Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #201
Mkuu Zitto Jnr, Kikwete si alikuwepo kwenye serikali ya Mkapa?. Three finalist kwenye uteuzi wa CCM walikuwa ni Dr. Salim, Prof. Mwondosya na Jakaya Kikwete. Unadhani ni nini kilichofanya akachaguliwa Kikwete ili hali ndiye aliyekuwa na CV nyembamba kuliko wote?!.Kubalance gender kwenye teuzi za wabunge ni takwa la kikatiba sio mapenzi ya rais.
Kumbuka aliteua wabunge wanaume watupu kabla katiba haijambana na ikabidi ampunguze mmoja na kuongeza wanawake wawili kwa mpigo...... !!!
Kubalance gender ni jambo zuri ila angeweka new blood anne kilango na mama salma wote walikuwepo kwenye serikalo iliotufikisha hapa tulipo je kwanni asiteue fresh blood ya wanawake wenye track record ya utendaji kwenye taasisi tofauti tofauti hapa tanzania!!!
Kma head hunting ndio hawa kilango,bulembo na salma kikwete then nchi yetu ina tatizo kubwa sana...... maana hawa wote walikuwepo awamu iliopita kwenye ngazi za juu za chama na serikali na hawakufanya lolote la maana je ni miujiza gani watakayotumia ndani ya mwaka mmoja toka serikali ibadilishwe walete maendeleo walioshindwa ndani ya mwaka mmoja uliopita????
Vigezo vya uteuzi mwachie mteua hata kama ni rangi angavu, nimemshauri amuangalie Mama Anna Mngirwa pia rangi yake ni angavu.
Paskali