Tetesi: Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.

Tetesi: Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.

Mimi napingana na mtukufu rais ya kutuondolea ma profesa na ma phd holder kweny vyuo nakuwaweka kweny kaz ambazo zingeweza kufanywa na watu wa masters tuu.
Maana umuhimu wa watu hao vyuoni ni mkubwa sn sasa anavyo kazana kuwasomba mwishowe tutabaki na vilaza tuu vyuoni.
Aangarie kwa umakini suala hilo tunategea maarifa walionayo wayaambukizie kwa watoto wetu ma elfu
 
Kabudi ni mtu wa singida,sijajua jimbo gani,la lissu,mwigulu au nani,uteuzi wake pia utazitikisa siasa za singida.

Natabiri kwamba akipata uwaziri,ni yeye pekee ambae angalau atathubutu kumpinga Mkuu,na hapo ndipo patakuwa patamu.

Kabudi ni genius Mara 100 ya bwana yule
 
Kwa vyovyote vile uteuzi huu ni ishara kwamba Profesa Maghembe ajiandae ajiandae....
Tetesi za ndani sana zinasema Dr.Mwakyembe anakwenda Maliasili na Utalii, Professa Kabudi anakwenda kuchukua Sheria na Katiba.

From very very reliable source.
 
Mimi naona kama vile huu uteuzi ni namna ya kupunguza ile jeuri ya Zitto kwamba upinzani wapo wengi.......just thinking aloud.
 
Kabudi ni mtu wa singida,sijajua jimbo gani,la lissu,mwigulu au nani,uteuzi wake pia utazitikisa siasa za singida.

Natabiri kwamba akipata uwaziri,ni yeye pekee ambae angalau atathubutu kumpinga Mkuu,na hapo ndipo patakuwa patamu.

Kabudi ni genius Mara 100 ya bwana yule
Usitarajie hata siku moja mteule wa Tz hii kumuhoji boss wake hata kama anakosea waziwazi........ wasomi wetu ndo kabisaaa ondoa tumaini kwao maana watakachokifanya kitakuacha kinywa wazi. Jaribu kufuatilia historia chache za teuzi wa wasomi wetu kisha linganisha na utendaji wao.
 
Wana jamvi

Salaam.

Ninawaza tu huenda Prof Palamagamba Kabudi awakateuliwa kuwa Waziri katika Wizara nyeti.hayo ni mawazo yangu tu
 
Back
Top Bottom