira??? Kweli mama salma is better???

Ndio maana wenzetu kenya teuzi za rais huwa zinachujwa bungeni kwanza ili kuepuka upuuzi huu ssa bulembo na binti yake wapo bungeni na ssa tunaona mama salma na mwanaye wako bungeni??? Ukiuliza track record ZERO afu mtu kma pascal unasherekea kabisa??? Hivi mnalipeleka wapi hili taifa??
 
Kumbe umekubali sometimes it's not a cv that matters, mimi na wewe tunaweza tusijue alichonacho Salma Kikwete kuteuliwa mbunge but aliyemteua anakijua na anakwenda kuteuliwa kuwa waziri.
Uteuzi unafanywa at the pleasure of the president, hakuna vigezo alivyo pangiwa hivyo naomba tuheshimu uteuzi na hili nililizungumza hapa Je, wajua rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Bulembo ni darasa la 7. Sitashangaa akiteuliwa waziri kwa sababu hujui the role he played kwenye kupitishwa Magufuli, usikute ndiye alikuwa mwenyekiti wa kamati ya ufundi.

Paskali
 
Mkuu usinilishe maneno nmesema kwenye UCHAGUZI qualifications doesnt matter zaidi ni ushabiki na uwezo wa mtu kujinadi ndio kunampitisha...... HOWEVER uteuzi unakupa nafasi ya kufanya right choices basing on job description and right candidate to fill the vacancy or vacuum !!!!

Sasa uchaguzi upitishe vilaza kma lusinde then uteuzi tena uchague vilaza??? R we serious??? Mie sina shida na first lady shida je ana track record ya uwajibikaji mpaka asimamie uwajibikaji wa serikali??? Mama kikwete ni kilaza and the whole world knows it mnaobisha mtarudi hapa kumsema atakapopwaya kwenye baraza la mawaziri

I REST MY CASE

NB: wapenda mabadiliko wakati umefika sasa tupambane tupate katiba mpya kma wenzetu kenya ambapo teuzi za rais zinahojiwa bungeni na kuthibitishwa na bunge.
 
Tunazungumzia kitu kile kile in two different perspectives. Wewe unazungumzia uchaguzi mimi nakueleza kabla ya mtu kuwa mgombea lazima kwanza achaguliwe.

Sio fair kuwatukana watu humu vilaza simply kwa sababu hawakufika vyuo vikuu. Salma Kikwete ni mwalimu, waalimu waliokufundisha darasa la kwanza ni muhimu zaidi kuliko waliokufundisha chuo kikuu! .

Wazee wetu wa zamani ambao hawakusoma hata darasa moja na hawakuwa vilaza.

Mimi binafsi namkubali sana huyu mama na nilisema wazi hapa
Maadhimisho ya Miaka 10 Ya Fao La Elimu la PPF -Mgeni Rasmi ni Mama Salma Kikwete!.

Kwa msio mjua Salma Kikwete, hivi ndivyo mimi ninavyomfahamu.
Atafaa sana wizara ya Wanawake, Watoto

Huyu mama ni "realist, genuine, humble and down to earth!"
Kumuita huyu mama kilaza sio kumtendea haki.
Paskali
 
Embu usifkirie mbali kwanza hajapewa uwaziri bado ni probability tu so sio fact...... hoja hapa ni kwamba mbunge ni kuisimamia serikali je huyu mama anaweza kupress kule bungeni miswada mbalimbali ya kisheria mibovu isipitishwe au ifanyiwe marekebisho??? Je huyu mama anaweza kukemea utendaji mbovu wa serikali??? Anaweza kweli kukosoa mawaziri???? Maana hana jimbo so akiteuliwa atapimwa kutokana na uwezo wa kuibana serikali bungeni je kwenye hilo eneo huyu mama anaweza??

EMBU TUANZIE HAPO KWANZA
 
Alishaonesha mwelekeo wa kuupenda ubunge. Ilikuwa anaelekea kugombea Lindi sijui nini kilitokea aka ghairi
 
Amtumbue Bulembo kama alivyofanya kwa Possi.. Prince Bashite awe promoted!
 
Tetesi: - Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.
Magufuli kiboko!.
Any way, Kabudi ni jembe, na Mwakyembe ni mwanahabari.
Jina la Nape limeandikwa kwenye kitabu cha majina ya mashujaa wa taifa hili, na uwaziri sio kitu mbele ya karma!.
Paskali
 
Kufuatia uteuzi huu, then, this is a sign, very soon, end ikawa, kutafanyika mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri!.

Na kama hili litafanyika, nakiri, Prof. Kabudi ni one of the gifted best brains we have hapa nchini kwetu kwenye tasnia ya sheria.


Then he may be in the wrong chair!
Just been appointed at a very wrong time!. Sheria ina kanyagwa na muda huo huo unakalia kiti kuinyosha. Je utaanzia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…