Tetesi: Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.

Kubalance gender kwenye teuzi za wabunge ni takwa la kikatiba sio mapenzi ya rais.

Kumbuka aliteua wabunge wanaume watupu kabla katiba haijambana na ikabidi ampunguze mmoja na kuongeza wanawake wawili kwa mpigo...... !!!

Kubalance gender ni jambo zuri ila angeweka new blood anne kilango na mama salma wote walikuwepo kwenye serikalo iliotufikisha hapa tulipo je kwanni asiteue fresh blood ya wanawake wenye track record ya utendaji kwenye taasisi tofauti tofauti hapa tanzania!!!

Kma head hunting ndio hawa kilango,bulembo na salma kikwete then nchi yetu ina tatizo kubwa sana...... maana hawa wote walikuwepo awamu iliopita kwenye ngazi za juu za chama na serikali na hawakufanya lolote la maana je ni miujiza gani watakayotumia ndani ya mwaka mmoja toka serikali ibadilishwe walete maendeleo walioshindwa ndani ya mwaka mmoja uliopita????
Mkuu Zitto Jnr, Kikwete si alikuwepo kwenye serikali ya Mkapa?. Three finalist kwenye uteuzi wa CCM walikuwa ni Dr. Salim, Prof. Mwondosya na Jakaya Kikwete. Unadhani ni nini kilichofanya akachaguliwa Kikwete ili hali ndiye aliyekuwa na CV nyembamba kuliko wote?!.

Vigezo vya uteuzi mwachie mteua hata kama ni rangi angavu, nimemshauri amuangalie Mama Anna Mngirwa pia rangi yake ni angavu.

Paskali
 
Mama Salma hawezi kuteuliwa Waziri kwa sababu Magu atahofia ubashite wake kwenye kuongoza vikao vya Cabinet utakuwa unamfikia JK!
 
Kazi ya headhunting inaendelea, katika kuyasuka mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri, sijui Mama Kikwete atampa wizara gani? .

Hii ni dalili njema kwa sababu angalau sasa the gender sense ime sink kwenye his brain na teuzi hizi za Mama Anne Kilango na Mama Salma Kikwete, ni good signs za gender mainstreaming kwenye baraza la mawaziri.

Bado uteuzi wa mwanamke mwingine mmoja wa mwisho, kwa maoni yako amuongeze nani?.

Paskali
Mkuu wewe unapewa wilaya gani?
 
Mama Salma hawezi kuteuliwa Waziri kwa sababu Magu atahofia ubashite wake kwenye kuongoza vikao vya Cabinet utakuwa unamfikia JK!
Wasukuma sio Wagga, hawaogopagi kitu ila kuna wenye aibu na ambao hawana haya wala aibu, kwa wale wa kutokana na kupakana na wale jamaa upende ule.

Paskali
 
what about him?

1.jpg
Duh huyo mkuu nani mboja anafanana na mkulu
 
Mkuu Zitto Jnr, Kikwete si alikuwepo kwenye serikali ya Mkapa?. Three finalist kwenye uteuzi wa CCM walikuwa ni Dr. Salim, Prof. Mwondosya na Jakaya Kikwete. Unadhani ni nini kilichofanya akachaguliwa Kikwete ili hali ndiye aliyekuwa na CV nyembamba kuliko wote?!.

Vigezo vya uteuzi mwachie mteua hata kama ni rangi angavu, nimemshauri amuangalie Mama Anna Mngirwa pia rangi yake ni angavu.

Paskali
Embu uslinganishe kuteua na kuchaguliwa..... kwenye kuchaguliwa ni sauti ya wengi inaskilizwa whether mtu an qualifications or not ila kwenye kuteua una nafasi nzuri ya kutafuta the best option unlike uchaguzi wati wanakuja na maneno matamu hta kma alikuwa na CV nyembamba but kikwete aliweza kutawala jukwaa na siasa kuliko wale wengine 3 so sometimes uchaguzi is not all abt qualification ingekuwa hivyo leo hii mkapa na kikwete na mwinyi wasingewahi kuwa marais so usilinganishe kabisa hizi scenario mbili.

Kikubwa ni kwamba unapopewa nafasi ya kuteua jiridhishe kama qualification za kusimamia eneo husika mtu analo ili hivi vyeo visiwe vya kulipana fadhila..... sasa kweli mama salma ana uwezo gani wa kusimamia serkali kuliko mtu kma Maria sarungi au huyo uliemtaja anna mghwira??? Kweli mama salma is better???

Ndio maana wenzetu kenya teuzi za rais huwa zinachujwa bungeni kwanza ili kuepuka upuuzi huu ssa bulembo na binti yake wapo bungeni na ssa tunaona mama salma na mwanaye wako bungeni??? Ukiuliza track record ZERO afu mtu kma pascal unasherekea kabisa??? Hivi mnalipeleka wapi hili taifa??
 
Kumbe umekubali sometimes it's not a cv that matters, mimi na wewe tunaweza tusijue alichonacho Salma Kikwete kuteuliwa mbunge but aliyemteua anakijua na anakwenda kuteuliwa kuwa waziri.
Uteuzi unafanywa at the pleasure of the president, hakuna vigezo alivyo pangiwa hivyo naomba tuheshimu uteuzi na hili nililizungumza hapa Je, wajua rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

Bulembo ni darasa la 7. Sitashangaa akiteuliwa waziri kwa sababu hujui the role he played kwenye kupitishwa Magufuli, usikute ndiye alikuwa mwenyekiti wa kamati ya ufundi.

Mkuu usinilishe maneno nmesema kwenye UCHAGUZI qualifications doesnt matter zaidi ni ushabiki na uwezo wa mtu kujinadi ndio kunampitisha...... HOWEVER uteuzi unakupa nafasi ya kufanya right choices basing on job description and right candidate to fill the vacancy or vacuum !!!!

Sasa uchaguzi upitishe vilaza kma lusinde then uteuzi tena uchague vilaza??? R we serious??? Mie sina shida na first lady shida je ana track record ya uwajibikaji mpaka asimamie uwajibikaji wa serikali??? Mama kikwete ni kilaza and the whole world knows it mnaobisha mtarudi hapa kumsema atakapopwaya kwenye baraza la mawaziri

I REST MY CASE

NB: wapenda mabadiliko wakati umefika sasa tupambane tupate katiba mpya kma wenzetu kenya ambapo teuzi za rais zinahojiwa bungeni na kuthibitishwa na bunge.
 
Tunazungumzia kitu kile kile in two different perspectives. Wewe unazungumzia uchaguzi mimi nakueleza kabla ya mtu kuwa mgombea lazima kwanza achaguliwe.

Sio fair kuwatukana watu humu vilaza simply kwa sababu hawakufika vyuo vikuu. Salma Kikwete ni mwalimu, waalimu waliokufundisha darasa la kwanza ni muhimu zaidi kuliko waliokufundisha chuo kikuu! .

Wazee wetu wa zamani ambao hawakusoma hata darasa moja na hawakuwa vilaza.

Mimi binafsi namkubali sana huyu mama na nilisema wazi hapa
Maadhimisho ya Miaka 10 Ya Fao La Elimu la PPF -Mgeni Rasmi ni Mama Salma Kikwete!.

Wanabodi,

Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, ametoa vidoge vizito kuhusu "unafiki" katika mapenzi, kwa kina mama, wanaowakuta waume zao na watoto, au kina baba wanaowakuta wake zao na wototo kabla yao, waache tabia ya unafiki wa kujifanya wanawapenda hao waume na watoto wao waliowakuta nao kwa kuonyesha mapenzi motomoto wakati baba awapo nyumbani tuu. Baba akiondoka hao watoto wanateswa.

Na kwa kina baba, ukimkuta mwanamke ana watoto ambao sii wako, ukimpenda, mpende kama boga!. Ukipenda boga, penda na ua lake!".

Mama Kikwete ametoa vidonge hivyo wakati wa maadhimisho ya miaka 10 ya FAO la Elimu la PPF katika maadhimisho yaliyofanyika katika ukumbi mpya wa Nyerere.

Amewataka wanawake wenzake ambao wanawanyanyasa watoto wa wenzao kuacha tabia hiyo, "mtoto wa mwenzako ni mwanao". Mama Kikwete amesema ni ukweli usiofichika, wanawake wakiletewa watoto wa wenzao, wengi wao huwa wanawabagua wale watoto wa wenzao, na kuwapendelea watoto wa wao!. Amewazodoa wanawake wanaojifanya wanawapenda sana waume zao na watoto waliowakuta nao, only mume akiwepo, wanajifanya wanawapenda watoto wa waume zao, lakini baba akiwa hayupo, wanawanyanyasa sana watoto hawa!.

Ametoa wito kwa wanawake kuwapenda kwa dhati watoto wote na huwezi jua ni nani atakayekuja kukusaidia baadae!.

Pia ametoa vidonge kwa kina Baba, "Ukipenda Boga, Penda na Ua Lake!, kina baba mnaowapenda wanawake waliokwishakuwa na watoto, muwapende hao wanawake na watoto wao mliowakuta nao, na sio kuwapenda mke tuu na watoto aliokuzalia wewe na kuwabagua wale uliomkuta nao.

My Take.
Haya ni ya kweli kabisa!.
Huyu mama ni "realist, genuine, humble and down to earth!"
Paskali
Kwa msio mjua Salma Kikwete, hivi ndivyo mimi ninavyomfahamu.
Atafaa sana wizara ya Wanawake, Watoto

Kumuita huyu mama kilaza sio kumtendea haki.
Paskali
 
Tunazungumzia kitu kile kile in two different perspectives. Wewe unazungumzia uchaguzi mimi nakueleza kabla ya mtu kuwa mgombea lazima kwanza achaguliwe.

Sio fair kuwatukana watu humu vilaza simply kwa sababu hawakufika vyuo vikuu. Salma Kikwete ni mwalimu, waalimu waliokufundisha darasa la kwanza ni muhimu zaidi kuliko waliokufundisha chuo kikuu! .

Wazee wetu wa zamani ambao hawakusoma hata darasa moja na hawakuwa vilaza.

Mimi binafsi namkubali sana huyu mama na nilisema wazi hapa
Maadhimisho ya Miaka 10 Ya Fao La Elimu la PPF -Mgeni Rasmi ni Mama Salma Kikwete!.

Kwa msio mjua Salma Kikwete, hivi ndivyo mimi ninavyomfahamu.
Atafaa sana wizara ya Wanawake, Watoto

Huyu mama ni "realist, genuine, humble and down to earth!"
Kumuita huyu mama kilaza sio kumtendea haki.
Paskali
Embu usifkirie mbali kwanza hajapewa uwaziri bado ni probability tu so sio fact...... hoja hapa ni kwamba mbunge ni kuisimamia serikali je huyu mama anaweza kupress kule bungeni miswada mbalimbali ya kisheria mibovu isipitishwe au ifanyiwe marekebisho??? Je huyu mama anaweza kukemea utendaji mbovu wa serikali??? Anaweza kweli kukosoa mawaziri???? Maana hana jimbo so akiteuliwa atapimwa kutokana na uwezo wa kuibana serikali bungeni je kwenye hilo eneo huyu mama anaweza??

EMBU TUANZIE HAPO KWANZA
 
Alishaonesha mwelekeo wa kuupenda ubunge. Ilikuwa anaelekea kugombea Lindi sijui nini kilitokea aka ghairi
 
Kazi ya headhunting inaendelea, katika kuyasuka mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri, sijui Mama Kikwete atampa wizara gani? .

Hii ni dalili njema kwa sababu angalau sasa the gender sense ime sink kwenye his brain na teuzi hizi za Mama Anne Kilango na Mama Salma Kikwete, ni good signs za gender mainstreaming kwenye baraza la mawaziri.

Bado uteuzi wa mwanamke mwingine mmoja wa mwisho, kwa maoni yako amuongeze nani?.

Paskali
Amtumbue Bulembo kama alivyofanya kwa Possi.. Prince Bashite awe promoted!
 
Wanabodi,

Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila likifanyika jambo, huangalii tuu jambo lililofanyika bali unajiuliza the motive behind kufanyika kwa jambo fulani.
Jambo lililofanyika leo ni hili

Kufuatia uteuzi huu, then, this is a sign, very soon, end ikawa, kutafanyika mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri!.

Na kama hili litafanyika, nakiri, Prof. Kabudi ni one of the gifted best brains we have hapa nchini kwetu kwenye tasnia ya sheria.

NB. Hakuna direct propotionality na co relation between the best brains kwenye academia na the best result oriented performance kwenye nafasi za utendaji!.

Swali linabaki nani ambao wame proove kuwa non performers hivyo wame flop na wanapaswa kuondoka, na nani wataingia mmoja wao akiwa ni huyu mteuliwa mpya?!.
Congratulation wateuliwa, we wish you all the best!.

Kwa upande wa uteuzi wa Bulembo, ni kukamilisha tuu taratibu za CCM kwa wenyeviti wa jumuiya zake zote za chama pía kuwa ni wabunge.

NB. Pia sio lazima kwa 100% uteuzi wa Prof. Kabudi ni ili kumpa uwaziri, inawezekana ni kumuingiza kwenye lile jengo kwenda kusaidia kile kichwa kianafunzi chake maana kiukweli kimepwaya katika tasnia ya mabishano ya kisheria ndani ya jengo haswa unapokutana na hoja kichaa za wale vichaa wa sheria, hivyo akashauriwa aingize kichwa kuongezea uzito kupunguza makali ya kupelekwa puta!.
Lets just wait and see!.
Paskali

Hii chini ni baadhi tuu ya trend reading zangu.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe ...
Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla ...
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Pemba Chini ya CCM kuneemeka au Kujutia Kuichagua CUF Chaguzi ...
Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! | Page 9 ...
Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na ...
Tetesi: - Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.
Magufuli kiboko!.
Any way, Kabudi ni jembe, na Mwakyembe ni mwanahabari.
Jina la Nape limeandikwa kwenye kitabu cha majina ya mashujaa wa taifa hili, na uwaziri sio kitu mbele ya karma!.
Paskali
 
Kufuatia uteuzi huu, then, this is a sign, very soon, end ikawa, kutafanyika mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri!.

Na kama hili litafanyika, nakiri, Prof. Kabudi ni one of the gifted best brains we have hapa nchini kwetu kwenye tasnia ya sheria.

Then he may be in the wrong chair!
Just been appointed at a very wrong time!. Sheria ina kanyagwa na muda huo huo unakalia kiti kuinyosha. Je utaanzia wapi?
 
Back
Top Bottom